Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

Viwanda kujengwa au viwanda kufufuliwa?!
 
Ajira nyingi za vijana zipo kwenye biashara,viwandan Kama ulisubiri magufuri akujengee kiwanda umefeli
 
Muacheni hyu mzee jmn ampunzike kwa amani rip magu
Magu anakumbukwa saan HV sas kuliko mtu yoyote au marehemu yoyote nchini sioni sababu ya kumjadili huyu mzee Kaz alizo famya na namna alivyo endesha nnchi Ni kipieekee zaid
 
Wewe unakaa wapi? Uko unakokaa au kupitapita ujaona flemu zina vyerehani watu wanashonashona nguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…