Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hiki ni kipind cha mpito hata kwa raisi wetu mpendwa ,hali sio nzuri kidunia bahati mbaya imeanguki katika awamu yake ...Tumuombee Mungu kumpa nguvu za kupambania nchi yetu...Kama unajisikia vibaya basi yeye ni ni 10x ,Rais anapambania kufa na kupona usiwe mtu wa kulaumu tu kwa sana.
 
Uko sahihi kabisa pamoja na jinsia yake na hali aliyokutana nayo nimemsifu sana amepambana sana na Maadui zake wa humo CCM.

Mama anatoa fedha kiroho safi zinaliwa wakati Majaliwa wajibu wake ni kufuatilia.

Mama akijifanya kukomaa na kumlembulia WM chombo kitazama huku anakiona.
 
Mliotumika kupora kupitia TRA na hata ujambazi wa kupora Bureu De Change na msiojulikana kuteka watu ili watoe pesa, sasa mnaumbuka.
 
Mama ikibidi hata ampe Ubunge wa Kuteuliwa Bi Zuhura Yunus ili awe Waziri Mkuu wetu mpya Majaliwa amefeli pakubwa.
 
Anapambana vipi wakati hadi leo wameshindwa kutoa mikopo yetu ya ufugaji samaki na uvuvi? Pesa ambazo zilitolewa na mabeberu tangu kitambo. Acha uchawa wewe, Rais hopeles kabisa huyu

View attachment 2426355
 
Maana Tumuombee tu Mungu sidhani Kama anapenda legacy yake kuchafuka anajitahidi mno kwa kweli, baadhi ya Wanasiasa ambao ni kwamba wanatamanu nafasi ile ndo wanalisha sumu na kuleta taharuki kweny jamii tambua watu huko nje wanaandamana hali sio shwari.

Tumuombee hii nchi ni yetu sote ..

Za chni chini huko nje Kuna nchi zishaanza kuingia lockdown kwa covid-19 kama sio china ni Japan kwamba maambuzi yameanza upya ,hapa Tumuombee raisi wetu juu ya hili janga yasije kutufika.
 
Huyo atleast shida anavingereza vingi sipati picha atakavyokuwa anatoa maelekezo kwa watendaji mbalimbali na kueleza mwelekeo wa serikali wa watu wa kawaida .Ni kama kiswahili straight kinampa shida
Lakini mpaka sasa huwaambii kitu Wakulima kuhusu Bashe mpaka imembidi Bashiru kuanza kumsagia Kunguni.

Hebu tuwapigieni kura Dotto Biteko Hussein Bashe na Zuhura Yunus nani anafaa katika na nafasi ya Uwaziri Mkuu wa Jamhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…