SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Kabisa Mkuu umeongea neno.Tatizo humu Jamiiforums imefikia kipindi tunadharauliana sana. Yaani tunaonana wote tumekuwa wapuuzi wa kiasi hiki.
Pia watu hawajui kusoma nyakati, yaani wengine ilimradi tu maneno yamtoke tu aonekane ka-comment.