ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
MANENO kuntu walahi!Kweli Mkuu jamaa anachotamani si kitu kizuri,msongo wa mawazo,masumbufu ya maisha,kutokufikia malengo binafsi,kukatishwa tamaa,kushindwa kutimiza mahitaji na hali mbaya ya kisiasa(political instability) mara nyingi hutusababisha watu wengi na hasa sisi vijana kufikia hatua ya kuwaza haya. Hatufikirii wahanga wakuu Mara chache sana huwa si sisi(maana tuna nguvu, bali)
- Wanawake
- Watoto
- Wazee
Tujitahidini kuifanya dunia iwe sehemu salama,hata kama wengine hawafanyi sisi tufanye kwa nafasi yetu!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kikubwa kwa vijana ni kuacha kabisa kuishi kwa mazoea!
Mimi nina machimbo ya mawe na niko na wachina, yaani ndugu yangu sikufichi, mimi mwenye mali na na contractors wa kichina tunaamka saa 11 asubuhi!
Vijana waajiriwa ni kukaa na kunywa pombe usiku mzima, asubuhi wako hoi, focus zero.
Alafu hao hao ndio wanalalamika!
Waache uvivu wa fikra na kila kitu chao kitanyooka tu!
Shida iko kwenye ku focus na responsibilities!
That’s all!