Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokupewa nafasi wafanye kazi kwa Uhuru huenda ndio kunasababisha wamuangusheWengi wa hao watu wake wanamwangusha.
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Nafikili umeeleweka mkuuKuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Na ndio maana serikali nzima imejaa makadaHamna kiongoz mule yeye bado anaongoza kwa itikad za ki vyama.
Nini maana ya ujinga ni kuamini Kila kitu unacho ambiwa na mzungu Bila wewe kufanya utafiti katika nchi yako, lini tuta kuwa tuna jiamulia maamuzi sisi wenyewe kama taifa lililo jikomboa katika ukoloni mambo Leo. Mzungu akifanya research akisema Tanzania wote mashoga watu watachukulia poa Na kuamini ni kweli Ila waafrika akisema Tanzania ni inchi inayo endelea watu wata m crash siku Zote kisa mweusi
Is the problem color au many of African wana westernized mind
Leo hii Gaddafi ameuliwa ndani ya mikono ya wazungu na kisa tu alikuwa ana hifathi kubwa ya mafuta ,dhahabu na mandeleo, Hugo chaveZ yuko wapi, Patrick Lumumba yuko wapi??, Alafat ??
Usifikili wazungu wanapenda Tanzania iendelee na iwe taifa kubwa kichumi
Sikuzote usifikili mtu anae Fanya mandeleo katika nchi yake ana pendwa na watu wa maghalibi
Nilitegemea wana jamii forum mtakuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo Lakini sivyo umefika mda watu wanaomba ata ndege zilipuke au nchi ishuke kiuchumi
We need to help the country isonge mbele Ila mkika kusikiliza wazungu hakika Tanzania itakuwa kama central Africa in the coming days
Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
Nini maana ya ujinga ni kuamini Kila kitu unacho ambiwa na mzungu Bila wewe kufanya utafiti katika nchi yako, lini tuta kuwa tuna jiamulia maamuzi sisi wenyewe kama taifa lililo jikomboa katika ukoloni mambo Leo. Mzungu akifanya research akisema Tanzania wote mashoga watu watachukulia poa Na kuamini ni kweli Ila waafrika akisema Tanzania ni inchi inayo endelea watu wata m crash siku Zote kisa mweusiSijutii kuwa genius.
Nini maana ya ujinga ni kuamini Kila kitu unacho ambiwa na mzungu Bila wewe kufanya utafiti katika nchi yako, lini tuta kuwa tuna jiamulia maamuzi sisi wenyewe kama taifa lililo jikomboa katika ukoloni mambo Leo. Mzungu akifanya research akisema Tanzania wote mashoga watu watachukulia poa Na kuamini ni kweli Ila waafrika akisema Tanzania ni inchi inayo endelea watu wata m crash siku Zote kisa mweusidah hata mimi nawaomba radhi sana wale wote niliowashawishi kumchagua magufuli
Wanajamii,mbona kaka mama angebahatika kuwa rais wa jamuhuri,angeweza kuwa kiongozi makali zaidi kuliko mkuu?
Kwa huu muda wa mwaka mmoja nimefanya tafiti,nimegundua,mama alitufaa zaidi kwenye kuwa amrijeshi mkuu,mama ana sifa zinazofaa,mnyenyekevu,asiyeropoka,asiyechukia wapinzani wake wa kisia
Hayo ni maoni yangu,mm sijawai hata kufikiria kupigia kura ccm,lkn nimeangalia utendaji wa mama,nikagundua,ni makali zaidi kuliko mkuu ana sifa zote,za kiongozi,amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile