tangu huyu jpm kaingia madarakani kampuni yetu imepunguza watu 30 na december inapunguza tena...........Ni rahisi Kwa serikali hii ya CCM kuudanganya umma kuwa imepunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini, ilhali tangu kuingia kwake madarakani haijatoa nafasi za ajira, na zaidi haijatengeneza mazingira mazuri Kwa sekta binafsi kuajiri.. hata mazingira ya kujiajiri si rafiki kwa vijana.
Kwa picha ya jumla, uchumi wetu unaporomoka Kwa kasi, maana taifa limetengeneza walaji wengi badala ya wazalishaji..
Wanatumia kanuni ipi hata waseme uchumi umekua??
Ama Kweli ipo haja ya kuomba malaika washuke..
Ni Tanzania pekee utaambiwa Uchumi umekuwatangu huyu jpm kaingia madarakani kampuni yetu imepunguza 30 watu na december inapunguza tena...........
sababu ni biashara kuyumba.............
kuna nida walifutwa kazi, kuna wale waliojiajiri ajira zao zimekuwa kizungumkuti........ hali ni mbayaNi Tanzania pekee utaambiwa Uchumi umekuwa
Cha kushangaza Mkuu watu wanaondolewa kwa ukosefu wa pesa kigezo kutumbuliwakuna nida walifutwa kazi kuna wale waliojiajiri ajira zao zimekuwa kizungumkuti........ hali ni mbaya
kuna hotel zimekuwa hostel ................
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Nchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa
ndugu yangu, hivi ushawahi kusikia au kushuhudia Prof au Dr wa elimu ya biashara billionaire? unajua sababu? Wabobezi ni wazuri wa pheory tuu hawajui practical hivyo kuchagua watu hao ni kufail sio kufauru!teuzi za mkuu zimesheheni watu wenye elimu ya juu kabisa,wengi ni maprofesa na madokta wa fani mbalimbali,na wengi wao wametufundisha jinsi gani tunaweza kufanya nchi isonge mbele.
mchawi mpe mwana alee!!! hao manguli waliofundisha vyuo vikuu vya ndani na nje sasa ndio wamepewa wayatekeleze hayo waliyokuwa wanayaimba madarasani miaka nenda rudi,na wakikwama hakika watadharaulika na hakuna atakayewaamini
Dalili za kukwama ziko wazi,hasa kwa.yule dokta wa wizara ya fedha,dokta huyu naamini mpaka sasa uchumi umempiga chenga,kila mahala ni malalamiko.
endelea kutaja kikosi hiki cha maprofesa na jinsi walivyokwama.
LEO KAMPACHIKA PROFESA LIPUMBA BUGURUNI KESHO USISHANGAE DR SLAA AKAPEWA UDJ PALE BILICANAS BAADA KUMFUKUZA MPANGAJI FREEMAN MBOWETatizo hafuati KATIBA na SHERIA za nchi hilo ndilo kubwa ndiyo sabbau hatujui kesho atakuja na lipi
LEO KAMPACHIKA PROFESA LIPUMBA BUGURUNI KESHO USISHANGAE DR SLAA AKAPEWA UDJ PALE BILICANAS BAADA KUMFUKUZA MPANGAJI FREEMAN MBOWETatizo hafuati KATIBA na SHERIA za nchi hilo ndilo kubwa ndiyo sabbau hatujui kesho atakuja na lipi
LEO KAMPACHIKA PROFESA LIPUMBA BUGURUNI KESHO USISHANGAE DR SLAA AKAPEWA UDJ PALE BILICANAS BAADA KUMFUKUZA MPANGAJI FREEMAN MBOWE
Dereva wa Basi kapewa Trekta? hahahaha Grader? au Kijiko??? au lile Shindilio??POINT KUBWA IKO HAPAView attachment 411824