Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wanao msaport huyu jaa nao wakapimwe akili sio kwa matamshi hayo ambayo hata mtoto hawez tamka huo ujinga...mama J anavumilia mengi.
 
Screenshot_2018-03-13-09-15-34-1.png
 
Kweli jamaa malaika wa kuzimu atawaongoza maana ana roho ngumu kama jiwe la mtoni!
 
Anasema angependa atakaporudi kwa Muumba wake apewe kazi ya kuwasimamia Malaika.
Lakini kabla hajaenda huko hebu tutathmini matamshi yake kuhusu malaika, matamshi yanayoakisi fikra zake.
1. "Hao wanaoishi kama Malaika nitawashusha waishi kama mashetani!"
2. "Natamani Malaika ashuke aifunge mitandao yote!"
Sasa Bwana huyu akishatangulia huko hali itakuwaje?
Ninachohofia mimi nikuwa endapo kama atapewa Ukiranja wa Malaika, na kwa akili zake hizi, basi yafuatayo yatajiri:
1. Malaika wote atawafanya waishi kama mashetani.
2. Atamtuma Malaika mkubwa ashuke haraka sana ili aifunge mitandao yote, hasa ya kijamii.
Kwahiyo atakapotangulia mbele za haki hakutakua na nafuu yoyote, endapo ataupata huo ukiranja, kwahiyo itabidi watu wamuombe sana Muumba asije akamkubalia ombi lake, ni bora Mungu akamjumuishe na wale ambao atafanikiwa kuwashusha kuishi maisha ya kishetani huko kuzimu.
Nimecheka sana!!
 
Wanao msaport huyu jaa nao wakapimwe akili sio kwa matamshi hayo ambayo hata mtoto hawez tamka huo ujinga...mama J anavumilia mengi.

Huyu boss sio kwamba ni mbovu kwa kila kitu, mambo mengine yanakwenda vizuri sana tu. Anahitaji kujirekebisha ktk mambo madogo dogo tu...pia KWA KWELI anatakiwa aingie ktk maombi ya kufunga atubu kwa nafsi yake na ya watu ktk taifa letu...na zaidi amuombe MUNGU ampe NEEMA ya kusikiliza na kushaurika, pia afumue jopo la washauri wake na kuweka baadhi ya sura mpya zisizo fungamana na hila na siasa za uonevu.

Asisahau kuweka viongozi wa dini zote ktk kushauri na kuyajenga ili kuongeza ufanisi. Aaache na baadhi ya vijana wanaompotosha (ajifunze kwa maandiko matakatifu juu ya viongozi walioacha ushauri wa wazee na kugeukia vijana walivyoangukia pua), WAZEE ni hazina ya taifa, hata kama hawana pesa au elimu kubwa ila wamejifunza vitu vingi kwa vitendo kutokana na mapito waliyopitia (Jifunze kwa Mzee kijana wa Msoga, alipokuwa anawaita wazee wa Dar, japokuwa kulikuwa kuna siasa ndani yake).
 
Ha ha ha ha !!!! Sasa malaika no watakatifu,, yeye anao huo utakatifu mpaka akapewe huo ukiranja wa malaika???
 
Huyu boss sio kwamba ni mbovu kwa kila kitu, mambo mengine yanakwenda vizuri sana tu. Anahitaji kujirekebisha ktk mambo madogo dogo tu...pia KWA KWELI anatakiwa aingie ktk maombi ya kufunga atubu kwa nafsi yake na ya watu ktk taifa letu...na zaidi amuombe MUNGU ampe NEEMA ya kusikiliza na kushaurika, pia afumue jopo la washauri wake na kuweka baadhi ya sura mpya zisizo fungamana na hila na siasa za uonevu. Asisahau kuweka viongozi wa dini zote ktk kushauri na kuyajenga ili kuongeza ufanisi. Aaache na baadhi ya vijana wanaompotosha (ajifunze kwa maandiko matakatifu juu ya viongozi walioacha ushauri wa wazee na kugeukia vijana walivyoangukia pua), WAZEE ni hazina ya taifa, hata kama hawana pesa au elimu kubwa ila wamejifunza vitu vingi kwa vitendo kutokana na mapito waliyopitia (Jifunze kwa Mzee kijana wa Msoga, alipokuwa anawaita wazee wa Dar, japokuwa kulikuwa kuna siasa ndani yake).

Kweli ilikuwa nilale leo bila kucheka, lakini ndo maana kuna JF ambayo "Mungu? au Malaika" wetu anataka ifutwe!!!! Hahahahah. Haya bwana. Unafikiri atapoteza sana muda kufikiri ushauri wako.... saaana labda atawaambia wale "wasiojulikana", hivi muna weza kumujua huyu mtu!!!! Hahashahaa
 
Kweli ilikuwa nilale leo bila kucheka, lakini ndo maana kuna JF ambayo "Mungu? au Malaika" wetu anataka ifutwe!!!! Hahahahah. Haya bwana. Unafikiri atapoteza sana muda kufikiri ushauri wako.... saaana labda atawaambia wale "wasiojulikana", hivi muna weza kumujua huyu mtu!!!! Hahashahaa

Harooo yale majamaa yanakuja? Ngoja niongeze komeo zaidi
 
Harooo yale majamaa yanakuja? Ngoja niongeze komeo zaidi

They say the more you laugh, the more u add numbers to your life. Wacha nivunje mbavu zangu usiku huu.... Na jana nimesubiri mpaka timu yangu Barca tumepita(ila kifo kinatusibuiri hapo mbele labda tupewe tena timu ya uingereza. off the topic...) Hahahaha sasa wapi tena unapotezea tu stress twako zaidi ya JF!!!
 
Salamu...

Tuna uongozi wa ajabu kweli.
Ule Uhuru wa kila mwananchi kikatiba wa kujieleza na kutoa maoni yake umepotea.

Kama ni haki yetu kikatiba kutoa maoni inakuwaje hii kamata kamata!?

Tunapoelekea hata ile haki ya kuishi watataka tuombe kibali polisi..!!
Yes, ndiko tunakoelekea maana haki zote ni sawa kikatiba.

Walianza kwa wanasiasa, wasanii, wandishi, wanaharakati na imefika kwa wachungaji. Ni hatari.

Hivi wachungaji wakipangiwa hili usihubiri si ipo cku wataambiwa mstari huu wa biblia marufuku kuusoma..!!

Ni hatari
 
Mbona unaongea kama unakimbizwa? Niwapi huko pasipokuwa na uhuru wa kujieleza? Ni mchungaji gan amezuia kuhuri? Vingenevyo acha uchonganishi
 
Kiongozi mzuri ni yule anayekosoa na kukubali kukosorewa. Cha ajabu Rais Magufuli anakosoa watu kila kukicha lakini hataki kabisa kusikia akikosorewa. Tena anaenda mbali zaidi kusema msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ila yeye hataki kusikia ukweli juu ya kasoro zake. Anataka kusikia akisifiwa tu ili hali akijua ukweli kwamba hakuna mtu asiye na kasoro.

Kuthibitisha hilo hata huu uzi wa kumkosoa utafutwa kwa hofu ya kushughulikiwa.

Tumefika tusipopataka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom