mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Amejivua udikteta,ila yule aliondoka akiwa na sifa ya udiktetaNa huyu aliyeendeleza ZUIO Kwa miaka miwili ni DICTATOR au tumwiteje???😠ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejivua udikteta,ila yule aliondoka akiwa na sifa ya udiktetaNa huyu aliyeendeleza ZUIO Kwa miaka miwili ni DICTATOR au tumwiteje???😠ðŸ˜
Bado hajajivua,Amejivua udikteta,ila yule aliondoka akiwa na sifa ya udikteta
Ndugai mjinga yule hakuna anayemtetea,si upinzani si CcmBado hajajivua,
Ndugggai aliandikiwa na na barua ya kujiuzulu ilochapwa Kwa Capital letters??
Tupo tunaomtetea hatupo CCM Wala upinzani, ni wananchi wasio na vyama.Ndugai mjinga yule hakuna anayemtetea,si upinzani si Ccm
Ulipanga nae mipango!?Awamu ya pili alikuwa na malengo mazuri. Hata katiba mpya angetuachia. Alihitaji utulivu kidogo kuvunja mfumo wa zamani.
Tua mzigo wa chuki dhidi ya marehemu. It's not good for your mental health.Ulipanga nae mipango!?
Hizo ni neema za mwaka mpya na funzo la kutoigeuza haki kuwa hisani tena.Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi naomba nijiunge kupongeza Rais Samia kwa kuruhusu mikutano ya siasa, kukubali kurekebisha sheria mbalimbali kandamizi na kubwa kuliko, kukubali kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Kwenye hili la kuzuiwa mikutano ya hadhara, kwa vyà ma vya siasa imeruhusiwa na katiba, hivyo ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa kufanya mikutano kwa mujibu wa katiba, lile swali langu la Ikulu, kumuuliza rais wa JMT, ametumia mamlaka gani kwenye kifungu kipi cha sheria, kuzuia jà mbo lililoruhusiwa na katiba?.
Sasa leo Rais Samia, amelijibu lile swali kwa mtindo ule ule wa "anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!", jambo linalozuiliwa kwa utashi tuu wa mtu bila kifungu chochote, siku ya kuliruhusu pia ni kwa utashi tuu, bila kifungu chochote!. Hii inapelekea suala la mikutano ya siasa kuonekana ni kama Hisani tuu ya rais aliyepo madarakani, hivyo kuruhusiwa huku kwa mikutano ya siasa ni kwa hisani tuu ya Rais Mama Samia!. Swali ni jee mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya vyama kufanya mikutano au ni hisani ya Rais wa JMT aĺlye madarakani?
Kitu kama ni haki, then ni stahili sio Hisani!, Je sisi Watanzania tutaendelèa kusubiri hadi lini haki zetu na stahili zetu zikifanywa ni Hisani?.
Haki mbili kuu za kiraia zilizotolewa na katiba yetu, haki za kuchagua na kuchaguliwa, nazo zimegeuzwa hisani!,
Kwenye issues za haki zetu za kikatiba, jee Watanzania tutaendelea kusubiri kuhisaniwa mpaka lini?.
Naendelea kusistiza mwaka huu wa 2023, Watanzania lazima tufanye kitu.
Asante Mama Samia kwa a political will kuruhusu mikutano ya siasa, kwa utashi tuu hivyo vyama kujiona vimehisaniwa, nakuomba tumia a political will kama hii hii kuwaruhusu Watanzania kuchagua na kuchaguliwa.
Wakati tukisubiria hisani ya Mama Samia kwenye hili, la kumruhusu kila Mtanzania kuchagua na kuchaguliwa, should we just sit and wait kusubiria hisani kama vyama vya siasa vilivyosubiri hadi leo vilipohisaniwa, or we should do something?. Hiki ndicho nilicho anza nacho mwaka huu Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano, haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani au zawadi, ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional not as a favour or hisani but as a right, au haki, hivyo haki tusizigeuze ni hisani!, haki ni stahiki kutolewa na haiombwi, bali ikibidi kupiganiwa!,
Happy New Year.
Paskali
Mimi sijaelewa wameridhiana kuendesha mikutano ya kisiasa? kwanini wasinge maliza mambo yote ndiyo wake kwenye Camera.Maana ishu nyeti ni katiba na tume ya uchaguzi!sasa mambo ya kutueleza mipasho kuwa sheria zipo kwenye pipeline inasaidia nini!!Wanabodi,

Nimeuliza ulipanga nae hiyo mipango,ulipaswa kujibu ndiyo au hapanaTua mzigo wa chuki dhidi ya marehemu. It's not good for your mental health.
Ilipovunjwa alikuwepo wapi au ughaibuni?ALIYEIZUIA ALIVUNJA KATIBA MAMA KARUHUSU ILI KATIBA IHESHIMIWE WALA SIO HISANI
Tanzania imeshachoka kufanya siasa kilichopo ni maigizo na ushenzi tu.Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi naomba nijiunge kupongeza Rais Samia kwa kuruhusu mikutano ya siasa, kukubali kurekebisha sheria mbalimbali kandamizi na kubwa kuliko, kukubali kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Kwenye hili la kuzuiwa mikutano ya hadhara, kwa vyà ma vya siasa imeruhusiwa na katiba, hivyo ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa kufanya mikutano kwa mujibu wa katiba, lile swali langu la Ikulu, kumuuliza rais wa JMT, ametumia mamlaka gani kwenye kifungu kipi cha sheria, kuzuia jà mbo lililoruhusiwa na katiba?.
Sasa leo Rais Samia, amelijibu lile swali kwa mtindo ule ule wa "anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!", jambo linalozuiliwa kwa utashi tuu wa mtu bila kifungu chochote, siku ya kuliruhusu pia ni kwa utashi tuu, bila kifungu chochote!. Hii inapelekea suala la mikutano ya siasa kuonekana ni kama Hisani tuu ya rais aliyepo madarakani, hivyo kuruhusiwa huku kwa mikutano ya siasa ni kwa hisani tuu ya Rais Mama Samia!. Swali ni jee mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya vyama kufanya mikutano au ni hisani ya Rais wa JMT aĺlye madarakani?
Kitu kama ni haki, then ni stahili sio Hisani!, Je sisi Watanzania tutaendelèa kusubiri hadi lini haki zetu na stahili zetu zikifanywa ni Hisani?.
Haki mbili kuu za kiraia zilizotolewa na katiba yetu, haki za kuchagua na kuchaguliwa, nazo zimegeuzwa hisani!,
Kwenye issues za haki zetu za kikatiba, jee Watanzania tutaendelea kusubiri kuhisaniwa mpaka lini?.
Naendelea kusistiza mwaka huu wa 2023, Watanzania lazima tufanye kitu.
Asante Mama Samia kwa a political will kuruhusu mikutano ya siasa, kwa utashi tuu hivyo vyama kujiona vimehisaniwa, nakuomba tumia a political will kama hii hii kuwaruhusu Watanzania kuchagua na kuchaguliwa.
Wakati tukisubiria hisani ya Mama Samia kwenye hili, la kumruhusu kila Mtanzania kuchagua na kuchaguliwa, should we just sit and wait kusubiria hisani kama vyama vya siasa vilivyosubiri hadi leo vilipohisaniwa, or we should do something?. Hiki ndicho nilicho anza nacho mwaka huu Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano, haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani au zawadi, ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional not as a favour or hisani but as a right, au haki, hivyo haki tusizigeuze ni hisani!, haki ni stahiki kutolewa na haiombwi, bali ikibidi kupiganiwa!,
Happy New Year.
Paskali
Utapewa kesi kama Mbowe....nenda taratibu.Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano, haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani au zawadi, ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional not as a favour or hisani but as a right, au haki, hivyo haki tusizigeuze ni hisani!, haki ni stahiki kutolewa na haiombwi, bali ikibidi kupiganiwa!
Mkuu PaskaliWanabodi,
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa kumpongeza Rais wetu, Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya siasa, kukubali kurekebisha sheria mbalimbali kandamizi na kubwa kuliko, kukubali kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Kwenye hili la kuzuiwa mikutano ya hadhara, kwa vyà ma vya siasa
, kwa vile mikutano hiyo ya vyama vya siasa ni kitu ambacho kimeruhusiwa na katiba, kitendo kile cha kuzuia mikutano hii, hakikuwa sawa!, huu ilikuwa ni ukwiukwaji wa wazi kabisa wa katiba ya JMT mchana kweupe!.
Kufanya mikutano ni miongoni mwa haki za vyama vya siasa zilizoainishwa na katiba, hata lile swali langu la Ikulu, kumuuliza rais wa JMT, ametumia mamlaka gani kwenye kifungu kipi cha sheria, kuzuia jà mbo lililoruhusiwa na katiba?, naamini wengi mnajua nilijibiwa nini!.
Sasa leo Rais Samia, alichokifanya kwa kuruhusu mikutano ya siasa, ni kama leo ndio lile swali liameljibiwa kwa mtindo ule ule wa "anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!", jambo linalozuiliwa kwa utashi tuu wa mtu bila kifungu chochote, cha katiba au sheria, siku ya kuliruhusu jambo hilo, pia ni kwa utashi tuu, wa kiongozi aliyepo, bila kutumia kifungu chochote au sheria yoyote!. Jambo lolote lililozuiliwa, (regardless lilizuiwaje), linaporuhusiwa, hatua ya kwanza ni kushukuru kwa jambo hilo kurusiwa, hivyo Watanzania wote tujiunge pamoja na kusema kwa kauli moja, "Asante Sana Mama".
Baada ya kushukuru, sasa twende ndani kidogo zaidi ya jambo lenyewe lililoruhusiwa, kwa vile mikutano ya siasa ilizuiliwa kwa utashi tuu, na sasa imeruhusiwa kwa utashi tena, tukishukuru na kusema tuu asante bila kutia neno jingine lolote, hii inapelekea suala la mikutano ya siasa kuonekana ni kama jambo la hisani tuu ya rais aliyepo madarakani, JPM alizuia mikutano kwa utashi tuu, na leo Rais Samia ameruhusu mikutano hii kwa utashi na kwa hisani tuu!, swali linabaki ni jee mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya vyama kufanya mikutano au ni hisani ya Rais wa JMT aĺlye madarakani?
Kitu kama ni haki, then haki ni stahili sio hisani!, Je sisi Watanzania tutaendelèa kusubiri hadi lini wakati haki zetu na stahili zetu zikigeuzwa kuwa hisani?.
Tena afadhali ya hili la haki ya mikutano ya siasa, limefanywa kwa utashi tuu kwa kutumia kauli tuu, yaani mikutano ilizuiliwa kwa kauli, na sasa imeruhusiwa kwa kauli, lakini kuna na haki nyingine mbili ambazo ndizo haki kuu za kiraia zilizotolewa na katiba yetu, haki za kuchagua na kuchaguliwa, nazo zimegeuzwa hisani!. Haki ya kuchagua yenyewe bado ipo, ila haki ya kuchaguliwa, haipo!, imenyofolewa na kufinyangwa finyangwa hivyo kuonekana kama ipo ila kiukweli ni haipo na mimi mwenyewe ni shahidi wa hili!.
Kwenye issues za haki zetu za msingi za kikatiba, jee Watanzania tutaendelea kusubiri kuhisaniwa mpaka lini?.
Naendelea kusistiza mwaka huu wa 2023, Watanzania lazima tuamke tufanye kitu.
Watanzania tuendelee kuwa watu wa shukrani kwa kushukuru kwa yote, hata kama ni madogo ili tuweze kupatiwa makubwa, hivyo tuendelee kusema
asante sana Mama Samia kwa a good political will la kuruhusu mikutano ya siasa, kwa utashi tuu hivyo vyama na Watanzania kukushukuru kwa hisani yako hii, tunakuomba tumia a political will kama hii hii kuwaruhusu Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa!.
Wakati tukisubiria hisani ya Mama Samia kwenye hili, kupitia marekebisho ya sheria mbalimbali na kumruhusu kila Mtanzania kuchagua na kuchaguliwa, should we just sit and wait kusubiria hisani ya Mama kama vyama vya siasa vilivyosubiri hadi leo vilipohisaniwa, or should we do something?. Hiki ndicho nilicho anza nacho mwaka huu Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Haki ni stahiki sio hisani!, haki haiombwi na kutegemea hisani, wala haki haihitaji vikao, mikutano na majadiliano kuzijadili haki, na haki hauletewi kwenye kisahani cha chai kama hisani, fadhila au zawadi, haki ni stahiki inayopaswa kutolewa unconditional not as a favour, hisani au fadhila!. Haki is a right, inayopaswa kutolewa unconditional na isipotolewa, haiombwi, bali hudaiwa, na katika kuidai huku kukishindikana kuidai kwa amani na kisheria, ndipo nguvu hutumika kuipigania, but only pale inapobidi, na ni katika kuipigania huku sometimes machozi, jasho na damu huweza kumwagika!.
Kwa vile Rais wetu Mama Samia, keshaonyesha utashi, kwa kauli na matendo, tuzidi kumuombea ili Mungu amuwezeshe ayaweze yote haya kabla hajamaliza awamu yake hii ya kwanza, ili hata ikitokea akaendelea kwa awamu ya pili, then hiyo itakuwa ni awamu ya shukrani na kumpa asante kwa aliyotatenda, na sio awamu ya kukamilisha ambayo hayakumamilika.
