Disruptor1
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 139
- 388
Sasa hilo ni kosa lake,alishindwa kuchagua mke sahihi.Anayapitia
Jitahidi wewe sasa utafute mke sahihi ili usiwarisishe wanao chuki,ubinafsi na uoga kama unavowaza mda huu.
Familia ni upendo,furaha na amani haya maswala ya sijui mimi natoa nini yasikuumize kichwa mzee ni vitu vidogo na mwisho wa siku wanawake ni viumbe dhaifu waliletwa waje watuletee watoto na kula tunavyotafuta