Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tulia wewee. Yani kabisa unaridhika jamaa anavyoididimiza nchi yetu? Rebeca 83 kabisa kukuambia anampenda jamaa lakini siku zinavyozidi kwenda anakuwa dissapointed naye Na Akina Rebecca Ni wengi. Jiulize wangapi walishamuona mkombozi mwanzoni was utawala wake alipokuwa anatembelea mahos
Pia kuna wengine hawakumuona kama mkombozi ila wamenadili gia na sasa wanamuona mkombozi.
Kubali matokeo, usidhani mko watu wa mawazo yenu tu.
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)

Naunga mkono hoja
 
Marry, binadamu ndivyo tulivyo, huwezi kupendwa na wote, hata mimi nilipokuwa mtangazaji wa kipindi cha Kiti Moto, kuna watu walikuwa wanawahi nyumbani kukiangalia ili wasikimisi, na kuna watu, nikitokea tuu, wanazima TV au kuhamisha stesheni!. Ni kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa, mwenzako ni neema. Kuna waziri fulani wa Mkapa, mtu wa Musoma, nikamsikia mdada mmoja akisema, hivi mtu unawezaje kumpenda jitu kama lile?!, amimi usiamini, nilipokea taarifa jinsi waziri huyo anavyogombewa na warembo!, hivyo usichokitaka wewe, wenzako wakitafuta!.

Kumchukia mtu sio kosa, ila ni dhambi kwa Mungu!. Amri Kuu ni upendo, hata adui mpende!. Chuki ikizidi, inageuka ugonjwa, hivyo angalia usiugue!.

Kuna wengine wanachukia kwa chuki tuu for no apparent reasons na hakuna kosa lolote!, na wengine ni just chemistry tuu haziendi, hivyo hakuna kosa kumchukia yoyote, ila kosa ni kumjengea chuki ili achukiwe na wengine, huu ni uchochezi.

Vivyo hivyo wewe unavyomchukia, vivyo hivyo ndivyo wengine wanavyompenda hadi kuomba atawale milele!.

Wakati wa JK, alibezwa sana, na kuna watu walifunga na kuomba Mungu atuletee rais dikiteta ili ainyooshe nchi, na kweli Mungu kasikia sala yetu, akatupatia Magufuli.

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

P.
Paskali, kwanza, hizi ni hisia zangu na si kwa ajili ya kuwachochea wengine wafanye hivyo.

Pili kwa habari ya dhambi, ni nyingi twafanya hivyo sidhani Mimi kuchukia mtu ambaye, kwa mtazamo wangu, anaiharibu nchi si neno kubwa.

Tatu, unaruhusiwa pia kumpenda na kufurahia, ni haki yako kama Mimi nilivyo na haki ya kumchukia kuliko shetani huyo anaye taka tuishi kama yeye
 
Mi naogopa kusema sijui usalama wangu humu ningesema endapo nitahakishiwa usalama wangu
 
Nakuunga mkono mtoa post lile jitu ni Zaidi ya Shetani,limejaa unafiki,Roho mbaya linyama la kutupa!!
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Hata enzi za mitume, walikuwepo watu kama wewe waliowachukia mitume kwa hiyo wewe sio wa kwanza
 
Pia kuna wengine hawakumuona kama mkombozi ila wamenadili gia na sasa wanamuona mkombozi.
Kubali matokeo, usidhani mko watu wa mawazo yenu tu.
tumechoka aisee. Tuko tayari kufa kwa kupigania haki demokrasia kwa mstakabali wa Taifa let Na maslahi mapana kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo.

Kamwe hatuakubali vijukuu vyetu vitulaumu. TUNASEMA BAAS yatosha. HATA nisipokufa leo bado nitakuja kufa tu sitaishi milele.

Mkoloni mweusi lazima ATUBU Na adhibitiwe.

Maaamaee
 
Sasa nchi inaenda kama gari bovu kwa mujibu wa mwinyi
 
Screenshot_20180217-192614.png
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Kajitundike! Wee ni nani kati ya million zaidi 44 ya watanzania tunaompenda? CHADEMA imefanyanini? Kamwambie Mbowe wako alete democrasia ndani ya CHADEMA kwanza!
 
2025 hakuna uchaguzi tanzania na kama utakuwepo atagombea tena, E MUNGU TUHURUMIE
 
Paskali, kwanza, hizi ni hisia zangu na si kwa ajili ya kuwachochea wengine wafanye hivyo.

Pili kwa habari ya dhambi, ni nyingi twafanya hivyo sidhani Mimi kuchukia mtu ambaye, kwa mtazamo wangu, anaiharibu nchi si neno kubwa.

Tatu, unaruhusiwa pia kumpenda na kufurahia, ni haki yako kama Mimi nilivyo na haki ya kumchukia kuliko shetani huyo anaye taka tuishi kama yeye
Kama hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe, then usimchukie hivyo ndugu yako!.
Damu nzito kuliko maji!.

P
 
Kosa la upinzani ni kucheza muziki wa CCM. Leta safu mpya za uongozi, zama za Mbowe zimefika ukomo, upinzani wa Leo ili ukuwe unahitaji mawazo makubwa Na uthubutu mkubwa kuliko alionao Mbowe.
Ni wakati wa wapinzani kuwafikiria umma badala ya matumbo yao
Bado naamini chadema ni imara chini ya Mbowe. Kwa hizi siasa za sasa Mbowe anahitajika sana,otherwise hakuna upinzani,najua umenielewa
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)

Ni kosa kumchukia mtu. Wewe mvumilie tu muda wake utapita.
Na kibaya zaidi ukimchukia waishia kuumia wewe, yeye hana habari yuko zake magogoni anakula kiyoyozo huku akitimiza majukumu yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom