Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mbona unakua kubwa jinga mwili mkubwa akili zero kuvamia Uzi usiokuhusuShule zifunguliwe tu
Huyu jamaa ana andika nyuzi za ovyo mno
Angalia usile hela za adaWakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
Tumia akiliAngalia usile hela za ada
OkayUmenishtua uliponiambia viwanja vya bata ni kajua bata wa kufuga wanao kunya kunya ovyo
Kibaha pakitahira hivyo, ndio ule bata 😆😆Wakuu nipeni basi location kibaha sehemu Gani maana naona yaliyokomenti yote mazee
Kwahiyo hamna sehemu ya kuenjoy hata kidogo mkuuKibaha pakitahira hivyo, ndio ule bata 😆😆
Nenda Wajenzi ama Gracious
We ni mzee huu Uzi haukuhusuMkuu, tafuta hela usikimbizane na wanawake bwashee.
Nenda Kongowe complex pub, ipo barabarani kabisa,ukishuka tu hapo Kongowe (upande wa kushoto ukiwa unatokea mjini), ukiuliza tu, mtu anakuonyesha ni barabarani kabisa hamna haja ya kupanda boda hata. Kuna kila kitu pale pamoja na watoto wazuri.Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
25yrs oldWe ni mzee huu Uzi haukuhusu
Pamoja kakaNenda Kongowe complex pub, ipo barabarani kabisa,ukishuka tu hapo Kongowe (upande wa kushoto ukiwa unatokea mjini), ukiuliza tu, mtu anakuonyesha ni barabarani kabisa hamna haja ya kupanda boda hata. Kuna kila kitu pale pamoja na watoto wazuri.
Arsenal Gunner
Sogea Wajenzi hapo, ni kama upo Samakisamaki ya Mkoa wa Pwani.