Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe utapigwa mpaka ulambe udongo halafu utakung'utwa mpaka minyoo utakayopata kwa kula udongo itozwe kodi.

Na bado utashabikia kupigwa huko.

Mimi simo huko, natafuta mansion langu la ku retire somewhere safe, jasho lakukimbizana na Magufuli ni la kifalsafa zaidi kwangu.

Schadenfreude is not a sane policy, if it is a policy at all.
We nenda baba sisi wa hapa hapa mpk kieleweke.
Mlio dandia hili lori mtadondoka tu kwa mwendo wa huyu dereva wetu, abiria wengine ni rahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laiti ungejua hakuna mtu anayepitia maisha magumu kama mzee wa chato, usingemsema.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
Maisha magumu ya kulipiwa kila kitu na walipa kodi?

Mtu mwenye maisha magumu hasemi maneni ya kuanzisha migogoro isigo kichwa wala mguu.

Watu wenye maisha magumu hawajhi watakula nini wala kulala wapi.

Wacha kitukana watu matusi ya jumla kwa bei ya rejareja.

Sent from my Kimulimuli
 
We nenda baba sisi wa hapa hapa mpk kieleweke.
Mlio dandia hili lori mtadondoka tu kwa mwendo wa huyu dereva wetu, abiria wengine ni rahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mama mmoja alikuwaanamshadadia Magufuli kama wewe.

Kapigwa chini kazi serikalini hataki hata kumsikia.

Kunawengine walimpigia kura kawavunjia nyumba zao licha ya kuwa na amri ya mahakama inayokataza hilo.

Wewe endelea kumsifia tu.

Ikifika zamu yako kutiwa kidole usilalamike hapa.

Sent from my Kimulimuli
 
Zinakwenda kwenye matumizi tajwa kama ilivyo ainishwa kwenye report ya kila Mwezi. Pitia utaona kipi ni kipi
Kulipana POSHO ZA LAKI 4 PER DAY, Kugawa MABURUNGUTU BARABARANI na kwenye NYUMBA ZA IBADA
 
Mniambie Jamani manake kila mtu hasa viongozi wa chama tawala ndo ilikua kauli yao hii "kuendana na kasi ya Magufuli"
Au mmeishiwa pumzi kasi imekua ya rocket??
Nauliza tu
 
Kwa jinsi raisi wetu JPM alivyo mwoga kukosolewa, inazidi kumshushia credit.

Ukiwa mwoga maana yake watu wanakuona weak. Alafu mtu mwoga kila siku lazima apige mikwara ili kutisha watu kumbe mwoga.

Kuna tv series moja iitwayo Game of Thrones, kuna mfalme mmoja mwoga aliyekua akiamuru sana na kutoa kauli za kutisha.

Siku moja mfalme huyo, mbele ya babu yake akawa anawatisha watu huku akijipiga piga kifua. Watu walipombishia, aliwatisha na kusema, 'I can kill you all, I AM THE KING.' Babu yake alimcheka na kumwambia, 'ANY KING WHO threats his people by saying I AM THE KING, he is no true king.' Na yule mfalme mwishowe alikuja kuuliwa kirahisi sana akiwa hata hajatawala kwa muda mrefu.

Vivyo hivyo hapa kwetu, Rais anapotoa kauli mbali mbali za kujinadi mfano,' MIMI NI RAIS NINAYEJIAMINI.. 'Hii ni sign ya woga. Wewe fanya kazi alafu wananchi waseme wenyewe kuwa Rasi wetu anajiamini. Hii inafanya watu watambue kuwa he is weak.

Kikwete hakuwa mwoga kukosolewa na bado aliwapiga chini wapinzani kwa kishindo awamu zote mbili. Na sasa anaheshimika ulimwenguni kote.

Rais timiza majukumu yako, kuwa na policies zako, ruhusu demokrasia, wape watu uhuru wao.. Usiwe mwoga kukosolewa

Woga huu ndiyo utakaomfanya ashindwe uchaguzi 2020.
 
Mi jamaa mwanzoni nilimkubali sana! Alilokosea kubwa ni kutowapa Uhuru wapinzani waikosoe serikali yake! Ukikosolewa ndo utajua wapi unakosea! Mwanadamu lazima awe na kasoro, hawezi akawa perfect! Amekuwa mungu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom