Mkuu Nina mashaka kwa speed hii ya Gari bovu kama 2020 litafika bila kupinduka. Na likipinduka hata ticket haziibiki tenaTangu wagundue namna ya kuiba chaguzi kupitia Tume ya wizi wa kura na chaguzi na mtutu wa bunduki hawana hofu tena ya chaguzi wanajua watashinda tu hata kama watavurunda kwa kiasi gani.
Mkuu kuelekea 2020 tutalegeza kamba halaf wote mtajisahau tena !Tatizo hapa ni kwateua wasimamizi wasioelewa majukumu yao,ameteua wanasiasa ambao kwa kiasi kikubwa wanawaza kutafuta sifa kwa wananchi ili 2020 wagombee Ubunge. Hawana uzalendo kabisa na wala hawajamwelewa Rais anataka nini.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa kufikia 2020 serikali ikashindwa hata kutimiza ahadi zake hata 60%. Sijajua wananchi waliokua wamejiandaa kupokea mabadiliko makubwa kabisa wataambiwa nini?
Mkuu Nina mashaka kwa speed hii ya Gari bovu kama 2020 litafika bila kupinduka. Na likipinduka hata ticket haziibiki tena
Msikilize mkulu(bwana viwanda) siku alipokaribishwa kufungua kiwanda cha Bakhresa alisema kile ndio kiwanda chake cha kwanza na kiwanda cha pili ni kile alichomtaka Bakhresa alime miwa na azalishe ze utamu(sukari).Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Naunga mkono hoja, He is bound to fail definately.
Liza utatumbuliwa jijiniNitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
mwandishi nani?
Ubarikiwe Sana mkuu, Magufuli didn't fit to be president.Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
Naunga mkono hoja
Hamna loloteNitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
kweli,ila tatizo tunamuombea ashindwe!!