wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Tatizo hapa ni kwateua wasimamizi wasioelewa majukumu yao,ameteua wanasiasa ambao kwa kiasi kikubwa wanawaza kutafuta sifa kwa wananchi ili 2020 wagombee Ubunge. Hawana uzalendo kabisa na wala hawajamwelewa Rais anataka nini.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa kufikia 2020 serikali ikashindwa hata kutimiza ahadi zake hata 60%. Sijajua wananchi waliokua wamejiandaa kupokea mabadiliko makubwa kabisa wataambiwa nini?
oogh basi nikutake radhi mkuu, maana kukufananisha na CCM peke yake hio kwangu ni sawa na tusi, nisamehe sanaHaijawahi kutoka mkuu! Yaani huyu aliyetukana mtumishi wa umma matusi ya nguo nimuheshimu?
Jamaa pengine alikua na nia njema, kwa taifa hili lakini mpaka sasa mwelekeo hausomeki kwa nukuu ya mzee Warioba.ikwame Mara mbili
Nami nimekusamehe mkuu, maana hilo tusi linachefua.oogh basi nikutake radhi mkuu, maana kukufananisha na CCM peke yake hio kwangu ni sawa na tusi, nisamehe sana
Kuna mtu alikua na ID kama yako MAHANJU alikua anamsapoti sana jamaa, sijui ni wewe>?