Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Matukio ya mauaji yamejaa ,nenda huko gomsi,chanika yombo au mbagala nk uwaulize wakazi wanaoishi huko hali ya usalama ipoje halafu ulete mrejesho hapa.

Wengi wanakaa kimya kwa kuwa ukisema kweli kuna mawili either ufunguliwe kesi ya uchochezi au wakutumie watu wakuja kukuteka

Wewe chukulia mfano roma walivyomteka na kumtesa lakini anaogopa kusema ukweli anahofia mkwala waliomchimba.
Mi naishi yombo mwaka wa kumi huu..ndio nakusikia wewe..huku tishio walikuwa mateja na panya road..kwa sasa hatujui hata walipoelekea..usilete porojo.
Suala la Roma analijua yeye binafsi..hakuna mwenye kujua zaidii yake..uncholeta hapa ni mbwembwe tu za kisiasa.
 
5.Maandamano ya sheikh ponda sijasikia
6. Migomo na maandano ya ajabu ajabu hayajasikika
5. Ubadhirifu wa Mali za umma haujasikika au kuripotiwa.
7. Umaarufu wa mabwepande umekufa.
8. Hakuna mwandishi aliueuawa, kutekwa au kutishiwa.
9. Mateja wamepungua vituo vya daladala hususani DSM na mitaani.
10. Uhalifu mkubwa wa kitumia silaha nzito unazidi kupotea.
11. Migongano ya ardhi imepungua.
Hivi huko Rufiji wanakouwawa watu kama panya mpaka wamekimbia familia zao nyie mko wapi na hup ujambazi wa kuteka vituo na kuiba silaha hamuuoni

Ilianza Kimanzichana Ikwiriri Sitaki shari. Mkuu wa polisi aliyeuwawa Vikindu kuanzia Jaribu mpaka Ikwiriri kulala mwisho saa 12 mko wapi si kwamba serikali haina mazuri lakini kwa sasa tuache ushabiki wa vyama hali ya usalama ni mbaya kuliko wakati wowote ule.
 
Ww ni kipofu wa mdomo,na kiziwi wa macho pia ulemavu wa mawazo !mabenki wakaibe nn na pesa hakuna,kwatokua na mzunguko ?albino wanauwawa na ccm wakati wa uchaguzi,na kutambikia biashara zenu haramu. Ss biashara za maccm zote zimefilicka?na hicho walichotaka kwa albino kikafanye nn tena !tusubiri tu wakati wa wizi wa kura ndo ccm wataibuka tena na maalbino.panya rodi wamuibie nani na watu hawana njia za kupatia pesa tena? Nyie ccm wachache wenye pesa mnatembea na magari,mabastola,ya nape na mabunduki ya clauds.kwani panyarodi wao wajinga hawawajueni ? Hayo ndo yaliyoikumba nchi,hizi propaganda za wapinzani hapo kwenye ccm kukuza umaskini nchini zinakujaje na kukosa hoja zipi? Hoja za kutumia claha hadharani,kuteka raia,kuua waendesha pikipiki,kupeleka zombie Zanzibar kuua,kunyanyasa na kutesa wapinzani, ccm ndo hamna hoja juu ya mabaya yenu na Sanaa ziczoisha,ss mnafunga watu midomo kwa nguvu kwa kuwaua.ili wahofie kusema ubaya wenu.
 
halafu mtu bila aibu eti anakuja kumtetea huyo magu eti amedumisha amani ,

huyu magu kaleta mpalaganyiko mkubwa sana hapa nchini ,wananchi wamekosa imani tena na vyombo vya usalama
 
Tangu Magufuli aingie madarakani..amani mtaani imeongezeka mara dufu..zilizobaki ni kelele mitandaoni tu..na njama ili kufifisha malengo yake ya kutuletea maendeleo. Wale wachache weningine wanapokosea wakikamatwa na vyombo vya dola wanapiga kelelele wametekwa..mfano Bashe..Roma tunasubiri upelelezi.
Tukio gani jingine linalotishia amani?

Maana propagada zinatia kinyaa..uzuri tushawashitukia..
Mkuu amani ni zaidi ya kutokuwa na vita! Na kama hamna vita haimaanishi kuwa kuna amani, hata hili la makonda kumtukana mtumishi wa uma (kichaa) na udhalilishaji mwingine, inaondoa amani kwa jamii" kauli za huyu bwana anapohutubia zinajenga hofu kubwa ktk jamii mf ( badala ya kukemea uvamizi wa clouds, alimuelekeza mvamizi aendelee kuchapa kazi!) Je kesho ni zamu ya nani kuvamiwa!?
Hakuna amani mkuu, kinyume chake kuna ombwe kubwa la sononi na hofu mioyoni mwa raia wa nchi hii!
Sijui kama unakumbu kuwa tz. Ipo ktk nchi ambazo raia wake wanaongoza kwa kutokuwa na furaha, hizi kauli za kichochezi\ kutishia raia kutoka kwa mkulu na mafisi wenzake zinaondoa kbs hata raha ya kujisikia fahari kuwa mtz!
 
Ww ni kipofu wa mdomo,na kiziwi wa macho pia ulemavu wa mawazo !mabenki wakaibe nn na pesa hakuna,kwatokua na mzunguko ?albino wanauwawa na ccm wakati wa uchaguzi,na kutambikia biashara zenu haramu. Ss biashara za maccm zote zimefilicka?na hicho walichotaka kwa albino kikafanye nn tena !tusubiri tu wakati wa wizi wa kura ndo ccm wataibuka tena na maalbino.panya rodi wamuibie nani na watu hawana njia za kupatia pesa tena? Nyie ccm wachache wenye pesa mnatembea na magari,mabastola,ya nape na mabunduki ya clauds.kwani panyarodi wao wajinga hawawajueni ? Hayo ndo yaliyoikumba nchi,hizi propaganda za wapinzani hapo kwenye ccm kukuza umaskini nchini zinakujaje na kukosa hoja zipi? Hoja za kutumia claha hadharani,kuteka raia,kuua waendesha pikipiki,kupeleka zombie Zanzibar kuua,kunyanyasa na kutesa wapinzani, ccm ndo hamna hoja juu ya mabaya yenu na Sanaa ziczoisha,ss mnafunga watu midomo kwa nguvu kwa kuwaua.ili wahofie kusema ubaya wenu.
Point nyingine: Watalii zenji wanapeta mitaani kwa amani hamna wa kuwamwagia tindikali!
 
Hivi huko Rufiji wanakouwawa watu kama panya mpaka wamekimbia familia zao nyie mko wapi na hup ujambazi wa kuteka vituo na kuiba silaha hamuuoni

Ilianza Kimanzichana Ikwiriri Sitaki shari. Mkuu wa polisi aliyeuwawa Vikindu kuanzia Jaribu mpaka Ikwiriri kulala mwisho saa 12 mko wapi si kwamba serikali haina mazuri lakini kwa sasa tuache ushabiki wa vyama hali ya usalama ni mbaya kuliko wakati wowote ule.
Kwani ulitaka serikali ikupe kila taarifa ya shughuli zake..hujui kama kuna timu maalum zimeundwa kanda ya pwani kifuatilia hayo matukio..shida mnasubiria taarifa za wanasiasa tena wa upinzani ambao wao wanaishi kwa matukio..amka kijana.
 
halafu mtu bila aibu eti anakuja kumtetea huyo magu eti amedumisha amani ,

huyu magu kaleta mpalaganyiko mkubwa sana hapa nchini ,wananchi wamekosa imani tena na vyombo vya usalama
Ukisema ulishawahi na imani na vyombo vya usalama mbele ya chadema wenzio watakupiga mawe..
 
Kwani ulitaka serikali ikupe kila taarifa ya shughuli zake..hujui kama kuna timu maalum zimeundwa kanda ya pwani kifuatilia hayo matukio..shida mnasubiria taarifa za wanasiasa tena wa upinzani ambao wao wanaishi kwa matukio..amka kijana.
Hapa hatuzungumzii kupata taarifa tunazungumzia amani imetoweka mimi nina taarifa za huko kuna ndungu zangu kwenye ukweli uongo hujitenga mkuu usiongee kishabiki kwa kutafuta cheo.
 
Matukio ya uhalifu yamepungua sana, kuwa zero kabisa haiwezekani! Hata Swiss bado wana uhalifu wa kiasi fulani.
 
Hapa hatuzungumzii kupata taarifa tunazungumzia amani imetoweka mimi nina taarifa za huko kuna ndungu zangu kwenye ukweli uongo hujitenga mkuu usiongee kishabiki kwa kutafuta cheo.
Basi hawajakupa taarifa za ukweli..anza kufatilia mwenyewe
 
Endelea tu mkuu utapata cheo watu wakimbia nyumba hadi sasa hawajarudi hali ni mbaya mkuu huko chanika wezi wanag'oa mageti wanangia na kuiba wee uko wapi ngoja ninyamaze pengine ndiyo wakubwa wenyewe wanangu bado wadogo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji61] [emoji61]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom