Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wako wengi wenye vyeti fekiKwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
Tunaowajua ni hao waliobainikaMbona wako wengi wenye vyeti feki
Kafa babangu kafa mamangu Nchi stress tupu kuanzia viongozi hadi wanawake wa nchi hii stress tupu acha nife tu sina cha kupotezaMkuu unatamani kufa?
Mpuuzi wee bashite na mm nani mwenye vyeti feki??Kwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
Kingungw aisema...huyu...mhHuyu anafaaa kuwa Mnyapara- R.I.P Kingunge
Sigara kali ndo ana vyeti fekiMpuuzi wee bashite na mm nani mwenye vyeti feki??
Mama yako mdogo tutamuokota hapo ulipopasema. #NoToRohoMbaya#Sikuja Ikulu kuuza sura,ata usiponipenda mke wangu ananipenda inatosha.Hivi eti we braza unapajua Coco Beach?
[emoji15]Sikuja Ikulu kuuza sura,ata usiponipenda mke wangu ananipenda inatosha.Hivi eti we braza unapajua Coco Beach?
Umemaliza Mkuu kabla ya kuogopa kufa jiulize unaishi ili iweje au mazoeaKafa babangu kafa mamangu Nchi stress tupu kuanzia viongozi hadi wanawake wa nchi hii stress tupu acha nife tu sina cha kupoteza
Non of our business. Keep on hate your self.Me nalilia FAO LA KUJITOA nlilodhulumiwa mchana kweupe [emoji22] [emoji22] [emoji22]
I hate to be Tanzanian
Ha ha ... aisee!!ukachaguliwa kwa bahati mbaya kuwa rais wa Nchi hii