IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Kutoheshimu na kuzikana nyaraka zake kama hati za viwanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You people are hopelesses of the kind! Hivi mtu akiwa kiongozi anapaswa kufanya maisha ya watu yawe mazuri au aharibu? Kwani hakuna njia bora zaidi ya kuwatesa watu? Kwa mawazo yenu ni kwamba ili aonekane yu sahihi ni lazima watu wawe fukara? Hizo akili makinikia huwa mnagawiwa wapi wakati wengine wanazo zenye fikra yakinifu? Kwendeni zenu huko!!Raisi au kiongozi wa nchi akifuata hayo maneno ya mtaani ya we only live once,sijui maisha ni mafupi,tumia ela ikuzoee,ponda mali kufa kwaja..... etc,nchi itageuka kichaka cha walanguzi.Huo waweza kuwa ukweli lakini usiotakiwa kutiiliwa maanani hata dakika moja na kiongozi yoyote.
Ufukara hauletwi na Raisi wa nchi yoyote,wala hakuna Raisi anayegawa pesa,tafuta alternative pale ulipo kwa namna yako,swala la kulalamikia serikali lipo miaka yote na nchi nyingi za Africa,hatupendi kufanya kazi,tunataka shortcut,tunaishi nje ya uwezo wetu,tunapenda kubahatisha,huna uwezo wa kuweka mafuta kwenye gari unanunua gari la CC 2500 au 3000,umetoka chuo juzi juzi unatangaza ndoa fasta na budget mil 25,mshahara laki 8 unamlipia mtoto milioni 2 kwa mwaka school bus laki na 60 kwa mwezi tena nursery.Kumbe ni michongo ya ofisini,uongozi ukibadilika akaingia mwingine mambo yakabadilika unalalamikia serikali,ikusaidieje?,.,.Kwa waliozoea kula kwa jasho na kuishi ndani ya uwezo tunaona ni poa tu.Kila mtu apambane na hali yake hakuna namna.You people are hopelesses of the kind! Hivi mtu akiwa kiongozi anapaswa kufanya maisha ya watu yawe mazuri au aharibu? Kwani hakuna njia bora zaidi ya kuwatesa watu? Kwa mawazo yenu ni kwamba ili aonekane yu sahihi ni lazima watu wawe fukara? Hizo akili makinikia huwa mnagawiwa wapi wakati wengine wanazo zenye fikra yakinifu? Kwendeni zenu huko!!
.You people are hopelesses of the kind! Hivi mtu akiwa kiongozi anapaswa kufanya maisha ya watu yawe mazuri au aharibu? Kwani hakuna njia bora zaidi ya kuwatesa watu? Kwa mawazo yenu ni kwamba ili aonekane yu sahihi ni lazima watu wawe fukara? Hizo akili makinikia huwa mnagawiwa wapi wakati wengine wanazo zenye fikra yakinifu? Kwendeni zenu huko!!
.Ufukara hauletwi na Raisi wa nchi yoyote,wala hakuna Raisi anayegawa pesa,tafuta alternative pale ulipo kwa namna yako,swala la kulalamikia serikali lipo miaka yote na nchi nyingi za Africa,hatupendi kufanya kazi,tunataka shortcut,tunaishi nje ya uwezo wetu,tunapenda kubahatisha,huna uwezo wa kuweka mafuta kwenye gari unanunua gari la CC 2500 au 3000,umetoka chuo juzi juzi unatangaza ndoa fasta na budget mil 25,mshahara laki 8 unamlipia mtoto milioni 2 kwa mwaka school bus laki na 60 kwa mwezi tena nursery.Kumbe ni michongo ya ofisini,uongozi ukibadilika akaingia mwingine mambo yakabadilika unalalamikia serikali,ikusaidieje?,.,.Kwa waliozoea kula kwa jasho na kuishi ndani ya uwezo tunaona ni poa tu.Kila mtu apambane na hali yake hakuna namna.
Unajieleza mambo meengi utadhani wakili wa serikali au msemaji wa ikulu. Jus 'bear it into your rug-head, ukiwa kiongozi unapaswa kuzijua hali za wananchi na kuzifanya kuwa bora.Ufukara hauletwi na Raisi wa nchi yoyote,wala hakuna Raisi anayegawa pesa,tafuta alternative pale ulipo kwa namna yako,swala la kulalamikia serikali lipo miaka yote na nchi nyingi za Africa,hatupendi kufanya kazi,tunataka shortcut,tunaishi nje ya uwezo wetu,tunapenda kubahatisha,huna uwezo wa kuweka mafuta kwenye gari unanunua gari la CC 2500 au 3000,umetoka chuo juzi juzi unatangaza ndoa fasta na budget mil 25,mshahara laki 8 unamlipia mtoto milioni 2 kwa mwaka school bus laki na 60 kwa mwezi tena nursery.Kumbe ni michongo ya ofisini,uongozi ukibadilika akaingia mwingine mambo yakabadilika unalalamikia serikali,ikusaidieje?,.,.Kwa waliozoea kula kwa jasho na kuishi ndani ya uwezo tunaona ni poa tu.Kila mtu apambane na hali yake hakuna namna.
Hivi weye unaishi nchi gani hadi nikupe mifano? Acha kuwa mpiga zumari mwenye mapengo. Kila mtu analalamika kuwa maisha yameenda kombo. Haya, weye unaeona yapo sawa, hongera!.
Mkuu, tafadhali ainisha hapa hayo maisha mabaya wanayoishi watu. Pia tuwekee hapa ni kwa namna gani kiongozi anawatesa watu.
Pia kumbuka hakuna mtu aliyekatazwa kuwa tajiri. Ufukara wa watu ni kutokana na lifestyle yao mkuu, hakuna kiongozi atakuja awe anagawa pesa kwa watu ili kuwakwamua kiuchumi. Kama mnategemea hicho sahauni, hata mitume wakishuka hawataweza kuwaridhisha.
Mara nyingine watu kama nyie ndio mnapalilia umaskini hapa nchini kwa kuamini na kuhubiri kuwa umaskini unasababishwa na serikali. Tumieni raslimali na nguvu zenu kujikwamua, msingoje serikali iwawekee mabomba ya maziwa na asali.
Mnufaika wa uongozi wa kifashsti lazima utie nenoHii ni sawa tu na watoto kumlalamikia baba au mama yao kuwa ni mnoko anawapa wakati mgumu. Sawa, kwa uelewa wao mdogo wanakuwa sahihi, lakini kwa aliyepevuka kiakili atagundua kuwa wakifanyacho wazazi kwa watoto ni sahihi. Mwisho wa siku hao hao watoto, wakishafikia umri wa utu uzima, watajirudi na kuanza kuwasifia wazazi wao kwa kuwapa malezi safi kabisa yaliyowajenga kimaadili.
Hakuna mzazi mwenye nia mbaya na makuzi ya mwanae. Vilevile mzazi akifuata maelekezo au malalamiko ya watoto kuhusu malezi kwa hakika ataharibu tu mfumo mzima wa malezi bora.
Maisha hayajirudii Mara mbili tunahitaji kupiga hatua,tunataka maamuzi yenye tija kwa nchi sio maamuzi yenye hasara kila kukicha
Magufuli wewe ni mkuu wa nchi tumekupa kila kitu ili uwe dereva wa nchi yetu
Sasa kwanini unkosea kila maamuzi unayofanya?
Ni kweli watanzania tulikosea lukuchagua?
Magufuli kuwa fisad sio kuiba Mali ya umma tu hata kulitia Taifa hasara kutokana na maamuzi ya hasira na yasiyofuata sheria ni ufisad
Tulikuamin tukasema Tanzania imepata nyerere mpya lkn imekuwa tofauti
Tupo njia panda mkuu magu hatujui jahaz laenda kus au kas
Tuliza kichwa Fanya maamuzi sahihi usituharibie nchi
We live once miaka mitano au kumi inatosha kabisa kuharibu maisha ya watu kutokana na Sera zako
This is a wake up call
02 : 35
Sep.05.2017
Usiku mwema
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Wrong!!! Binadamu aliye kamili ni sahihi kuonesha hisia zake. Ni zezeta tu ambaye hawezi kuonesha mwitikio wa hali iliyojiri.