Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mbatia alishasema dada anawaza 2025 tu badala ya matatizo ya wananchi
 
Tatizo la Watanzania wengi ni ma"keyboard warriors" likisanuka la kusanuka wanaufyata kama sio wao. Leo hii muanzisha mada wakimbananisha watu wa mamlaka atakana hili andiko na kusema 'alihakiwa'.

Mpaka hapa tulipofika tulishajiamulia kuwa taifa la "hewallah". Kwetu sisi tushaaminishwa kuwa amani ni bora kuliko huru. Hivyo usijidanganye, hakuna muandamanaji.
 
Andamana tu ukamatwe ugegedwe na kamanda siro akutoe nyege zako hizo
 
Kwa maslahi Mazima ya taifa hili nashauri mwaka 2025 tupate Raisi mwingine huyu Mama suluhu Hana sifa ya kuwa Rais wa nchi hii nauhakika anasaidiwa from Msoga Kwa sababu Hana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania.kwanza kaonesha udhaifu Kwa kuwaacha watu wazuri kwenye nafasi ya uwaziri na kuwapa nafasi wasio na uwezo pia vitu vimepanda bei wananchi wanalia,miradi zalieleweki kama zinaendelea au laa.Nashauri Kwa maslahi mapana ya nchi hii na Kwa mustakabali wa CCM mwaka 2025 tupate Rais Bora zaidi sio Rais anayefanya kazi Kwa mihemuko.zile Zama za ufisadi kama Enzi za kikwete zimerudi,zile Zama za kupata KAZI Kwa connection imerudi.zile Zama za mkubwa kumkagandiza mdogo zimerudi. Kuendeshea nchi hii sio lelemama nahisi huyu mama 2025 hatarudi. NB: Mimi sio waa timu yoyote lakini ni Mtanzania anayependa ustawi mzuri wa nchi Yake.
 
Umeongea vema mimi ninavyoona ili kutunusuru kitu cha kwanza Tanganyika irudi alafu ifanyike referendum kama ZnZ wanataka muungano au la lakini kila nchi iwe kivyake laa sivyo tutaendelea kuteseka sijui mpaka lini kwani Muungano lazima?
 
Jitangaze tu hupendi kuongozwa na mwanamke. Mama kakukosea nini?
 
Watumishi tunaona una kila sababu ya kutawala milele mpaka useme baaaasi!! Ila sasa mama umetuletea mkosi "vuvuzela" sijui linaitwa Jenista? Hilo zigo mama kaa nalo huko hatulitaki huku utumishi, hilo ni jini litatunyonya damu

Mama, Tunakupenda sana ila hilo vuvuzela hapana! Tunafikiria uwe Rais angalau miaka 23 endapo marekebisho ya katiba yatafanyika mapema.
 
Jenista ni Waziri bogus ever.
 
Ndio anamsogeza sogeza ili baadae amtupe kabisa
 

Kweli aiseee arudishwe tu mchengerwa hapa mama amekosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…