Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Shetani Wa Jana hawezi kuwa malaika leo .

Kama ambavyo unafiki usivyoweza kudumu na kuendelea kuwa unafiki Kwa muda mrefu.

Tabia ya mtu ni ya mtu wala huwezi ibadili hasa anapokuwa anapanda ngazi kwa kubebwa kuliko kujipandisha kwa juhudi zake binafsi .

Kujibeba kwa mdomo kuliko matendo yako wala matokeo ya unachokipigania.

1: Tujikumbushe suala la nyavu za wavuvi wa Ziwa Victoria hasa Mwanza na kanda zake jinsi zilivyochomwa kwa kisingingizio cha uvuvi haramu na kusababisha hasara Kwa watu . Kipindi hicho ndio watu walianza kula mapanki mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa uvuvi.

2: Meli ya uvuvi ya wachina iliyokamatwa kwenye bandari ya Hindi na kuongea maneno mengi lakini mwisho wa siku jamaa wakashinda kesi na kusababisha hasara kubwa kwa serikali ya kuwalipa fidia mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa Uvuvi.

3 : Kuwaambia watu Wa kigamboni wapige mbizi kama hawataki nauli ipande tununue kivuko kingine lakini kilichofuata ni kununua kivuko kibovu kwa mabilioni ya pesa za umma mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri Wa ujenzi .

4: Wakandarasi kwenye wizara ya ujenzi walifikia kuidai serikali pesa karibia 1.5 trilions. Lakini kibaya zaidi walikuwa wanadai kati ya hizo billion 600 kama riba kwa kucheleweshwa kulipwa na zaidi ufisadi wa zaidi ya 2 bilion 250 kwa mujibu wa CAG 2015-2016 mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa ujenzi.

6: Uvunjaji wa shell kule Mwanza na kushindwa kesi na kulipa fidia akiwa waziri wa ujenzi.

Mkumbuke pia alienda mbali zaidi na kutaka kuvunja jengo la Tanesco kwa ajiri ya kupitisha barabara..

Kama akiwa tu waziri nchi kaitia hasara kiasi hiki je akiwa na meno kama rais Maamuzi ya kukurupuka na kuitia nchi hasara itakuwaje ndani ya hii miaka 5?

Huyu watu ndiye wanamuita mkombozi wao Kwa CV hii aliyonayo?

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hivi nikiwa tu naanza darasa la kwanza " Ukitaka kufaulu vizuri mtihani wako wa darasa la 7,kidato cha 4 na 6 anza kujiandaa sasa" .

Nilikuja kuligundua ilo baadae kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote ni kufanya "Positive Investment" kwenye jambo hilo.

Uliyoyafanya jana ndio matokeo ya leo na mwanga au Giza ya kesho.
 
Na sasa ameweka katiba pembeni anasema anataka kunyoosha nchi, anasema muhimili wake umezama chini zaidi ya mihimili mingine kwa sababu ndiyo muhimili wenye fedha
 
Kashachemsha sana sana ninachokiona serikali itawalipa sana watu fidia kupindi hiki kuliko awamu yeyote.....
 
Na hajui atainyoosha nchi vipi, ni tamko tu.
1479463323155.jpg
 
Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;

1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.

2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk

3. Yawezekana kuna watendaji wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.

4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.

Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
 
3. Yawezekana kuna watendaji wake wanapenda wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.

4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.

Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
We ni mhaya, Ekyoma ni cast iron,
 
Huna shaka na mtu aliyekwapua pesa ya maafa?....

Huna shaka na mtu anayewaweka watu kuzuizini?.......

Huna shaka na mtu aliyewanyima karibia 85% yawanafunzi pesa chuo kikuu?....

Kweli huna mashaka ....

Hivi nikuulize hata kama ni hujuma kwanini kila idara ihujumiwe?.....
 
Dhamira bila pesa ni kazi bure, aruhusu demokrasia itamalaki apate pesa za wahisani na wawekezaji.
Mapato ya TRA hayatoshi kuendesha nchi.
 
Siyo muda wa kuwapigia magoti wazungu. Tumuunge mkono rais tuachane na porojo za kisiasa hazitatufikisha popote
 
Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;

1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.

