Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hongera kwa kukariri hayo.

Kwa kuwa unashabikia chama kisichokuwa na Sera ila kupinga maendeleo, huwezi kujua yanayotekelezwa na Serikali ya CCM.

Kwa ufupi tu, waulize akina mama wajawazito, wafanyabiashara ndogondogo, wachimba madini wadogo, wakulima wanaohitaji kusafirisha mavuno yako kwenda kwenye masoko, wazazi wenye uwezo mdogo kusomesha watoto wao, nk, utapata majibu.

Waulize wanasiasa wanaotaka madaraka kwa lugha ya hadaa, utapata majibu hayo uliyoyaandika kama ndiyo kero za WaTz
Je umeisha jiuliza yafuatayo?
1. Wavuvi wamefilisika baada ya kuchomewa nyavu zao na kupigwa faini zisizo rafiki?

2. Wafugaji wamefilisika baada ya mifugo yao kuuzwa kinyemela kwa kisingizio cha kuchungia ndani ya hifadhi?

3. Wafanyakazi wanalia hawana nyoongeza ya mishahara kwa miaka mitano. Hata ile nyoongeza ya kusheria (annual increment) iko kisheria lakini nao hawapitiwi? Inasemekana tangu tupate Uhuru wafanyakazi wamenyanyasika zaidi kipindi hiki cha awamu ya tano.

4. Bomoa bomoa isiyo na haki kwa kigezo cha kuwa " hawa hawakunichagua kisa tu wapo kimala jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani.

5. Wafanyabiashara kufilisiwa kwa kupitia tra kisa eti serikali inakusanya kodi zisizo na uwiano na kubambikizwa kesi kwa kigezo cha uhujumu uchumi kisa tu hawakukiunga mkono chama cha mapinduzi.

6. Uhuru wa vyombo vya habari umetoweka na kutokomea kabisaa kisa hapendi mambo ya ukatili yasikike!

7. Ubaguzi wazi na matumizi mabaya ya fedha za uma kwa kununua watu eti kisa waunge juhudi zake.

Lugha zisizo na sitaha kwa wasaidi wake na unyanyasaji uliokithiri juu ya wafanyakazi wa serikali.

8. Kuibuka kundi la mungiki la wasiojulikana na serikali kushindwa kutoa kauli ya kukemea kundi hilo!

Huyu MTU hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Miaka mitano inamtosha kabisaa.
 
Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?


Alikuwa speed ila hajui anakoelekea..

Uelekeo ni muhimu kuliko mbio,, so tz tuko mbio ila hatujui tunakoelekea
 
Alikuwa speed ila hajui anakoelekea..

Uelekeo ni muhimu kuliko mbio,, so tz tuko mbio ila hatujui tunakoelekea
Kiualisia naona unajitoa ufaham sioni mantiki ya ww kutojua unapoelekea kama uko ndani ya nchi....labda useme unapenda kuona nchi ikirudi nyuma kimaendeleo ntakuelewa
 
Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na Korea ya kusini sasa angalia hiki chama.
  • Hakuna uhuru wa maoni
  • Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
  • Hakuna mijadala ya hoja kwenye media
  • Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja
  • Rais amekuwa mfalme
  • Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
  • Mazingira magumu ya kazi
  • Kandamizaji wa democrasia
  • Elimu mbovu
  • Ajira hakuna
  • Fedha inashuka thamani
  • Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
  • Ajira hakuna
  • Ukandamizaji wa haki za binadamu
  • Kesi lukuki za kumbambikiwa
  • Sheria kandamizi
  • Dola imekuwa sehemu ya chama
  • Umasikini umeongezeka
  • Viwanda lukuki vimekufa
  • Bunge sio live tena hatuoni wawakilishi wetu wakitusemea matatizo yetu
  • Media kuwa sehemu ya watawala
  • Maisha magumu
  • Uongozi kuwa ndio ajira
  • Hoja kujibiwa kwa rungu
  • Wapinzani kukandamizwa
  • Kufungiwa mikutano ya kisiasa
  • Dini kutumika kisiasa
  • Ushamiri wa propaganda
  • Ubaguzi wa kisiasa na kiitikadi
  • Rushwa imewalemea PCCB
  • Mishahara kutoongezeka na madaraja kutopandishwa
  • Bunge halina heshima na halisikilizwi
  • Kulazimisha upendo kwenye vyama
  • Vitu kupanda bei
  • Hakuna mpango wa kuongeza wigo wa biashara kwa taifa
  • Kodi kutumika kwa matakwa binafsi
  • Hakuna miiko ya uongozi
  • Miundominu mibovu subiri mvua zinyeeshe
  • Mafao ya wazee tabu tupu
  • Kuna kikundi kinaitwa wasiojulikana
  • Kutopewa dhamana kwa kosa
  • Uchumi kudorora
  • Mzunguko mdogo wa sarafu
  • Katiba si kitu tena japo inamapungufu lukuki
  • Wakulima wanalia
  • Watekaji nyara
  • Uvamizi wa viongozi ns hakuna hatua madhubuti
  • Kuamuliwa viongoziUkweli ni dhambi kuu
  • Kukosoa serikali ni kosa la jinai
  • Maiti kuchukua hospitali hela kibao
  • Mzazi kujifungua kwa operation hela kibao
  • Ushirika mbovu na mataifa ya nje
  • Uhusiano na majirani unazorota
  • Kodi kubwa
  • Taasisi za serikali mkanganyiko mf. NIDA
  • Kupata passport au leseni shughuli
  • Dawa chache
  • Ukimaliza chuo ni kujiajiri hata bodaboda
  • Haki imekuwa kama punje ya mchanga ndani ya gunia la chumvi
Tunaelekea kuwa Korea kaskazini,Tanganyika ya Nyerere tunaitaka tumechoka kwa kweli.
 
CCM Imeharibu maisha, uhuru, umoja na haki ya mtanzania

Tumeparaganyika

Hatuheshimiwi tena kimataifa, ikumbukwe tulikuwa na heshima ulimwenguni kote.

Niabu na fedheha.
 
Uliyoandika asilimia 99 hayana uhalisia kwa watanzania walio wengi yanawagusa walio wachache Tena wa mijini wa kipato Cha kati waliozoea kuishi kwa ma deal wawe CCM , Chadema au wafanyakazi serikalini na makampuni binafsi ya kifisadi
 
Kila mmoja anakariri hayo hayo tuu huu upupu uliouweka hapa nani kakukamata mpaka muda huu!
 
CCM ni donda dungu kwa watanzania....!! tusipolitibu watakata mguu -- saa ya ukombozi ni sasa.
 
BAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMA

[emoji117]HAKUNA UHURU WA MAONI
[emoji117]HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
[emoji117]HAKUNA MIJADALA YA HOJA KWENYE MEDIA
[emoji117]MIHIMILI YA TAIFA HUTAWALIWA NA MTU MMOJA
[emoji117]RAIS AMEKUWA MFALME
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA DEMOCRASIA
[emoji117]ELIMU MBOVU
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]FEDHA INASHUKA THAMANI
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU
[emoji117]KESI LUKUKI ZA KUMBAMBIKIWA
[emoji117]SHERIA KANDAMIZI
[emoji117]DOLA IMEKUWA SEHEMU YA CHAMA
[emoji117]UMASIKINI UMEONGEZEKA
[emoji117]VIWANDA LUKUKI VIMEKUFA
[emoji117]BUNGE SIO LIVE TENA HATUONI WAWAKILISHI WETU WAKITUSEMEA MATATIZO YETU
[emoji117]MEDIA KUWA SEHEMU YA WATAWALA
[emoji117]MAISHA MAGUMU
[emoji117]UONGOZI KUWA NDO AJIRA
[emoji117]HOJA KUJIBIWA KWA RUNGU
[emoji117]WAPINZANI KUKANDAMIZWA
[emoji117]KUFUNGIWA MIKUTANO YA KISIASA
[emoji117]DINI KUTUMIKA KISIASA
[emoji117]USHAMIRI WA PROPAGANDA
[emoji117]UBAGUZI WA KISIASA NA KIITIKADI
[emoji117]RUSHWA IMEWALEMEA PCCB
[emoji117]MISHARA KUTOONGEZEKA NA MADARAJA KUTOPANDISHWA
[emoji117]BUNGE HALINA HESHIMA NA HALISIKILIZWI
[emoji117]KULAZIMISHA UPENDO KWENYE VYAMA
[emoji117]VITU KUPANDA BEI
[emoji117]HAKUNA MPANGO WA KUONGEZA WIGO WA BIASHARA KWA TAIFA
[emoji117]KODI KUTUMIKA KWA MATAKWA BINAFSI
[emoji117]HAKUNA MIIKO YA UONGOZI
[emoji117]MIUNDOMINU MIBOVU SUBIRI MVUA ZINYEESHE
[emoji117]MAFAO YA WAZEE TABU TUPU
[emoji117]KUNA KIKUNDI KINAITWA WASIOJULIKANA
[emoji117]KUTOPEWA DHAMANA KWA KOSA
[emoji117]UCHUMI KUDORORA
[emoji117]MZUNGUKO MDOGO WA SARAFU
[emoji117]KATIBA SI KITU TENA JAPO INAMAPUNGUFU LUKUKI
[emoji117]WAKULIMA WANALIA
[emoji117]UTEKAJI NYARA
[emoji117]UVAMIZI WA VIONGOZI NS HAKUNA HATUA MADHUBUTI
[emoji117]KUAMULIWA VIONGOZI
[emoji117]UKWELI NI DHAMBI KUU
[emoji117]KUKOSOA SERIKALI NI KOSA LA JINAI
[emoji117]MAITI KUCHUKUA HOSPITALI HELA KIBAO
[emoji117]MZAZI KUJIFUNGUA KWA OPERATION HELA KIBAO
[emoji117]USHIRIKA MBOVU NA MATAIFA YA NJE
[emoji117]UHUSIANO NA MAJIRANI UNAZOROTA
[emoji117]KODI KUBWA
[emoji117]TAASISI ZA SERIKALI MKANGANYIKO MF NIDA
[emoji117]KUPATA PASSPORT AU LESENI SHUGHULI
[emoji117]DAWA CHACHE
[emoji117]UKIMALIZA CHUO NI KUJIAJIRI HATA BODABODA
[emoji117]HAKI IMEKUWA KAMA PUNJE YA MCHANGA NDANI YA GUNIA LA CHUMVI

TUNAELEKEA KUWA KOREA KASKAZINI,TANGANYIKA YA NYERERE TUNAITAKA TUMECHOKA KWA KWELI.
SERA ZA MAJUKWAANI AMBAZO HAZINA SHERIA AMA KANUNI 'policy uncertainty'
 
NI MTAZAM
BAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMA

[emoji117]HAKUNA UHURU WA MAONI
[emoji117]HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
[emoji117]HAKUNA MIJADALA YA HOJA KWENYE MEDIA
[emoji117]MIHIMILI YA TAIFA HUTAWALIWA NA MTU MMOJA
[emoji117]RAIS AMEKUWA MFALME
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA DEMOCRASIA
[emoji117]ELIMU MBOVU
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]FEDHA INASHUKA THAMANI
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU
[emoji117]KESI LUKUKI ZA KUMBAMBIKIWA
[emoji117]SHERIA KANDAMIZI
[emoji117]DOLA IMEKUWA SEHEMU YA CHAMA
[emoji117]UMASIKINI UMEONGEZEKA
[emoji117]VIWANDA LUKUKI VIMEKUFA
[emoji117]BUNGE SIO LIVE TENA HATUONI WAWAKILISHI WETU WAKITUSEMEA MATATIZO YETU
[emoji117]MEDIA KUWA SEHEMU YA WATAWALA
[emoji117]MAISHA MAGUMU
[emoji117]UONGOZI KUWA NDO AJIRA
[emoji117]HOJA KUJIBIWA KWA RUNGU
[emoji117]WAPINZANI KUKANDAMIZWA
[emoji117]KUFUNGIWA MIKUTANO YA KISIASA
[emoji117]DINI KUTUMIKA KISIASA
[emoji117]USHAMIRI WA PROPAGANDA
[emoji117]UBAGUZI WA KISIASA NA KIITIKADI
[emoji117]RUSHWA IMEWALEMEA PCCB
[emoji117]MISHARA KUTOONGEZEKA NA MADARAJA KUTOPANDISHWA
[emoji117]BUNGE HALINA HESHIMA NA HALISIKILIZWI
[emoji117]KULAZIMISHA UPENDO KWENYE VYAMA
[emoji117]VITU KUPANDA BEI
[emoji117]HAKUNA MPANGO WA KUONGEZA WIGO WA BIASHARA KWA TAIFA
[emoji117]KODI KUTUMIKA KWA MATAKWA BINAFSI
[emoji117]HAKUNA MIIKO YA UONGOZI
[emoji117]MIUNDOMINU MIBOVU SUBIRI MVUA ZINYEESHE
[emoji117]MAFAO YA WAZEE TABU TUPU
[emoji117]KUNA KIKUNDI KINAITWA WASIOJULIKANA
[emoji117]KUTOPEWA DHAMANA KWA KOSA
[emoji117]UCHUMI KUDORORA
[emoji117]MZUNGUKO MDOGO WA SARAFU
[emoji117]KATIBA SI KITU TENA JAPO INAMAPUNGUFU LUKUKI
[emoji117]WAKULIMA WANALIA
[emoji117]UTEKAJI NYARA
[emoji117]UVAMIZI WA VIONGOZI NS HAKUNA HATUA MADHUBUTI
[emoji117]KUAMULIWA VIONGOZI
[emoji117]UKWELI NI DHAMBI KUU
[emoji117]KUKOSOA SERIKALI NI KOSA LA JINAI
[emoji117]MAITI KUCHUKUA HOSPITALI HELA KIBAO
[emoji117]MZAZI KUJIFUNGUA KWA OPERATION HELA KIBAO
[emoji117]USHIRIKA MBOVU NA MATAIFA YA NJE
[emoji117]UHUSIANO NA MAJIRANI UNAZOROTA
[emoji117]KODI KUBWA
[emoji117]TAASISI ZA SERIKALI MKANGANYIKO MF NIDA
[emoji117]KUPATA PASSPORT AU LESENI SHUGHULI
[emoji117]DAWA CHACHE
[emoji117]UKIMALIZA CHUO NI KUJIAJIRI HATA BODABODA
[emoji117]HAKI IMEKUWA KAMA PUNJE YA MCHANGA NDANI YA GUNIA LA CHUMVI

TUNAELEKEA KUWA KOREA KASKAZINI,TANGANYIKA YA NYERERE TUNAITAKA TUMECHOKA KWA KWELI.
NI MTAZAMO TU.......MBONA KUNA WATU WALIKUWA DUNI TOKA ENZI ZA MWALIMU? KULIKUWA HAKUNA HELA? KULIKUWA HAKUNA VYOMBO VYA HABARI? NI WAPI PANASOMEKA KWAMBA ILI UISHI MAISHA MZURI LAZIMA UAJIRIWE? WATANZANIA WAKO MILIONI NGAPI WALIOSOMA MPAKA GVT. IMUAJIRI KILA MTU? .....ACHA KUISHI KWA HEKAYA ZA WALIOFANIKIWA, USIAMINI KILA KITU AMBACHO WATU WOTE WANAAMINI
 
Magu aendelee kuchochea tu udini na ukabila Ili umuingize Ikulu.
 
Kuheshimiwa kimataifa huku tukiwa tunaibiwa gesi nk kulikuwa kunatusaidia Nini? Hatuotaki heshima ya hivyo

Wakati wa Nyerere tuliheshimika sana

Heshima ikaanza kushuka kidogo kidogo wakati wa mzee ruksa,
Sijuwi mrema na nyara za serikali airport, loliondo, ikulu ya siti mwinyi....hovyohovyo

Mzee wa uwazi na ukweli balaa
Zanzibar na shimoni uchaguzi,
Meremeta, kagoda, Epa, nyumba za serikali, viwanda vyetu nk

Mzee wa anga, watu wakaanza kupigwa mabomu hovyohovyo soweto Arusha, Daud mwangosi, Ally zone, Iptl, downs ni balaa

Sasa ya jiwe balaa hata international relations, vyombo vya habari, uhuru wakupashana babar, bunge live, viroba baharini nk.... mamata bambikia hakuna dhamana, katiba mfukoni

Tumeeendelea kuporomoka kila sector mpaka Faraghani 😬😬😬😬😬
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom