Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
 
Mbona wako wengi wenye vyeti feki
 
Kwanza unatakiwa ushukuru mungu pamoja na serikali ya Mh Magufuli kwa kukusameheni na vyeti vyenu fake akawafukuza kazi tu bila kuwapeleka mahakamani vinievyo ungekuwa nyuma ya nondo na jamii forum ungekuwa unaiskia kwenye bomba
Mpuuzi wee bashite na mm nani mwenye vyeti feki??
 
Kafa babangu kafa mamangu Nchi stress tupu kuanzia viongozi hadi wanawake wa nchi hii stress tupu acha nife tu sina cha kupoteza
Umemaliza Mkuu kabla ya kuogopa kufa jiulize unaishi ili iweje au mazoea
Watu wanaogopa kufa wakati hawana la maana wanalofanya humu duniani
Kama majambazi yaliyotupora FAO LA KUJITOA hayana maana humu duniani zaid ya kuumiza watu afu yanaogopa kufa,mxiiiiiiuuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom