imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sisi abiria tuko poa na tunajua tunakoelekea na kasi ya dereva wetu sio mbaya.hataki maswali maswali kwanza mpaka akamilishe hizo kilomita 2020.Are you sure hakuna option nyingine mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi abiria tuko poa na tunajua tunakoelekea na kasi ya dereva wetu sio mbaya.hataki maswali maswali kwanza mpaka akamilishe hizo kilomita 2020.Are you sure hakuna option nyingine mkuu
Huko jikoni mnufaika wa mfumo utoshindwa vipi kusifu na kuabudu,ila kanifurahisha ni ishu ya viroba nampa OK,jinsi watu wasomavo no vingeuwa wengi sana kama kimbilio.Sisi abiria tuko poa na tunajua tunakoelekea na kasi ya dereva wetu sio mbaya.hataki maswali maswali kwanza mpaka akamilishe hizo kilomita 2020.
Sijui ndio nini sasa!.Huko jikoni mnufaika wa mfumo utoshindwa vipi kusifu na kuabudu,ila kanifurahisha ni ishu ya viroba nampa OK,jinsi watu wasomavo no vingeuwa wengi sana kama kimbilio.
Sisi abiria tuko poa na tunajua tunakoelekea na kasi ya dereva wetu sio mbaya.hataki maswali maswali kwanza mpaka akamilishe hizo kilomita 2020.
Tunaimani nae kama nynyi mlivyokuwa na Lowasa sasa kipi cha ajabu.Nyie mchekeeni tu huyo dereva wenu. Gari linaenda kwenye Korongo bado mnakenua meno tu. Kwa speed hiyo mtaishia Mochwari au Muhimbili.
Kwani tawala zilizopita hazikuyaona yote unayoyasema wewe, je ni nini kilifanya mambo yawe shaghalabaghala mpaka tukafikia tulipofikia?Hatuamki asubuhi tukasema tunaenda kwenye viwanda, lazima tujiulize vilivyokuwepo kwa nini vilikufa. Tuna mioundombinu ya uhakika? tuna umeme? tuna malighafi? Leo tunalizwa na sukari, tumejiuliza kwa nini hatuwezi kuzalisha sukari ya kutosheleza mahitaji?
Mimi simuamini mwanasiasa yoyote.Tunaimani nae kama nynyi mlivyokuwa na Lowasa sasa kipi cha ajabu.