Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tatizo humu Jamiiforums imefikia kipindi tunadharauliana sana. Yaani tunaonana wote tumekuwa wapuuzi wa kiasi hiki.
Kabisa Mkuu umeongea neno.

Pia watu hawajui kusoma nyakati, yaani wengine ilimradi tu maneno yamtoke tu aonekane ka-comment.
 
Mlizoea kufanya kazi kwa mazoea mkajua maisha yataendelea hivyo hivyo kumbe lo! Asante rais wangu magu.
 
Kweli tupu, ila alishachelewa akibana huku tunatokea kulee.

Aliyetangulia katangulia tu
 
Uchochezi huu.
Aliyeleta hii thread ndio mchochezi. Anataka kutuaminsha kuwa Serikali inabagua Kabila Lao. Anadhani Watu wote hawa jui tabia na mambo ya Kilimanjaro ktk kuimarisha ukabila, upendeleo, wizi, ukwepaji kodi n.k. Nawasifu maana wakikaa kupanga mambo yao hawabahatishi na hawaogopi. Ndio maana sasa wameanza kukana Kabila Lao na koo zao. Mbona mnashindwa Biashara na Wakinga kariakoo kama nyie mna akili nyingi za Biashara Nchi hii. Wajinga wanatoka mkoa wa Njombe zamani Iringa hawatoki lake zone. Nyie hamuwezi competition katika mazingira halali ya kila kitu. Kwenye rushwa, wizi, upendeleo mlishinda sana sasa havipo hivyo mnalalamika wenzenu wamezoea haki sasa inapatikana wanashinda tender. Endelea kubadili majina. Hadi 2025 mtajua kushinda kwa haki maana hamtaweza kushindana na penye haki
 
Watuminye tu lakini mkoa wake hauwezi kuwa na foleni kama za kilimanjaro mwezi december, najua roho inamuuma akionaga ile misururu.
Sisi lake zone hatutapanga foleni kwa kuharibu mazingira. Mnajifurahisha na mifoleni huku mnasahau kuwa mnaharibu mazingira. Sisi tunasubiri train ya mwendo kasi SGR yatosha. Riziwani aliwaonya kazikazini hamkuamini
 
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
Kijana tema mate chini usubiri mshahara wako mwisho wa mwezi si rahisi kuelewa au kuamini haya kama haujawahi kuwa karibu au kufanya haya mambo.
 
Huyo anashiriki biashara nyingine siyo ya government tendering, vigezo vya tenda ya umma zaidi ya specs na vigezo. THE LOWEST BIDDER WINS na zaidi ya hapo, anayeshindwa anatumiwa notification ya ni nani kashinda ili ikilazimu atoe pingamizi. Huyo alikuwa anafanya biashara za deal siyo tendering, hizo zimekuwa biashara kichaa aachane nazo kwa awamu hii.
 
Kama haya ni ya kweli ambayo wanafanyiwa kabila hili basi nchi yetu tayari imegeuka. Ingawa tunaweza kusema ni ya kweli au siyo ya kweli, vipo vihashiria vinavyosema ni ya kweli.

Wapo watu fulani wakubwa tu wenye makampuni yao ambao walikuwa wamekaa kama kamati fulani kujadili namna ya kukabiliana na kile walichokiita changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara. Watu hawa ni wa kabila moja maarufu sana Tanzania linalotoka kanda ya kaskazini. Kiukweli ni maneno ambayo nimeyasikia wakiyaongea tena wanayapa mkazo kwelikweli na mbinu ili kujikwamua.

Jamaa mmoja akasema yeye ni mtu anayeomba tenda mbalimbali za kusambaza vifaa kwenye taasisi za serikali ila amekuwa akipata changamoto ya kunyimwa tenda lakini akakiri wazi kuwa kabla ya utawala wa awamu ya tano mambo hayakuwa hivi! Huyo akadiriki kusema kuwa aliamua kuanza mchakato wa kubadili jina lake la ukoo kwenye documents anazoombea tenda ili tu asikatwe kwa kigezo hicho. Anakiri wazi kuwa walau hilo limeanza kumpa uhai. Naomba ninukuu baadhi ya maneno aliyosema "Siwezi kutumia tena jina la TARIMO kwenye kuomba zabuni. Limekuwa likiwa kikwazo kwangu! Hata wanangu wote nimewaambia wabadili jina lao la ukoo kwenye mambo yao ya shule! Wasitumie kabisaa jina hilo" Mzee huyo kweli akawa anasisitiza hivyo.

Katika maongezi yao kumbe kuna mama mmoja mfanya biashara ambaye alishauriwa asiweke jina lake la asili kwenye makabrasha yake ya kuomba tenda ya mabilioni ya fedha kwenye moja ya mashirika ya serikali. Nadhani aliyemshauri ni mmoja kati ya wazee waliokuwa wakijadiliana katika mjadala huu. Mara lile jina lake likaanza kujadiliwa. Nadhani hili jina linaweza kuwa linatokea Maeneo ya Wilaya ya Moshi. Lakini katika mjadala wao wakagundua kuwa jina hili halifahamiki sana kama jina la kikabila. Mara nikaona mzee mmoja akinyanyua simu na kumpigia yule mama na katika maongezi yake akamuambia "Kwenye documents usiweke jina la ukoo la mume wako! Hilo linajulikana, tumia jina la upande wa baba yako ambalo linaonekana siyo maarufu kulitambua" Kwakweli nimeacha mjadala ukiwa hot sana na inaonekana hili kabila limeanza kukutana na adha kubwakubwa za hapa na pale katika miangaiko yao ya kutafuta riziki.

Pamoja na hayo nalisifu kwa kung'amua hilo na kuanza kutafuta mbinu za kukabiliana na hili jambo.

Hayo ndiyo niliyokutana nayo kijiweni moja ya maficho maalum ya wazee maalum ambapo nilibahatika kuingia hapo baada ya kuwa nimempeleka boss fulani kumkutanisha na mtu ila huu mjadala umechukua muda mrefu nawanajadili kwa umakini na wanaweka uthibitisho! Wengine wanasema kuwa wanapigiwa simu kutoka huko juu na watu wanaowapenda na wamekuwa wakiwapa huo ushauri wa kuondoa kabisa majina ya koo zao au kuyaandika kwa herufi moja tu pale wanapotaka kuomba zabuni mbalimbali.

Hapa ni kazi kwa kazi.Tafuta mbinu ya kupata kazi!
Tukisema Tanganyika kuna ukabila kuna watu wanapinga.....nchi inaelekea ukingoni....
 
Hiyo anaskiriki biashara nyingine siyo ya government tendering, vigezo vya tenda ya umma zaidi ya specs na vigezo. THE LOWEST BIDDER WINS na zaidi ya hapo, anayeshindwa anatumiwa notification ya ni nani kashinda ili ikilazimu atoe pingamizi. Hiyo alikuwa anafanya biashara za deal siyo tendering
True
 
Leo ndio nimekubali kuwa kuna waongo waliopitiliza.
Unapoanzisha thread humu jiridhishe pasipo shaka kuwa kuwa unauhakika wa kile uzungumzacho.

Nibahati nzuri pia baadhi ya wanaojibu thread hii ni watu wanao deal na tender procedures.
Nikuhakikishie kuwa awamu hii hao unaowasema ni kina akina Tarimo ni either wamekosa sifa ya kupata zabuni au walizoea kuhonga ili kupata zabuni.

Awamu hii tafadhari elewa kuwa hakuna anaye hatarisha kazi yake kwa ajili ya kumfurahisha mtu fulani hata awe nani.

Professional wa manunuzi naamini wamebadiluka tofauti na huko nyuma ilivyokuwa.

Kwa sasa elewa kuwa anayekosa zabuni ni dhahiri amekosa sifa za zabuni husika.

Hayo mambo ya ukanda katika professional za watu hayapo kabisa mkuu.

Kesho watu wajinga waanza sema ukienda hospital na jina la Nkya huwezi tibiwa kisa ni kabila toka kaskazini.

Shem of you uliyoanzisha hii thread
 
Sasa unadhani mimi naweza kupoteza muda kutunga story? Nilitamani kujua wanawezaje kufanya hivyo kirahisi kwani naelewa ni vigumu kujificha na hata kubadili jina la kampuni ambalo umelitengeneza. Ila nikagundua pia kuwa kama wanapigiwa hadi simu na wasaidizi wa mkuu, huenda yeye ndiyo hasa mkuu anaangalia jina la mkurugenzi
linafananaje! Labda hiyo ya kubadili majina au kuweka initials haijalishi kama kampuni inajulikana au vipi ila ni vigumu mkuu kuzielewa kampuni zote ila akishaona tu mkurugenzi wake ni fulani kutokana na jina basi palepale anakata! Lazima tukiri kuwa mkuu ameasisi hilo la kuangalia kazi kikabila na data zipo! Kina Lissu walilisemea! Sasa unaweza kupunguza makali kwa kutokutumia hilo jina. Unafanya hivyo ili kujiweka walau kwenye eneo ambalo hutakatwa mwanzoni kutokana na jina! Hilo walau utaliepuka ingawa huna uhakika.

Kuhusu mambo ya zabuni kwa kufuata taratibu siku hizi hayapo tena!

Umesema kama yatahitajika, je unaweza kusubiri na njaa kali leo ili ujipe matumaini pengine ya kushiba kesho wakati hujui hiyo kesho itakuwaje? Epuka hilo kama njia zipo.

Nimekutana na huu mjadala na watu walikuwa wanaongea wakimaanisha!
Ivi unapiandika hayo yote hukuwauliza taratibu za mtu kushinda zabuni?
Kwamba aliyeomba zabuni ni kampuni au mtu binafsi,?
Kama ni kammpuni nani anatokea kama muombaji?????
Me naona unaukosefu wa uwelewa katika manunuzi.
Nenda pale PSPTB kachukue hata foundation course utaelewa nini huwa kinafanyika katika kuaward tender
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
Ukisha zoea kula nyama za watu hutaacha! Kwa ujinga wenu mnadhani mkiwabagua hao ndio mtaacha ujinga wa kuwa na ngombe 10000 lakini bado mnalalia ngozi? acheni siasa za kijinga .
 
Unawaongelea wamasai?
 
Story za vijiweni kama ulivyosema si za kuchukulia seriously sana, ni changamsha genge muda uende.
 
Wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere,kuna wakati ulifika wazee wengi sana wa kichaga walibadili majina ya ukoo kwenye majina ya watoto wao.Kama ambavyo mtoa mada alivyosikia kwenye hayo mazungumzo.UKWELI NI KWAMBA HATA MIMI PAMOJA NA NDUGU ZANGU WOTE KWENYE FAMILIA YETU. HAKUNA HATA MMOJA ANAELITUMIA JINA LA UKOO ALILOKUWA ANALITUMIA BABA YETU,AMBAE ALIKUWA MTUMISHI WA SERIKALI.WATU WENGINE WANAPENDA KUBISHANA TU.MSISAHAU KUWA "LISEMWALO LIPO,NA KAMA HALIPO BALI LAJA".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom