Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

Kuna mahali ukienda kutokana na mazingira yake unabeba Mashuka, na taulo lako kabisa maana huwezi kupato za viwango vizuri!

Kama una akili utakuwa umenielewa, keep your zip up sometimes
 
Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo

Shule zinafunguliwa lini?
 
Bata anataka aende kwa bata wenzie akanye anye hovyo. Mumwelewe. Mwenzenu ana maanisha nini. Hilo ni bata linataka maeneo yao kibaha liende likanye hovyo hovyo.
 
Kumbe ndio yeye ! karibia kila mwezi anabadilisha username na nyuzi zake za Kipimbi full majigambo na madharau
 
Sikuhiz Malaya unakitana nao Kila mahali,wengine wameolewa,wakonyeze uone reaction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…