Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
bado ipo mkuuHii thread ama itafutwa au itaunganishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado ipo mkuuHii thread ama itafutwa au itaunganishwa.
Kashachemsha sana sana ninachokiona serikali itawalipa sana watu fidia kupindi hiki kuliko awamu yeyote.....Na sasa ameweka katiba pembeni anasema anataka kunyoosha nchi, anasema muhimili wake umezama chini zaidi ya mihimili mingine kwa sababu ndiyo muhimili wenye fedha
Na hajui atainyoosha nchi vipi, ni tamko tu.
We ni mhaya, Ekyoma ni cast iron,Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;
1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.
2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk
3. Yawezekana kuna watendaji wake wanapenda wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.
4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.
Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
HahahaaaaWe ni mhaya, Ekyoma ni cast iron,
Siyo muda wa kuwapigia magoti wazungu. Tumuunge mkono rais tuachane na porojo za kisiasa hazitatufikisha popoteDhamira bila pesa ni kazi bure, aruhusu demokrasia itamalaki apate pesa za wahisani na wawekezaji.
Mapato ya TRA hayatoshi kuendesha nchi.
Wasukuma ni waoga. Tulikuwa hatuwashirikishi wasukuma kama mnataka kufanya mgomo au kupinga uonevu. Waoga sana na wanajikomba sana. Nimesoma nao, nimewafundisha kwa sana, nawajua fika. Hata kichwani si wazuri- Nasema la ukweli na wala siwadhihaki hata kidogo.Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;
1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.
2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk
3. Yawezekana kuna watendaji wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.
4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.
Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
Endelea kuisoma namba.Siyo muda wa kuwapigia magoti wazungu. Tumuunge mkono rais tuachane na porojo za kisiasa hazitatufikisha popote
Nadhani mmebaki wewe na Lizaboni. Nakuhakikishia hata mawaziri hawako naye- People talk at people not to people!Siyo muda wa kuwapigia magoti wazungu. Tumuunge mkono rais tuachane na porojo za kisiasa hazitatufikisha popote
Mimi nahisi hashauriki au amekua mkali akishauriwa, kwahiyo wataalamu wameamua kucheza mziki anao upenda, haiingii akilini katoa Mabilioni ya pesa za Mashirika kuyapeleka Benki kuu yakae Idle kwa karibu mwaka mzima bila riba wala nini, pesa iliyokua kwenye Benki za biashara ziki-boost shughuli uzalishaji mali na biashara through mikopo mbalimbali. Leo hii Mabenki yana declare losses wataalamu wa uchumi pale Ikulu wanakunywa kahawa huku wakicheka na mkuu tu.Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;
1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.
2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk
3. Yawezekana kuna watendaji wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.
4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.
Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
Alifikiri akificha hela benki kuu huku mtaani zitatengenezwa zingine ili yeye abaki na zile za benki kuu.Mimi nahisi hashauriki au amekua mkali akishauriwa, kwahiyo wataalamu wameamua kucheza mziki anao upenda, haiingii akilini katoa Mabilioni ya pesa za Mashirika kuyapeleka Benki kuu yakae Idle kwa karibu mwaka mzima bila riba wala nini, pesa iliyokua kwenye Benki za biashara ziki-boost shughuli uzalishaji mali na biashara through mikopo mbalimbali. Leo hii Mabenki yana declare losses wataalamu wa uchumi pale Ikulu wanakunywa kahawa huku wakicheka na mkuu tu.
Kama kuna ukweli flani ivi ila nafasi kubwa mno kwake hii inawezekana ela za maafa hajakwapua yy watu wamemzidi maarifa[emoji23]Huna shaka na mtu aliyekwapua pesa ya maafa?....
Huna shaka na mtu anayewaweka watu kuzuizini?.......
Huna shaka na mtu aliyewanyima karibia 85% yawanafunzi pesa chuo kikuu?....
Kweli huna mashaka ....
Hivi nikuulize hata kama ni hujuma kwanini kila idara ihujumiwe?.....