Kisonono
Member
- Sep 23, 2016
- 29
- 21
Wanaomsifia Magufuli ni wanafiki sana, mtu anayejimwambafy na kujiona yeye ni Bora kuliko wengine, mtu asiyeheshimu mihimili mingine, mtu anayejiona yeye ndiye mzalendo zaidi ya wengine, mtesaji na muuaji, unaanzaje kumsifia mtu huyu.Kweli ni heri kuwa mjinga, kuliko mpumbavu. Wewe unamsifia huyo muuaji kwa lipi? Uwizi wa T 2.4, kufanya serikali, bunge na mahakama viko chini yake au? Acheni kusifia huku mkijua ni uongo, hukumu yenu ni kifo.
Najua #UVCCM na wazee wao hawawezi kumkemea Magufuli maana hawa watu wananjaa na familia zao zinamtegemea mtesaji huyu, kwahiyo kitu pekee ambacho ningependa hawa watu wa CCM kutusaidia sie wananchi wengi ni kukaa kimya wakati tunashughulika naye!
Sent using Jamii Forums mobile app