Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwa ujumla nakerwa na mengi mnayotufanyia watanzania. Serikali yako ni bora msifanye baadhi ya mambo maana kuna mambo mnafanya hata zero brain anaona mnatudharau. Kwanini mnajivua nguo hivyo!? Kwa mini mnachukua maamuzi bila kufikiria?
Hivi kweli inaingia kichwani kusikia eti uhakiki haujafanyika kwa wanasiasa na wateule wa raisi kisa sifa yao ni kujua kusoma na kuandika tu? Mbona wakati wa kuteua (I'm not sure enough) wakuu wa mikoa/mabalozi uliitisha vyeti? Au kwa vile wa karibu yako umpendaye ameguswa katika hili ndo ukaona utupoteze maboya?
Mimi nimekaa darasani miaka yangu 21 nikisoma nikiamini nitakuwa bora kimaisha ukilinganisha na ambaye hakwenda shule. Jamii inaniangalia na kuthaminisha umuhimu wa kwenda shule na kutokwenda. Sasa hivi ambao wamekwnda stationery na kufyatua vyeti wanalipwa mamilioni Mimi nalipwa laki NNE!!!!! Does it sound? Wewe ni Dr, niambie tu ni sawa????

Wazazi wangu waliuza mbuzi, ngombe na hata shamba nisome, Leo unanipa hela ambayo hata mwendesha Bodaboda anaipata kwa mwezi na zaidi nawe unakumbatia nayo majizi eti kisa ni wateule!!

Kati ya waliosoma ulikosa wenye vyeti halali na kuwapa hizo nafasi hadi uangalie wanaojua kusoma tu na kuandika? Tena wenye vyeti feki!!? Kwa nini uwalinde?

Laki nne inanisaidia nini kama sio kunidhalilisha? Halafu kunikomoa eti unaagiza bodi ya mkopo wazidishe makato ili nizidi kuteseka!! Na posho ukaondoa ili niteseke zaidi!!Naishi maisha ya kijinga. Nasema kabisa kama huongezi mshahara na kushughulikia hao majizi nitakuachia likazi lako. Nitachukua mkopo ninunue bodaboda!! Nina uhakika nitamake 600000+ kwa mwezi. Nikipata ajali nikifa poa tu. Nasubiria mwezi July na nipo serious. Nimechokaaa!! Watumishi tumejikakamua then tunaonekana mapoyoyo tu

WAKATI mwingine ni haki kufikiri Serikali inakukomoa:

Laki nne inanisaidia nini kama sio kunidhalilisha? Halafu kunikomoa eti unaagiza bodi ya mkopo wazidishe makato ili nizidi kuteseka!!
 
Aisee
Bado unawaza ya mwezi wa saba.
Hatuna kiongozi zaidi ya hili bundi la Magogoni.

Hata kama Kiongozi Wetu anaweza akawa na mapungufu yake ila Watanzania hatuna hii tabia na wala hatujawahi kifikia hatua ya kumuita Rais wetu Bundi. Umemkosea mno adabu Rais wetu na kama una busara na hekima si vibaya ukatuomba radhi wana JF na hadi Rais mwenyewe kwa kumuita ' Bundi '. Binafsi nimesikitika sana kwa hii Kauli yako na Watu kama nyie ndiyo mnaomtia matatizoni Maxcence Melo na wenzake hadi kila mara huwa wanasumbuliwa na hadi kushtakiwa na Mamlaka kutokana na baadhi ya comments zetu baadhi yetu. Jifunze kujenga hoja tu Kistaarabu na siyo kumtukana hivi Kiongozi ( Rais ) wetu.
 
open your mind beyond employment, unadhan waliosoma na wasio na ajira wanaishije au wanaendeshaje maisha yao? Wasio na uhakika hata wa hiyo laki nne?....NJE YA BOX KAKA
 
Wewe nae ni chizi,wapi umeona nimemtaja Rais.
Nonsense.
Hata kama Kiongozi Wetu anaweza akawa na mapungufu yake ila Watanzania hatuna hii tabia na wala hatujawahi kifikia hatua ya kumuita Rais wetu Bundi. Umemkosea mno adabu Rais wetu na kama una busara na hekima si vibaya ukatuomba radhi wana JF na hadi Rais mwenyewe kwa kumuita ' Bundi '. Binafsi nimesikitika sana kwa hii Kauli yako na Watu kama nyie ndiyo mnaomtia matatizoni Maxcence Melo na wenzake hadi kila mara huwa wanasumbuliwa na hadi kushtakiwa na Mamlaka kutokana na baadhi ya comments zetu baadhi yetu. Jifunze kujenga hoja tu Kistaarabu na siyo kumtukana hivi Kiongozi ( Rais ) wetu.
 
hawa ndio wale input ni sifuri; halafu anataka alipwe milioni mbili; kakariri madesa yake wee; lakini kichwani hakijabaki kitu cha kumsaidia. ukienda ofisini kwake sasa hutamkuta unaambiwa kaenda kunywa chai; au ukimkuta anakwambia njoo kesho; hapo anatengeneza njia ya kukupiga.
 
Kwa ujumla nakerwa na mengi mnayotufanyia watanzania. Serikali yako ni bora msifanye baadhi ya mambo maana kuna mambo mnafanya hata zero brain anaona mnatudharau. Kwanini mnajivua nguo hivyo!? Kwa mini mnachukua maamuzi bila kufikiria?
Hivi kweli inaingia kichwani kusikia eti uhakiki haujafanyika kwa wanasiasa na wateule wa raisi kisa sifa yao ni kujua kusoma na kuandika tu? Mbona wakati wa kuteua (I'm not sure enough) wakuu wa mikoa/mabalozi uliitisha vyeti? Au kwa vile wa karibu yako umpendaye ameguswa katika hili ndo ukaona utupoteze maboya?
Mimi nimekaa darasani miaka yangu 21 nikisoma nikiamini nitakuwa bora kimaisha ukilinganisha na ambaye hakwenda shule. Jamii inaniangalia na kuthaminisha umuhimu wa kwenda shule na kutokwenda. Sasa hivi ambao wamekwnda stationery na kufyatua vyeti wanalipwa mamilioni Mimi nalipwa laki NNE!!!!! Does it sound? Wewe ni Dr, niambie tu ni sawa????

Wazazi wangu waliuza mbuzi, ngombe na hata shamba nisome, Leo unanipa hela ambayo hata mwendesha Bodaboda anaipata kwa mwezi na zaidi nawe unakumbatia nayo majizi eti kisa ni wateule!!

Kati ya waliosoma ulikosa wenye vyeti halali na kuwapa hizo nafasi hadi uangalie wanaojua kusoma tu na kuandika? Tena wenye vyeti feki!!? Kwa nini uwalinde?

Laki nne inanisaidia nini kama sio kunidhalilisha? Halafu kunikomoa eti unaagiza bodi ya mkopo wazidishe makato ili nizidi kuteseka!! Na posho ukaondoa ili niteseke zaidi!!Naishi maisha ya kijinga. Nasema kabisa kama huongezi mshahara na kushughulikia hao majizi nitakuachia likazi lako. Nitachukua mkopo ninunue bodaboda!! Nina uhakika nitamake 600000+ kwa mwezi. Nikipata ajali nikifa poa tu. Nasubiria mwezi July na nipo serious. Nimechokaaa!! Watumishi tumejikakamua then tunaonekana mapoyoyo tu
Hasira uliyonayo na wengine wanayo mioyoni mwao, siku moja majibu atayapata
 
Over 90% lumpenproletariat, siyo rahisi kupata maendeleo.
Wafanyakazi wanatakiwa waongeze juhudi za kuhimiza serikali ifanye uhakiki wa vyeti kwa makundi yote ili kuongeza tija.
 