2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk

3. Yawezekana kuna watendaji wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.

4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.

Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
Wasukuma ni waoga. Tulikuwa hatuwashirikishi wasukuma kama mnataka kufanya mgomo au kupinga uonevu. Waoga sana na wanajikomba sana. Nimesoma nao, nimewafundisha kwa sana, nawajua fika. Hata kichwani si wazuri- Nasema la ukweli na wala siwadhihaki hata kidogo.
 
Siyo muda wa kuwapigia magoti wazungu. Tumuunge mkono rais tuachane na porojo za kisiasa hazitatufikisha popote
Nadhani mmebaki wewe na Lizaboni. Nakuhakikishia hata mawaziri hawako naye- People talk at people not to people!
 
Sina shaka na dhamira ya Rais Magufuli ya kufanya makubwa katika taifa hili uyu mzee akiongea tu unaona kabisa anamaanisha. Pamoja na nia yake njema kwa nchi sioni ata dalili za kutimiza aya ayo anayotamani kuyatimiza. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za mzee huyu kushindwa kutimiza dhamira yake;

1. Inaonekana hii nafasi ni kubwa mno kwake. Uyu mzee inaonekana ni kubwa mno kulingana na uwezo wake kwa sababu nafasi hii inaitaji hekima na busara pia sio ukali peke yake nadhani uwaziri mkuu angeweza kufanya vizuri zaidi kuliko nafasi hii.

2. Washauri wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo au hawasikilizwi wakishauri haionekani kama mzee uyu anashauliwa vyema inaonekana nchi inaendeshwa kwa kichwa cha mtu uwezi kusikia kashfa za watu hasa wabunge wa chama chako kuwa wameongwa 10million bila kuchukua hatua yoyote, huwezi kukosa kwenda kuwaona wahanga wa tetemeko lililosababisha madhara makubwa kama yale nchini kwako nk

3. Yawezekana kuna watendaji wake wanamsalti. Ndani ya ccm harakati za kutafuta Urais uwa zinaanza mapema kuna uwezekano mkubwa kuna watu ndani ya serikali yake na ndani ya chama chake wanataka mzee huyu aongeze kwa kipindi kimoja tu.

4. Nature ya kabila lake maana sisi wasukuma huwa tunaamini tunajua kila kitu hasa sisi wanaume ata wakati mwingine huwa tunaona wanawake hawawezi kutushauri zaidi ya kuwapekesha sasa kwa kuwa msaidizi wake wa karibu ni mwanamke linaweza kuwa tatizo jingine.

Zaidi yate nikuombe mh Rais ujue watanzania unatupitishs katika kipindi cha majaribu makubwa mno ebu legeza kidogo mambo yaende uku mtaani kama nyingine unaweza kuongezea
Mimi nahisi hashauriki au amekua mkali akishauriwa, kwahiyo wataalamu wameamua kucheza mziki anao upenda, haiingii akilini katoa Mabilioni ya pesa za Mashirika kuyapeleka Benki kuu yakae Idle kwa karibu mwaka mzima bila riba wala nini, pesa iliyokua kwenye Benki za biashara ziki-boost shughuli uzalishaji mali na biashara through mikopo mbalimbali. Leo hii Mabenki yana declare losses wataalamu wa uchumi pale Ikulu wanakunywa kahawa huku wakicheka na mkuu tu.
 
Alifikiri akificha hela benki kuu huku mtaani zitatengenezwa zingine ili yeye abaki na zile za benki kuu.
Pesa inatengenezwa kwa pesa.
 
Huna shaka na mtu aliyekwapua pesa ya maafa?....

Huna shaka na mtu anayewaweka watu kuzuizini?.......

Huna shaka na mtu aliyewanyima karibia 85% yawanafunzi pesa chuo kikuu?....

Kweli huna mashaka ....

Hivi nikuulize hata kama ni hujuma kwanini kila idara ihujumiwe?.....
Kama kuna ukweli flani ivi ila nafasi kubwa mno kwake hii inawezekana ela za maafa hajakwapua yy watu wamemzidi maarifa[emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom