Waziri Mkuu alisema kila mkoa viwanda 300Labda vyerehani vya bwana Mwijage😅🤣
Vipo wapi sasa?Waziri Mkuu alisema kila mkoa viwanda 300
Hivyo vyerehani vyenyewe viko wapi?Labda vyerehani vya bwana Mwijage😅🤣
Waje watuoneshe vilipo ajira ni ngumu sana mtaaniVipo wapi sasa?
Ngoja nijaribu kugoogle😅Hivyo vyerehani vyenyewe viko wapi?
Usiache kushare resultsNgoja nijaribu kugoogle😅
Kwa hiyo tulipigwa?Tanzania ya viwanda.....hihihiiii bagosha!!
Kichaa alipewa rungu 😁 tumechezea sana marungu ya vichwaKwa hiyo tulipigwa?
Google. Utaviona. Hili swali lilishajibiwa muda labda kama umejiunga JF hivi karibuni.Habari ndugu zanguni.
Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda.
Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa vinafunguliwa.
Wapinzani walipokosoa na kusema hakuna viwanda vinajengwa walizodolewa na kuitwa sio wazalendo na wapiga dili.
Viko wapi viwanda alivyojenga huyu Mwamba aliyepumzika Mahali pema peponi?
Mawaziri wake tuonesheni takwimu picha na mahali vilipo vijana mtaani hali ni tete?
Mbona uchumi unazidi kudidimia inamaana havijaanza kuzalisha products?
Viwanda havijengwi na serikali katika zama hizi za soko huria.Habari ndugu zanguni.
Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda...