LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Anaweza hayaKama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
1. Kupiga vijembe
2 Kusafiri sana
3. Kupenda kutukuzwa