mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Na wa maeneo haya pia wanalia?Mkuuu acha kuficha nyumba ya keyboard, rudi field fanya research upya. Kuanzia Mtwara hadi Kagera wananchi wanalia, wameumizwa pakubwa kuliko mazuri waliyofanyiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wa maeneo haya pia wanalia?Mkuuu acha kuficha nyumba ya keyboard, rudi field fanya research upya. Kuanzia Mtwara hadi Kagera wananchi wanalia, wameumizwa pakubwa kuliko mazuri waliyofanyiwa.
Je umeisha jiuliza yafuatayo?Hongera kwa kukariri hayo.
Kwa kuwa unashabikia chama kisichokuwa na Sera ila kupinga maendeleo, huwezi kujua yanayotekelezwa na Serikali ya CCM.
Kwa ufupi tu, waulize akina mama wajawazito, wafanyabiashara ndogondogo, wachimba madini wadogo, wakulima wanaohitaji kusafirisha mavuno yako kwenda kwenye masoko, wazazi wenye uwezo mdogo kusomesha watoto wao, nk, utapata majibu.
Waulize wanasiasa wanaotaka madaraka kwa lugha ya hadaa, utapata majibu hayo uliyoyaandika kama ndiyo kero za WaTz
Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Kiualisia naona unajitoa ufaham sioni mantiki ya ww kutojua unapoelekea kama uko ndani ya nchi....labda useme unapenda kuona nchi ikirudi nyuma kimaendeleo ntakuelewaAlikuwa speed ila hajui anakoelekea..
Uelekeo ni muhimu kuliko mbio,, so tz tuko mbio ila hatujui tunakoelekea
You've started asking the right questions!We are all humans tusitumie nguvu kubwa kutawala.
kuna nini ndani ya nyumba ile?
Kuheshimiwa kimataifa huku tukiwa tunaibiwa gesi nk kulikuwa kunatusaidia Nini? Hatuotaki heshima ya hivyoHatuheshimiwi tena kimataifa, ikumbukwe tulikuwa na heshima ulimwenguni kote.
SERA ZA MAJUKWAANI AMBAZO HAZINA SHERIA AMA KANUNI 'policy uncertainty'BAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMA
[emoji117]HAKUNA UHURU WA MAONI
[emoji117]HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
[emoji117]HAKUNA MIJADALA YA HOJA KWENYE MEDIA
[emoji117]MIHIMILI YA TAIFA HUTAWALIWA NA MTU MMOJA
[emoji117]RAIS AMEKUWA MFALME
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA DEMOCRASIA
[emoji117]ELIMU MBOVU
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]FEDHA INASHUKA THAMANI
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU
[emoji117]KESI LUKUKI ZA KUMBAMBIKIWA
[emoji117]SHERIA KANDAMIZI
[emoji117]DOLA IMEKUWA SEHEMU YA CHAMA
[emoji117]UMASIKINI UMEONGEZEKA
[emoji117]VIWANDA LUKUKI VIMEKUFA
[emoji117]BUNGE SIO LIVE TENA HATUONI WAWAKILISHI WETU WAKITUSEMEA MATATIZO YETU
[emoji117]MEDIA KUWA SEHEMU YA WATAWALA
[emoji117]MAISHA MAGUMU
[emoji117]UONGOZI KUWA NDO AJIRA
[emoji117]HOJA KUJIBIWA KWA RUNGU
[emoji117]WAPINZANI KUKANDAMIZWA
[emoji117]KUFUNGIWA MIKUTANO YA KISIASA
[emoji117]DINI KUTUMIKA KISIASA
[emoji117]USHAMIRI WA PROPAGANDA
[emoji117]UBAGUZI WA KISIASA NA KIITIKADI
[emoji117]RUSHWA IMEWALEMEA PCCB
[emoji117]MISHARA KUTOONGEZEKA NA MADARAJA KUTOPANDISHWA
[emoji117]BUNGE HALINA HESHIMA NA HALISIKILIZWI
[emoji117]KULAZIMISHA UPENDO KWENYE VYAMA
[emoji117]VITU KUPANDA BEI
[emoji117]HAKUNA MPANGO WA KUONGEZA WIGO WA BIASHARA KWA TAIFA
[emoji117]KODI KUTUMIKA KWA MATAKWA BINAFSI
[emoji117]HAKUNA MIIKO YA UONGOZI
[emoji117]MIUNDOMINU MIBOVU SUBIRI MVUA ZINYEESHE
[emoji117]MAFAO YA WAZEE TABU TUPU
[emoji117]KUNA KIKUNDI KINAITWA WASIOJULIKANA
[emoji117]KUTOPEWA DHAMANA KWA KOSA
[emoji117]UCHUMI KUDORORA
[emoji117]MZUNGUKO MDOGO WA SARAFU
[emoji117]KATIBA SI KITU TENA JAPO INAMAPUNGUFU LUKUKI
[emoji117]WAKULIMA WANALIA
[emoji117]UTEKAJI NYARA
[emoji117]UVAMIZI WA VIONGOZI NS HAKUNA HATUA MADHUBUTI
[emoji117]KUAMULIWA VIONGOZI
[emoji117]UKWELI NI DHAMBI KUU
[emoji117]KUKOSOA SERIKALI NI KOSA LA JINAI
[emoji117]MAITI KUCHUKUA HOSPITALI HELA KIBAO
[emoji117]MZAZI KUJIFUNGUA KWA OPERATION HELA KIBAO
[emoji117]USHIRIKA MBOVU NA MATAIFA YA NJE
[emoji117]UHUSIANO NA MAJIRANI UNAZOROTA
[emoji117]KODI KUBWA
[emoji117]TAASISI ZA SERIKALI MKANGANYIKO MF NIDA
[emoji117]KUPATA PASSPORT AU LESENI SHUGHULI
[emoji117]DAWA CHACHE
[emoji117]UKIMALIZA CHUO NI KUJIAJIRI HATA BODABODA
[emoji117]HAKI IMEKUWA KAMA PUNJE YA MCHANGA NDANI YA GUNIA LA CHUMVI
TUNAELEKEA KUWA KOREA KASKAZINI,TANGANYIKA YA NYERERE TUNAITAKA TUMECHOKA KWA KWELI.
NI MTAZAMO TU.......MBONA KUNA WATU WALIKUWA DUNI TOKA ENZI ZA MWALIMU? KULIKUWA HAKUNA HELA? KULIKUWA HAKUNA VYOMBO VYA HABARI? NI WAPI PANASOMEKA KWAMBA ILI UISHI MAISHA MZURI LAZIMA UAJIRIWE? WATANZANIA WAKO MILIONI NGAPI WALIOSOMA MPAKA GVT. IMUAJIRI KILA MTU? .....ACHA KUISHI KWA HEKAYA ZA WALIOFANIKIWA, USIAMINI KILA KITU AMBACHO WATU WOTE WANAAMINIBAADA YA MIAKA 50 YA CHAMA KIMOJA TUMEFIKIA HAPA NA IKUMBUKWE 1960 TULIKUWA NA UCHUMI SAWA NA KOREA YA KUSINI SASA ANGALIA HIKI CHAMA
[emoji117]HAKUNA UHURU WA MAONI
[emoji117]HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
[emoji117]HAKUNA MIJADALA YA HOJA KWENYE MEDIA
[emoji117]MIHIMILI YA TAIFA HUTAWALIWA NA MTU MMOJA
[emoji117]RAIS AMEKUWA MFALME
