Anayepaswa kulaumiwa kwanza katika haya yanayoendelea katika Taifa ni Hayati Mwl. Nyerere

Hapa ndio umenionesha ulivyo mweupe.

Kumbe unasubiri mabadiliko yaletwe na wale wanaofaidi kwa mfumo mbovu uliopo?!

Huoni nchi za wenzetu wanafanya nini kujikomboa!. Endelea kumlaumu Nyerere atafufuka aje kuwabadilishia hizo sheria mbovu.

Nimemaliza.
 
Mazuzu siku zote yakishindwa kuwajibisha MATAWALA yao, hutafuta mtu wa kumlaumu.

Pumbavu
 
Hoja yangu ni hii,kwanini aliruhusu sheria za kulinda watawala hata kama watatenda kinyume na matakwa ya utawala bora,haki,unawezaje kuruhusu kitu ambacho hukitaki,hukipendi halafu baadae unalalamika mwenyewe ,hii katiba inanipa mamlaka makubwa sana nk
 
Hakujihusisha kwasababu hakushiriki ufisadi.

Alishiriki kuunda mfumo wa mafisadi kujilia kwa uhuru bila kushtakiwa..

Wewe kwa uelewa wako kama Rais hashtakiwi, Mtoto wake, mumewe/mkewe, wakwe, ndugu, jamaa na marafiki wa Rais watashtakiwa?

Tumia logic ndogo tuu.

Kwamba mimi nafahamiana na Samia, tunaukaribu mzuri.
Hivi Rais Samia unafikiri atakubali nifungwe kisa nimekudhulumu wewe nyumba au kiwanja? Au nimeiba hela ya serikali?

Panua akili hiyo Mkuu
 
Kama sio Nyerere watu wa bara mngekuwa mashambani mpaka leo , kijana mshukuru sana Nyerere.
 
Ulivyo KIAZI unaita Rais siyo binadamu wa kawaida.

Mpe ****** akufire basi.

Kama unaogpoa SILAHA, at least SUSA sasa.

Haya lets say Nyerere alikosea, mbona wewe huoneshi kutoridhika.

Umegeuka CHAWA, KUNGUNI wa hayo hayo matawala maovu??

Onesha hiyo tofauti
 

Mabadiliko ya mfumo gani wakayi mfumo uliopo aliuweka Nyerere ambaye unakataa kwamba hatakiwi kulaumiwa?

Kama hatakiwi kulaumiwa au sio msingi wa matatizo kwa nini unasema tubadilishe mfumo?
Aliyeweka huu mfumo unamjua?
 
Umeandika, mfumo = watu, sasa Nyerere ni watu au mtu!.

Kama yeye hakuja na hilo wazo, kwanini hao watu wengine hawakumshawishi abadilishe huo mfumo?!

Nyerere wasn't ana angel kama mnavyotaka kuiweka hapa.
Nashukuru kwamba hujapingana na mimi kwamba huna ufahamu na mambo ya kiutawala. GOOD!

Pili, MFUMO (SYSTEM)= Watu(People), Policies (Sera), Sheria (Laws), Taasisi (Instututions).

Sijasema MFUMO=WATU (Peke yake).......Hili umelisema wewe hapa.
==============================================================================
WATU ndani ya mfumo = Individual Ministerial Responsibility vs Collective Ministerial Responsibility
​
 
Mazuzu siku zote yakishindwa kuwajibisha MATAWALA yao, hutafuta mtu wa kumlaumu.

Pumbavu

Watawala huwajibishwa kisheria. Kwa kufuata Katiba na sheria za nchi

Embu tuweke Kesi hapa, Rais amekuibia mkeo/mumeo, au amekuchukulia kiwanja.

Embu nipe sheria ya kumuwajibisha ikiwa yeye hashtakiwi, ndiye anayetuea majaji, yeye ndiye amiri jeshi mkuu. Inamaana mpaka hao polisi itawapasa wamchunguze boss wako. Unona kama inawezekana?
 
Haya tuanze na wewe unayetucheka sisi.!

Wewe umerekebisha nini mpaka sasa hapa nchini ????

Tukisema kwenda kwenye maandamano tupinge serikali dhalimu unaweza kutoka hata nje ???
​
 
Samia yuko madarakani dili naye wajati yupo madarakani, Nyerere kwenye uongozi wake aliwahi kuwapa watoto wake vyeo, aliwahi kuiba pesa za umma. Ni akili mfu kuanza kudili na mtu aliyekufa kwa sababu haibadili chochote alichokifanya akiwa hai.
 
Ulivyo mpumbavu unashindwa kutofautisha UTARATIBU wa kisheria, na katiba

Na MTAWALA MUOVU kutoheshimu TARATIBU tulizojiwekea.

WAtawala waovu hata sheria au katiba iwe nzuri vipi, anaweza kuamua kutoiheshimu tu.

Mfano mzuri ni sheria ya uchaguzi, wala haina shida kubwa.

Ila watawala waovu wanachagua kutoiheshimu.

Haya, nambie Lissu yuko mahabusu ni katiba ipi imekataza kesi ya Lissu isiemdelee???
 
Soon, atakutafuna kwa akili za aina hii.
 
wewe ni mpumbavu.. sema tena mpumbavu..rudia kwa sauti mpumbavu.... mwl amefarikia miaka zaidi ya 20 nyuma leo unamlaumu?!!! shenzi.. viongozi wenu wa leo wanafanya nini? kwa nini wsibadilishe sheria?.. pumbavu kabisa.... maovu yanatoke mnakaa kimya halafu leo mnarusha lawama kwa Mwl?....stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…