Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Haya semeni!!Basi tuacheni tuseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya semeni!!Basi tuacheni tuseme
Nimecheka sana!!Anasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
millard ayo ckuhz hamna kitu nae huwa anatoa taarfa za uongoTanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika – Millardayo.com
[emoji1] [emoji1] uchumi umehamia chattelTanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika – Millardayo.com
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanao msaport huyu jaa nao wakapimwe akili sio kwa matamshi hayo ambayo hata mtoto hawez tamka huo ujinga...mama J anavumilia mengi.
Huyu boss sio kwamba ni mbovu kwa kila kitu, mambo mengine yanakwenda vizuri sana tu. Anahitaji kujirekebisha ktk mambo madogo dogo tu...pia KWA KWELI anatakiwa aingie ktk maombi ya kufunga atubu kwa nafsi yake na ya watu ktk taifa letu...na zaidi amuombe MUNGU ampe NEEMA ya kusikiliza na kushaurika, pia afumue jopo la washauri wake na kuweka baadhi ya sura mpya zisizo fungamana na hila na siasa za uonevu. Asisahau kuweka viongozi wa dini zote ktk kushauri na kuyajenga ili kuongeza ufanisi. Aaache na baadhi ya vijana wanaompotosha (ajifunze kwa maandiko matakatifu juu ya viongozi walioacha ushauri wa wazee na kugeukia vijana walivyoangukia pua), WAZEE ni hazina ya taifa, hata kama hawana pesa au elimu kubwa ila wamejifunza vitu vingi kwa vitendo kutokana na mapito waliyopitia (Jifunze kwa Mzee kijana wa Msoga, alipokuwa anawaita wazee wa Dar, japokuwa kulikuwa kuna siasa ndani yake).
Kweli ilikuwa nilale leo bila kucheka, lakini ndo maana kuna JF ambayo "Mungu? au Malaika" wetu anataka ifutwe!!!! Hahahahah. Haya bwana. Unafikiri atapoteza sana muda kufikiri ushauri wako.... saaana labda atawaambia wale "wasiojulikana", hivi muna weza kumujua huyu mtu!!!! Hahashahaa
Harooo yale majamaa yanakuja? Ngoja niongeze komeo zaidi