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA DEMOCRASIA
[emoji117]ELIMU MBOVU
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]FEDHA INASHUKA THAMANI
[emoji117]DENI LA TAIFA LINAONGEZEKA KWA KASI
[emoji117]AJIRA HAKUNA
[emoji117]UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU
[emoji117]KESI LUKUKI ZA KUMBAMBIKIWA
[emoji117]SHERIA KANDAMIZI
[emoji117]DOLA IMEKUWA SEHEMU YA CHAMA
[emoji117]UMASIKINI UMEONGEZEKA
[emoji117]VIWANDA LUKUKI VIMEKUFA
[emoji117]BUNGE SIO LIVE TENA HATUONI WAWAKILISHI WETU WAKITUSEMEA MATATIZO YETU
[emoji117]MEDIA KUWA SEHEMU YA WATAWALA
[emoji117]MAISHA MAGUMU
[emoji117]UONGOZI KUWA NDO AJIRA
[emoji117]HOJA KUJIBIWA KWA RUNGU
[emoji117]WAPINZANI KUKANDAMIZWA
[emoji117]KUFUNGIWA MIKUTANO YA KISIASA
[emoji117]DINI KUTUMIKA KISIASA
[emoji117]USHAMIRI WA PROPAGANDA
[emoji117]UBAGUZI WA KISIASA NA KIITIKADI
[emoji117]RUSHWA IMEWALEMEA PCCB
[emoji117]MISHARA KUTOONGEZEKA NA MADARAJA KUTOPANDISHWA
[emoji117]BUNGE HALINA HESHIMA NA HALISIKILIZWI
[emoji117]KULAZIMISHA UPENDO KWENYE VYAMA
[emoji117]VITU KUPANDA BEI
[emoji117]HAKUNA MPANGO WA KUONGEZA WIGO WA BIASHARA KWA TAIFA
[emoji117]KODI KUTUMIKA KWA MATAKWA BINAFSI
[emoji117]HAKUNA MIIKO YA UONGOZI
[emoji117]MIUNDOMINU MIBOVU SUBIRI MVUA ZINYEESHE
[emoji117]MAFAO YA WAZEE TABU TUPU
[emoji117]KUNA KIKUNDI KINAITWA WASIOJULIKANA
[emoji117]KUTOPEWA DHAMANA KWA KOSA
[emoji117]UCHUMI KUDORORA
[emoji117]MZUNGUKO MDOGO WA SARAFU
[emoji117]KATIBA SI KITU TENA JAPO INAMAPUNGUFU LUKUKI
[emoji117]WAKULIMA WANALIA
[emoji117]UTEKAJI NYARA
[emoji117]UVAMIZI WA VIONGOZI NS HAKUNA HATUA MADHUBUTI
[emoji117]KUAMULIWA VIONGOZI
[emoji117]UKWELI NI DHAMBI KUU
[emoji117]KUKOSOA SERIKALI NI KOSA LA JINAI
[emoji117]MAITI KUCHUKUA HOSPITALI HELA KIBAO
[emoji117]MZAZI KUJIFUNGUA KWA OPERATION HELA KIBAO
[emoji117]USHIRIKA MBOVU NA MATAIFA YA NJE
[emoji117]UHUSIANO NA MAJIRANI UNAZOROTA
[emoji117]KODI KUBWA
[emoji117]TAASISI ZA SERIKALI MKANGANYIKO MF NIDA
[emoji117]KUPATA PASSPORT AU LESENI SHUGHULI
[emoji117]DAWA CHACHE
[emoji117]UKIMALIZA CHUO NI KUJIAJIRI HATA BODABODA
[emoji117]HAKI IMEKUWA KAMA PUNJE YA MCHANGA NDANI YA GUNIA LA CHUMVI
TUNAELEKEA KUWA KOREA KASKAZINI,TANGANYIKA YA NYERERE TUNAITAKA TUMECHOKA KWA KWELI.
CCM ni donda dungu kwa watanzania....!! tusipolitibu watakata mguu -- saa ya ukombozi ni sasa.
[
Kuheshimiwa kimataifa huku tukiwa tunaibiwa gesi nk kulikuwa kunatusaidia Nini? Hatuotaki heshima ya hivyo