Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.

Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.

Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili.
Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?

Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?

Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
HAKUNA HATA KIWANDA KIMOJA NDIO MAANA MAKELELE YA TANZANIA YA VIWANDA KWISHA HABARI YAKE
 
Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda...
Tulikuwa tunajenga kwanza nchi ifananie na uraya!. Kusiwe na haja ya kukimbila uraya kwa vijana wetu ndiyo tuje na hilo.
 
Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.

Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.

Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili.
Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?

Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?

Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
Viwanda vya kutengeza mask n sanitizer…. Hivi viliibuka wakat wa korona!! sanitizer zake niliziok
 
Back
Top Bottom