silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Uzi wako uko ICU.Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu
ISIS johnthebaptist thetallest