Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.

Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.

Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili. Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?

Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?

Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
 
Wenyewe (watakuja humu kupambana) hata hawana haja na hivyo viwanda kiviile. Furaha yao iko kwenye kusema vilijengwa sio uwepo wake au idadi.

Waombeeni huko walipo wasiache kula mapapai kwa kuogopa uviko.
 
Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.

Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.

Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili.
Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?

Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?

Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
Google. Utaviona. Hili swali lilishajibiwa muda labda kama umejiunga JF hivi karibuni.
 
Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda...
Viwanda havijengwi na serikali katika zama hizi za soko huria.
 
Back
Top Bottom