ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Jinga mkubwa, Dkt Magufuli hakumtukana mtangulizi bali alionesha ujinga uliofanyika usiozingatia maslahi na uzalendo kwa nchi.Ni kama magu alivyopata laana kwa kuwatukana watangulizi wake
Bro nakupongeza kwa comment hiiJinga mkubwa, Dkt Magufuli hakumtukana mtangulizi bali alionesha ujinga uliofanyika usiozingatia maslahi na uzalendo kwa nchi.
Karma at its bestNi kama magu alivyopata laana kwa kuwatukana watangulizi wake
Alisema WASTAAFU WANAWASHWAWASHWA..!!Ni kama magu alivyopata laana kwa kuwatukana watangulizi wake
Ni kama magu alivyopata laana kwa kuwatukana watangulizi WAKE JPM hakuwahi kumtukana mtu yeyote. Alipambana na ujinga wote uliwahi kufanya huko nyuma. Sheria za madini nk. Alimjengea nyumba mtangulizi wake akamkabidhi, alimualika kwenye hafla zote wakati mwingine hata kumuomba akamuwakilishe kwenye baadhi ya nchi.
Bro Mama yakoBro nakupongeza kwa comment hii
Hivi kutamka hadharani kuwa WASTAAFU WANAWASHWAWASHWA wewe unaona siyo tu kwa wastaafu?Jinga mkubwa, Dkt Magufuli hakumtukana mtangulizi bali alionesha ujinga uliofanyika usiozingatia maslahi na uzalendo kwa nchi.
Tangu lini chawa akawa na akili..pumbavu mkubwa weweBro Mama yako
Watawala wanapiga sana hela nchi hii.
Kichwa kama ufuta hahahahaTangu lini chawa akawa na akili..pumbavu mkubwa wewe
Uzi mzuri kabisa. Shaka yàngu sidhani kama utadumu. Hawa mods Wana maagizo.KWA wale waliowahi kusafiri na midege mikubwa hasa Boing wataelewa hiki ninachosema.
Ndege ikifika masafa ya juu na safari ni masafa ya mbali mathalan kutoka JNIA kwenda China, inafika mahali rubani anaseti mitambo na kuacha ndege kujiendea tu. Rubani anaweza kuja nyuma kwa abiria kupiga nao story na hata kulewa Pombe. Ila ni hatari pale ambapo rubani atajisahau ama kulewa asijue ni muda gani anatakiwa kurudi kwenye usukani kushusha ndege chini. Ndege itajiendea tu hadi mafuta yatakapoisha na kudondoka na kuwaka moto na kuua abiria wote. Hiki ndicho kilichotokea Kwa Air Malasia iliyopotea na watu 320 hadi leo!
Tanzania kwa sasa iko kwenye aoto-pilot. Nchi inajiendea tu. Rubani ama kachoka, kachoshwa, kajichosha au makusudi. Ni kama nchi haina kiongozi tena. Hakika tutaanguka na tutakufa wote. Ni suala la muda tu.