Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu

ISIS johnthebaptist thetallest
Uzi wako uko ICU.
 
ONDOA UWONGO WAKO HAPA!
HAHAHAHA
JIFURAHISHE NAFSI YAKO TU WALAHI!
0452F506-0FD0-42F0-A1C4-8C9DEBD63F46.jpeg
 
Wewe ndo wananchi au
Wananchi ni wale wanaohoji ujenzi wa uwanja wa ndege chato ili hali hospital hazina dawa, ni wananchi ni wale wanaoshangaa pesa za umma kuchukuliwa Hazina kienyeji kutumika kuwanunua wabunge, madiwani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ili hali jamii imekawa na changamoto kibao, kuna 10% kwenye ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli na miladi mikubwa yote huko ndipo wananchi husimama kunung’unika
 
Eti Chato airport na madlimulaina ndo kipaumbele cha wanyonge,

Tumeshindwa kwasha spotlight kuokoa wahahanga wa ajali.

Jeshi LA navy halina vifaa vya uokoaji Galina boat, halina helicopter, halina divers
Una akili kama jemedari wako mbowe. Unadhani zilitakiwa tochi uzijuazo wewe kumulika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom