Anayenufaika zaidi kwenye mahusiano ni nani, mwanamke au mwanaume?

mahusiano nje ya ndoa halali hayana faida kwa yeyote.
 
Wanawake unawajua vizuri lakini?Anakuchonganisha na yeyote atakayemuhakikishia maisha mema zaidi ya unayompa.
Umenena kweli.
Akina mama hutengeneza mazingira ya kuonekana wema kwa watoto kuliko baba.
Ogopa sana mwanamke. Kama anathubutu kukubali kumdhuru mume kwa ushauri wa mchepuko, atashindwa kuteka na kushawishi watoto wake wamdharau baba yao?

Karibu 95% ya wamama wote ndivyo walivyo.
 
Ndio maana maandiko yanatusihi tuishi nao kwa akili
 
Wanawake unawajua vizuri lakini?Anakuchonganisha na yeyote atakayemuhakikishia maisha mema zaidi ya unayompa.
Umenena kweli.
Akina mama hutengeneza mazingira ya kuonekana wema kwa watoto kuliko baba.
Mtoto akikosea, hachukui hatua ya kumwonya, utasikia "ngoja aje baba yako nitakusema". Sasa baba ukichukua jukumu la kuonya hata isiwe kwa kiboko, mtoto tayari anahenga chuki kuwa kumbe baba ni mbaya.
 
Mimi nanufaika zaidi japo nayeye anasema ananufaika zaidi.
KWa ufupi naogopa kumpoteza nayeye anaogopa kunipoteza.
Basi mapenzi matamu hatariiii.
Ngoja niweke simu chaji akanikojoze mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…