Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tayari senta bolt ya gari imeshakatika, break zimefeli afu ndo tunashuka kwenye mteremko wa hatari... mbele kuna kona kali(uchaguzi mkuu) yaani hapa kila mtu ni kushikilia roho yake.
 
1.Hatoi matamko kama kiongozi mkuu wa nchi.

Kuna issue ya watu kupotea katika mazingira tata but majibu anayoyatoa ni kama mtu mlevi vile anapokua anatoa maelekezo kwa wahudumu wa bar.

2 Hachukui maamuzi magumu kuinusuru nchi yetu,tangu aingie madarakani suala la rushwa limekua ni kaa la moto,kila report ya CAG inapotoka inakuja na madudu meengi lkn kama kiongozi mkuu wa nchi haoneshi usiriazi wowote kupambana na hilo tatizo kama watangulizi wake.

3. Uwajibikaji wa watumishi wa umma ni sawa na zero kwa sasa lkn Raisi hata hakemei hiyo tabia.

4. Nchi imepasuka vipande viwili coz hakuna ile tunaita umoja wa kitaifa na yeye kama kiongozi mkuu wa nchi hajishughulishi wala kuliunganisha taifa,ndio kwanza daily ni kutoa vitisho kwa wananchi.

5. Watu wake wa karibu kutuhumiwa kuwa na ukwasi ambao sio wa kawaida,mfano mmoja wa watu wake wa karibu ambae yuko nae kila kona ya ziara yake anatuhumiwa kuwa na ukwasi usiokua na maelezo lkn Yeye kama kiongozi mkuu wa nchi bado kaendelea kumkumbatia.

6. Ziara zake kukosa hamasa kwa wananchi.

7. Kugawa vyeo kwa upendeleo.
Hayo na mengine mengi yamenifanya niwaze huyu Mheshimiwa amejikatia tamaa na kuizira nchi yetu au vipi,na kama ni ndio kwa nini asiachie ngazi mapema tu akatoa fursa kwa wenye moyo na ari ya kuwatumikia wananchi wakachukua nafasi yake?
 
Raisi kavurugwa na wananchi pia tumevurugwa.sijui nani wa kuokoa hili taifa letu teule
 
Ndugu zangu Watanzania kila kukicha tunaona na kushuhudia vituko vya uchaguzi wa mediwani vinavyoendelea nchini
MIezi michache iliyopita Raisi wetu SSH alitutqngazia watanzania na jumuia za kimataifa kwamba uchaguzi mwaka huu utakuwa wa huru na haki.Tunataka kusikia kauli yako tena kuhusiana na uchaguzi .Utawaeleza nini mabalozi wa nchi za nje walioko hapa Tz .Kwa kweli umejivunjia heshima kubwa sana kwa kutotolea kauli vituko vya uchaguzi uchaguzi
 
Kama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
 
Sio hawezi bali ni kuhakikisha ccm inashinda nchi nzima kwa kumtumia mkwe wake.

Wewe unajuaje kama anaweza. Kwa mawazo yangu hawezi kama anaweza angetuonyesha. Huyu Raisi mpaka sasa ni"Lost case kabisa"
 
download.jpeg
 
Kama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
She is a human being, makosa mengine sio yeye ni anakoseshwa na wasaidizi wake, naendelea kusisitiza Thread 'Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda' Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tumpe muda
P
 
Kama Mama Samia aliingia kweli kwa njia ya Mungu na akaanza kuengua watu na kudidimiza haki za watu kwa ajili ya kunufaisha marafiki zake, makada na familia ni Mungu yuleyule atakutoa. Ukifanya mazuri Mama atabaki lakini akimchukiza Mungu na kujisahau sisi wenye maombi tutarekebisha hii nchi kwa imani imara.
 
She is a human being, makosa mengine sio yeye ni anakoseshwa na wasaidizi wake, naendelea kusisitiza Thread 'Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda' Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tumpe muda
P

P,

Nafikiri wakati mwingine utamaduni wa kusameheana hivi ndiyo tatizo la nchi yetu. Utamaduni wa kubembeleza na kufikiria watu wenye nia mbaya wana nia nzuri imetufikisha pabaya.
 
P,
Nafikiri wakati mwingine utamaduni wa kusameheana hivi ndiyo tatizo la nchi yetu. Utamaduni wa kubembeleza na kufikiria watu wenye nia mbaya wana nia nzuri imetufikisha pabaya.
Najua unajua sio kila kinachofanyika wrongful ni Samia kafanya, kuna makosa kibao yanafanywa na wasaidizi wake, lakini kwa vile kila mtumishi wa umma anafanya kwa niaba yake, ni haki yeye kulaumiwa ila tumpe muda, mbona tuna muda tuu wa kutosha hadi October 2025.
P
 
Kama Raisi Samia anashidwa kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa! Je anaweza nini hasa?
Magufuli tulilalamika sana kuhusu demokrasia lakini kuna mengine mengi mazuri alifanya ikiwa pamoja na rushwa kupungua. Huyu Mama kama anashidwa serikali za mitaa kama mtangulizi wake ameweza kipi hasa! maana alipata credit za majadiliano mwanzoni sasa haeleweki tamaa imemuingia
Gentleman,
Nov.27.2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji kwa amani, bila mihemko, makasiriko wala mbambamba za mtu yeyote yule. :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom