Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Samia shida yake kubwa anakosa Ile ruling power

Hana ushawishi wa kimamlaka

Rais lazima uchuje kila unachoambiwa sio kila ushauri ni ushauri mzuri

Unatakiwa uwe unpredictable ushauri mwingine unapiga chini

Pia Rais Bora ni yule anayesimama na wanachi hasa wa chini maana hao ndio wapiga kura

Mafisadi uwa hayapigi kura

Rais amefeli hapo amekumbatia kundi la wanyonyaji na kuuacha umma!!!
 
Samia hasimami na wapiga kura kwa vile wameshajiwekea mfumo ambao sanduku la kura siyo linaloamua nani awe kiongozi. Mfumo huu uliasisiwa 2019 na 2020 na sasa tunaona unaendelezwa tena kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiashiria kuwa hata 2025 utatumika tena. Tusitegemee tena kuona Serikali ambayo itawajibika kwa wapiga kura katika Taifa letu.
 
Nimekuwa narudia rudia ujumbe ule ule tofauti. Kwa sasa Mama Samia kapaniki na hajui anahitaji kufanya nini na malengo yake sio yake aliyokuwa nayo 2021. Baada ya kulewa madaraka Mama Samia kachanganyikiwa
1. Hajui kama akomeshe rushwa au ajifanye hajui kwasababu wanufaika wakubwa ni ndugu na marafiki
2. Hajui akubaliane na demokrasia au kuendeleza uchafu wa chaguzi maana wanufaika wakubwa ni machawa wake.
3. Hajui akubali katiba kwa manufaa ya nchi lakini anajua hii ina imanisha CCM kupoteza viti vingi.
4. Hajui aangalie jinsi atakavyo acha historia yake au apige pesa na kujitajirisha

Kwa sababu hii nchi hii kwasasa inaendeshwa na hisia na Mama kaamka vipi leo, kesho na kesho kutwa. Kibaya Mama sio mtu wa kuamini ayasemayo mfano 4R. Tuombee sana hii nchi na Mungu awaondoe wote wala rushwa na atuletee haki na maendeleo nchini kwetu
 
Nadhani mama atakuwa mtendaji mzuri zaidi akishashinda awamu hii
Saiv wanaboronga awa zoom tu

Tupe kura za ndiyo ndo tutamuelewa akishinda awamu hii
Nadhani Kwa Sasa hajawa na makali maana kiti chenyewe yupo Kwa mujibu wa katiba sio Kwa kura
 
4. Hajui aangalie jinsi atakavyo acha historia yake au apige pesa na kujitajirisha
Nadhani kishachagua upande wa kupiga pesa. Pale Kizimkazi kila kitu kinajengwa, kuanzia Suluhu Zoo mpk Suluhu Sports Academy.
 
Nimekuwa narudia rudia ujumbe ule ule tofauti. Kwa sasa Mama Samia kapaniki na hajui anahitaji kufanya nini na malengo yake sio yake aliyokuwa nayo 2021. Baada ya kulewa madaraka Mama Samia kachanganyikiwa
1. Hajui kama akomeshe rushwa au ajifanye hajui kwasababu wanufaika wakubwa ni ndugu na marafiki
2. Hajui akubaliane na demokrasia au kuendeleza uchafu wa chaguzi maana wanufaika wakubwa ni machawa wake.
3. Hajui akubali katiba kwa manufaa ya nchi lakini anajua hii ina imanisha CCM kupoteza viti vingi.
4. Hajui aangalie jinsi atakavyo acha historia yake au apige pesa na kujitajirisha

Kwa sababu hii nchi hii kwasasa inaendeshwa na hisia na Mama kaamka vipi leo, kesho na kesho kutwa. Kibaya Mama sio mtu wa kuamini ayasemayo mfano 4R. Tuombee sana hii nchi na Mungu awaondoe wote wala rushwa na atuletee haki na maendeleo nchini kwetu
Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.

Sasa wewe unayelialia humu jukwaani na Rais Ruto nani mwenye uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi?.
 
Siyo kwamba Ruto anatafuta huruma za viongozi wenzake baada ya kunusurika kuondolewa madarakani na Genzies hivi majuzi?

Sidhani kama alikuwa kwenye utimamu na utulivu mzuri wa akili kiasi cha kutoa tathmini sahihi kuhusu suala zima la uchumi.

Kwa hiyo usimwamini sana. Alikuwa anafurahisha jukwaa tu, wala hata hana hoja ya msingi.

Au pengine Kenya imerudia ule mfumo wa zamani wa kujinufaisha Tanzania, ndiyo maana lazima wasifie ili waendeleze ukora wao?

Weee ooooooooooooolisikia wapi?
 
Kwahiyo kwani tume mchagua Raisi akauze mahindi!
 
Yule ni Rais mwenye taarifa kuliko mimi na wewe. Kitendo cha Rais Ruto kumsifia jirani kina ukweli mwingi ndani yake.

Samia kazungukwa na chuki nyingi lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Huyo Mama Samia majuzi kasifiwa na Rais Ruto kwani kwa mara ya kwanza Tanzania imeizidi Kenya katika masuala mazima ya biashara tangu tupate uhuru miaka ya mwanzoni ya 60.

Sasa wewe unayelialia humu jukwaani na Rais Ruto nani mwenye uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi?.
We kiazi kweli. Unawezamtumia Ruto kama yardstick? Hata akimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Viazi ni watu wa aina yako wasiojua kuwa rais wa nchi ana taarifa za ndani kabisa.

Wivu pia unawasumbueni, Samia kalegeza masharti mengi ya kibiashara haswa zile za kimataifa hivyo sio ajabu tukaweza kuwa na faida kwa kuuza Kenya kuliko wanavyonunua kwetu.

Tukumbuke viwanja vya ndege huko mikoani vinafanya kazi hivyo nchi inaingilika na kutokeka kirahisi kuliko miaka ya nyuma.
 
Wakuu miaka ya nyuma, hotuba ya Rais ilikuwa shughuli zote zinasimama wananchi wanaacha dhughuli zao.

Wanatega sikio kusikiliza mkuu wa nchi anazungumza nini?

Mwenye radio atafungulia, mwenye tv pia, leo Mh. Rais alikuwa analihutubia Taifa, nimeona tu kwenye mitandao kuwa Rais kaliutubia Taifa.

Ile hamu ya wananchi kusikia ni nini Rais atazungumza, imepotea kabisa nini shida?
 
Zama zimebadilika kuna mambo mengi ya kuwaweka watu busy siku hizi, pia siku hizi watu wanachukulia presidential status sio big deal, wanaona kama hotuba haiwahusu hivi.
 
Suala la ajali za barabarani hajui afanyeje na hawezi kutoa maelekezo kwa wahusika!

SGR makitopora to singida, tabota, kahama na kigoma, ameshindwa.

3. Ufisadi na wizi WA Mali za umma ,umekidhiri
 
Back
Top Bottom