HUJALAZIMISHWA KUAJIRIWA NA SERIKALI ! KAMA HURIDHIKI TIMKA BADALA YA KUPIGA MAKELELE !
Maisha hayako kama unavyofikiria. Suala hata kama hujalazimishwa maslahi ni muhimu kwa mtumishi wa umma. Unatakiwa uwe chachu ya mabadiliko na sio conservative hata kama unachokumbatia ni uozo tena uonevu.

Halafu hata kama unafaidika wakati wenzio wanaumia sio lazima ujioneshe kwenye jamii. Mwenzio anaandika kwa maumivu wewe kwa tabasamu. Lakini maisha ni mzunguko kaa ukijua
 
Hakika,nashindwa kuelewa tunafanya haya kumfurahisha nani.

Tanzania kweli tunarudi nyuma..mim ccm lkn hili pia cjaliunga mkono hata kidogo
 
Wewe nae ni chizi,wapi umeona nimemtaja Rais.
Nonsense.

Pumbavu mkubwa Wewe au unadhani humu JF tumejaa Wapumbavu wenzio? au kuwa nyuma ya Keyboard hapo ndiyo unadhani uko safe na ukihitajika huwezi kupatikana? Huo ' usela ' wako wa Kishamba wenzako tuliufanya zamani sana na tukauona hauna maana wala faida. Huwezi ukatutukania Rais wetu humu halafu tukakuacha au kudhani tutakuogopa. Tuombe radhi wana JF na Rais wetu kwa kumuita Bundi tafadhali. au unadhani na sisi wengine hatujui Matusi / Kutukana? Bado nasisitiza kuwa hata kama Kiongozi / Rais wetu JPM ana mapungufu yake ila siyo kwa kufikia hatua hadi unakuja humu JF na kumfumba kwa kumuita ' Bundi ' halafu unaonywa Kistaarabu unajifanya unajua kutoa maneno ya Shombo. Hivi Wewe unauwezo wa kupambana nami Vita ya maneno humu JF?
 
Kama anataka kufukuza afukuze wote na majina yao yote yachapishwe magazetini sio sisi wanyonge tufukuzwe na tuchapishwe magazetini wakati wabunge,mawazir na wateule wake wote wasifukuzwe...haki sawa kwa wote..
Angel kairuki ebu Fanya vitu kisomi au na wew huna vyeti??
 
Yaani bora wangekaa kimya wasiongelee chochote kuliko kuliongelea wakat linaonesha kbsa lina kasoro.

Madereva walishaamriwa wawe form four.so watakuwa wanaendesha mabosi wao wanaojua kusoma na kuandika tu?.

Hii sio mbaya,vipi anaegushi vyeti?
 
Na walimu wasilaumiwe kwa division zero make hao ni future wakuu wa mikoa
 
Wanafunzi wangekuwa wanaona ulazima wa kusoma kwa sabab ya promissing future kama matunda ya kusoma sana..lkn hiii duu twafaa
 
Maendeleo ya viwanda kupiga hatua kwa kubomoa nyumba zilizopo bara baran sijui tuko wap na tunakwenda wap nipo kwenye tanzagiza
 
Hakika,nashindwa kuelewa tunafanya haya kumfurahisha nani.

Tanzania kweli tunarudi nyuma..mim ccm lkn hili pia cjaliunga mkono hata kidogo
Huwezi kuwa CCM alafu ukapinga yanayofanywa na mwenyekiti na chama kwa ujumla.kwani uozo na mauzauza yameanza na magufuli?.kuwapo kwenu madarakani kwa miaka takriban 50 ndiko kumetufikisha hapa tulipo.Falsafa nzima ya CCM imeegemea katika kubebana,unafiki na hadaa.kubebana kumekuwepo tangu kipindi cha nyerere ndio maana viwanda vingi vilivyoanzishwa kipindi kile vilikufa sababu ya kuwekwa makada wa chama wasio na elimu wala weledi.Ni unafiki kujinasibisha na haki ilhali uko kwenye chama kinachosifika kwa uminyaji wa haki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom