Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

Habari ndugu zanguni.

Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.

Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.

Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili.
Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?

Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?

Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
Vilijengwa vingi mkoa wa pwani.
 
Njoo mkoa wa Pwani au nenda Simiyu wilaya ya Maswa
 
Kazi ya RAISI WA NCHI NI MTENGENEZA SERA RAFIKI KWA NCHI NA WANANCHI KUWEZA KUJENGA VIWANDA

CHECK BAGAMOYO SUGAR ,JAMUKAYA ,
VIPO VINGI SANA

NA MATOZO YEYE KAJENGA NINI
 
Back
Top Bottom