Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Nitanufaika vipi?Sawa......uko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitanufaika vipi?Sawa......uko wapi
Akiba kwa nani?Huyo mke na wale vibaka tunaowaita watoto "wetu"?Usiumize kichwa.Kaa kimachale,utachekwa maalim.Tunatoa tukiamini tunaweka akiba, kumbe sio akiba tena bali ni mateso.
Nipigie nkuambieNitanufaika vipi?
Subiri basi kwanza tunamsindikiza akatunze hati za mali zake kwanza.Atakupigia simu tu myaweke bwino.Sawa......uko wapi
Watakuimbia, ''naniii kama mamaaa...'' wakati huo ukiwa umekongorokaAcha ubinafsi na uoga kijana oa ujenge familia wewe,hela zenyewe hatuzikwi nazo
Huwa mwisho wanaungana na mama yao ili wakunyooshe.Sina habari,kwetu mbali na bibi mgonjwa.Ngoja kwanza nina clear bill ya "maziwa" hapa mini-bar.Tutaongea zaidi mkuu.'😀😀😀
Waache waimbe wewe haikupunguzii chochoteWatakuimbia, ''naniii kama mamaaa...'' wakati huo ukiwa umekongoroka
Haikupunguzii chochote wakati utakuwa na sonona grade one?Kuwa serious aisee!Waache waimbe wewe haikupunguzii chochote
Ndio maana wenzetu Ulaya hawazai watoto wengi; mmoja au wawili wanatoshaDaaah mkuu umewaza mbali sana na ndo ukweli wenyewe.
Mnatunyonya sana wanaume 😀Nipigie nkuambie
Na akifika umri wa miaka 18 anaenda kusamamba maisha yake kivyakeNdio maana wenzetu Ulaya hawazai watoto wengi; mmoja au wawili wanatosha
Wakati wewe ukimnyonya hata maziwa tu kulegeza koo waziri anatoa tamko la kukutisha uache.Mnatunyonya sana wanaume 😀
Wakati huo ulishapoteza tayariWaache waimbe wewe haikupunguzii chochote
Hamtaki kunyonywa au sio......Mnatunyonya sana wanaume 😀
Nilikuwa nawaza sababu ya wenzetu kutokuwa na watoto wengi, kumbe waliogopa gharama za kuhudumia, kwa sababu mwisho huwa haueleweki.Hatari, ndo nature ndivyo ilivyo