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Happy New Year.
Paskali
Mkuu Msanii , hii ni kweli, haikuwa sahihi kuzuia mikutano ya siasa, ila pia it's very unfortunately hatuna any serious opposition inayojua wajibu wake!.Mkuu Paskali
Kisheria, haikuwa sahihi kuzuia shughuli za kisiasa
Naunga mkono hojaawamu ile na ilipaswa kabla ya kuruhusu ziendelee rais alipaswa kuweka bayana kuwa katiba na sheria ndiyo mwongozo wa shughuli zote za serikali.
Naunga mkono hojaNajua watawala wetu hawawezi kuomba radhi kwa makosa ya makusudi wanayoyafanya lakini kuliweka bayana kuwa katiba na sheria ni mwongozo sahihi na tunapaswa kujikumbusha wakati wote ktk hilo.
Hili ndio hoja kuu ya bandiko hili, Watanzania tutaendelea kunyamaza hadi lini wakati haki zetu zikigeuzwa ni hisani?.Amefanya vyema yes lakini vyema from where? Was it legitimacy decision to ban political activities in Tanzania? Sheria ipi ilitumika na Katiba imeruhusu wapi maamuzi hayo?
Mkuu Msanii , hii ni kweli, haikuwa sahihi kuzuia mikutano ya siasa, ila pia it's very unfortunately hatuna any serious opposition inayojua wajibu wake!.
Baada ya mikutano kuzuiliwa ukawa wakapanga maandamano nchi nzima, nikamshauri Lissu Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
Kuna siku nilikutana na Zitto nikamuuliza
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Wanabodi, Japo bandiko hili liko addressed kwa Mhe. Zitto, lakini hoja zake ni kwa Wapinzani wote, namuelekezea Zitto Kabwe kwa sababu kwa maoni yangu ndio mpinzani pekee kwa sasa anayeweza kusimama na rais Magufuli 2020, na Magufuli akahisi kijoto joto japo kwa mbali. Ni kwa muda mrefu...www.jamiiforums.com
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=d1GNsfSaX6LaWDox
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
Hili ndio hoja kuu ya bandiko hili, Watanzania tutaendelea kunyamaza hadi lini wakati haki zetu zikigeuzwa ni hisani?.
Uchaguzi Huru na wa haki ni haki sio hisani!.
Kuchagua viongozi unaowataka ni haki sii hisani!.
Ili wananchi wawachague viongozi wanaowataka lazima haki ya kugombea uongozi iwepo, ili mtu kugombea uongozi, haki hii ya kugombea imehisaniwa kwenye chawa cha siasa!.
P
Kwa vile Rais wetu Mama Samia, keshaonyesha utashi, kwa kauli na matendo, tuzidi kumuombea ili Mungu amuwezeshe ayaweze yote haya kabla hajamaliza awamu yake hii ya kwanza, ili hata ikitokea akaendelea kwa awamu ya pili, then hiyo itakuwa ni awamu ya shukrani na kumpa asante kwa aliyotatenda, na sio awamu ya kukamilisha ambayo hayakumamilika.
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Ibariki Tanzania
Happy New Year.
Paskali
Wanabodi,
Kwenye hili la kuzuiwa mikutano ya hadhara, kwa vyà ma vya siasa
, kwa vile mikutano hiyo ya vyama vya siasa ni kitu ambacho kimeruhusiwa na katiba, kitendo kile cha kuzuia mikutano hii, hakikuwa sawa!, huu ilikuwa ni ukwiukwaji wa wazi kabisa wa katiba ya JMT mchana kweupe!.
Kitu kama ni haki, then haki ni stahili sio hisani!, Je sisi Watanzania tutaendelèa kusubiri hadi lini wakati haki zetu na stahili zetu zikigeuzwa kuwa hisani?.
Kwenye issues za haki zetu za msingi za kikatiba, jee Watanzania tutaendelea kusubiri kuhisaniwa mpaka lini?.
Paskali
Mkuu @Sythesizer, naunga mkono hoja. Siku mikutano ya siasa na maadamano yaliporuhusiwa nilisema mikutano ya vyama na maandamano ni haki na sio hisani!, haki ni kitu stahiki na sio hisani!, karibu mitaa hiiTanzania tunapaswa kufanya mambo yetu kwa taratibu za kikatiba, sio utashi wa mtu mmoja mmoja hata kama mtu huyo ndio Raisi wa nchi, au waziri,au IGP au Katibu mwenyezi wa CCM nk. Namna hiyo ya uongozi haitatufikisha popote.