Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwanza alisema alijaribu akasukumiziwa humo.. Ya nini kuwa na rais wa majaribio
 
Najua muda ukifika mheshimiwa sana atarudia ngonjera zake za siku zote akiwa kwenye ziara rasmi au za kustukiza; atafanya utumbuaji na uteuzi hadharani na kushangiliwa sana na 'wadanganyika'.
 
Hivi atashindaje ? Sera atakuja nazo zipi ? Kila sector amevuruga nasubiri propaganda kudanganya wanavijiji na wanawake ndio wapiga kura wake
 
Watanzania tulivyo tutamchagua tu

Kuna watanzania watamchagua lakini sio wengi, ila atatumia ubabe kutangazwa maana anaona aibu sana kushindwa. Kwa maneno marahisi jiwe sio mshindani na hatakaa aweze.
 
Kuna wazee 40 huwa nawanunulia kahawa kila siku jioni nimeshawaambia kabisa uchaguzi ujao wakimchagua mtu wa ajabu wasitegemee tena kuwa nitawanunulia kahawa na wala kuwapa msaada wowote
Duh umeanza rushwa ya uchaguzi mapema sana.
 
Kuna wazee 40 huwa nawanunulia kahawa kila siku jioni nimeshawaambia kabisa uchaguzi ujao wakimchagua mtu wa ajabu wasitegemee tena kuwa nitawanunulia kahawa na wala kuwapa msaada wowote
Hao wazee unawanunuliaga huko Rwanda au Burundi wewe bwana Irakunda?
 
Ccm wenyewe tunaishi nao huku mitaani choka mbaya . Wamebaki kusifu tu ilanl ukweli wanaujua
 
Mambo ni fire ,mwakani kiuhalali hawatoboi labda goli la mkono na ndicho kilichobaki.
 
yani nyinyi mnadhani raisi anapita kwa kura zenu,,mmechelewa sana,

komaeni kwanza na mabadiliko ya katiba na tume huru,
kura zipo store zina subiri tarehe ya uchaguzi,
Siasa za Africa ni za maji taka,
 
Huyu mzee 2020, atalinda vituo vya uchaguzi na vifaru, maana kama waliopo kazini wanamchukia hivi, je wale walio graduate tangu 2016 na wapo tu mtaani bila ajira madhara yake anayaona? au nao ni wapiga dili? au anafikiri hata wazazi wa hao vijana wanafurahia kuwaona vijana wao wakiwa nyumbani bila shughuli? stay tuned 2020...... loading.
 
Kuna wazee 40 huwa nawanunulia kahawa kila siku jioni nimeshawaambia kabisa uchaguzi ujao wakimchagua mtu wa ajabu wasitegemee tena kuwa nitawanunulia kahawa na wala kuwapa msaada wowote
Mi kijijini sipeleki misaada tangu wachague lofa mwenzao
 
Weee jamaaa banna wapo walio graduate toka 2010 wapo mitaan tu.... Waliojiajiri hali ya uchumi wamefunga miradi na biasha zao wapo mitaani tu, hawana cha kupoteza. Ila amini nakuambia CCM ita tawala sana, watanzania ni malumbuken wa kutupwa, wapo busy na vitu vya hovyo hovyo... Clip za kina gwajima.
 
Huyu mzee 2020, atalinda vituo vya uchaguzi na vifaru, maana kama waliopo kazini wanamchukia hivi, je wale walio graduate tangu 2016 na wapo tu mtaani bila ajira madhara yake anayaona? au nao ni wapiga dili? au anafikiri hata wazazi wa hao vijana wanafurahia kuwaona vijana wao wakiwa nyumbani bila shughuli? stay tuned 2020...... loading.
Unaota wewe wapo mpaka 2007. Usipojiongeza itakula kwako. CCM mbele kwa mbele.
 
Rais wetu yupo nje ya nchi anatibiwa majera ya kutaka kumdhuru yaliyo fanywa na hyu bwana Ally Bashiri. Akirudi tuu tunampa nchi na huyu Ally Bashiri ajiandae kisaikolojia kuishia jela na vibaraka wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom