Anayepaswa kulaumiwa kwanza katika haya yanayoendelea katika Taifa ni Hayati Mwl. Nyerere

Yule ambaye hakuwahi kuwa na kashfa ya ufisadi ndie chanzo cha umaskini wetu!.

Kosa lake kuyaacha madini ardhini kisha nyie mkaja kuyachezea, halafu mnarudi kumlaumu yeye!

Huu ujinga wenu ni next level.
Katiba aliyoitunga ndio inawalinda wadhalimu wa leo. Watendaji wa vijiji,watendaji wa kata,mkurugenzi ,mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,wote ni makada wa CCM, huoni katiba ya Nyerere ilivyo mbovu,je ni kweli alikuwa na nia njema ya Tanzania ya baadaye,au alikuwa na maslahi ya siri ya chama chake???,tuwe wakweli
 
wewe ni mpumbavu.. sema tena mpumbavu..rudia kwa sauti mpumbavu.... mwl amefarikia miaka zaidi ya 20 nyuma leo unamlaumu?!!! shenzi.. viongozi wenu wa leo wanafanya nini? kwa nini wsibadilishe sheria?.. pumbavu kabisa.... maovu yanatoke mnakaa kimya halafu leo mnarusha lawama kwa Mwl?....stupid
NAWASHAURI SANA VIJANA KWAMBA WAANGALIE SANA MAZINGIRA WANAYOFANYIA MAPENZI,KUNA MIMBA ZA BAHATI MBAYA,WANAPEANA MAPENZI CHOONI MWANAMKE ANADAKA MIMBA KIMASIHARA MWISHO WA SIKU WANAPATA MTOTO KICHWA MAVI KAMA HIKI.
 
Mfumo= Watu+Sera+Sheria+Taasisi

Hivi kwenye utawala hupimwa kwa kipimo kiitwacho PERSISTENCE METRIC ambacho huangalia kwa muda ganii na jinsi gani MFUMO (Watu+Sera+Sheria+Taasisi) huathiri maisha ya vizazi
===================================================================================

Unaweza kuhisi umeongea kitu cha maana kumbe una ufahamu finyu kuhusu utawala. Hili ndilo tatizo lako wewe. Unaamini kwasababu wewe hukifahamu hiki basi na mwingine lazima atakuwa hakifahamu. Una matatizo makubwa kichwani mwako, Bwana Denoo G.

Kiutawala, taasisi zote duniani hata kama ziko (Autonomous/Semi-autonomous) ni kama kiumbe hai kinachojiongoza chenyewe. Lakini lazima kiwe na kichwa, ambaye kitaalamu tunamuita MTENDAJI MKUU (CHIEF EXECUTIVE), ambaye huamua mwelekeo mzima wa taasisi kwa wakati huo. Hili limesemwa na wataalamu wa utawala tokea miaka ya 1600 kama Locke, Hobbes na Montesquie (In Theory of Social Contract) na hata wasomi wa miaka hii ya karibuni kama Prof Max Webber, Issa G Shivji wamethibitisha nalolisema, kwamba mifumo hutegemea sana kiongozi binafsi (CHARISMATIC SYSTEMS).

Kwenye sheria ya katiba (CONSTITUTIONAL LAW) wale waliosoma sayansi ya siasa (Political Science) na sheria (Law) hufundishwa hili mapema wakiwa mwaka wa kwanza. Hufundishwa kwamba kwenye mifumo ya utawala wa nchi (State Systems) hasahasa nchi zetu ambazo zilitawaliwa na Uingereza zinafuata THE WESTMINSTER MODEL, mfumo huwa na uwajibikaji wa aina mbili: Uwajibikaji wa Jumla (Collective Ministerial Responsibility) na Uwajibikaji Binafsi(Individual Ministerial Responsibility).

Kuna mambo kwenye mifumo ya utawala wa nchi huwa yanapimwa kwa kurunzi maamuzi ya uwajibikaji wa jumla (Collective Ministerial Responsibility) na kuna maamuzi hupimwa kwa kurunzi ya (Individual Ministerial Responsibility). Kiutawala na dunia ya sasa, MFUMO unatakiwa ufuate sana COLLECTIVE MINISTERIAL RESPONSIBILITY, kuliko INDIVIDUAL MINISTERIAL RESPONSIBILITY. Bahati mbaya mno Tanzania katiba zake zote tokea 1964 zilitengeneza kitu kinaitwa IMPERIAL PRESIDENCY (Uraisi wa Kifalme) ambao unampa Kiongozi Mmoja ndani ya mfumo nguvu kubwa za kiutendaji kuliko wengine, jambo ambalo halitakiwi.

Hata Tundu Lissu ambaye mnamshabikia amekuwa akilisema sana hili miaka. Inaonesha hukuelewa anamaanisha hata nini. Maamuzi mengi mabaya yalifanywa na Mzee Nyerere kama CHIEF EXECUTIVE OF THE COUNTRY na kutekelezwa katika ngazi za kimfumo na viongozi wake wa chini. Lakini pia tunapoongelea mfumo hatuangalii tu utendaji, bali tunaangalia SERA, SHERIA na TAASISI ambazo zilitungwa au kuanzishwa wakati wa Mzee Nyerere na namna gani mpaka leo zinaendelea kutumika kuathiri maisha ya watanzania.

Asilimia 70% ya sheria kandamizi na sera zake zilitungwa na kuanzisha taasisi zake kipindi cha Mzee Nyerere akiwa Raisi. Hivyo tutaisema serikali yake kwa haya maovu (Collective Ministerial Responsibility) na yeye binafsi (Individual Collective Responsibility).Hivi ndivyo mifumo ya dunia ya kiutawala ipo.

SASA KAMA HUKUWA UNALIFAHAMU HILI, THAT's YOUR PROBLEM........

YOU CAN GET ANGRY, THROW TANTRUMS, DRENCH IN YOUR SORROWS and WALLOW IN YOUR TEARS ila huu ndiyo ukweli wa kiutawala duniani kote, wewe MTANZANIA mmoja huwezi kuupinga hata kama unauchukia na haukubaliani nao.
​
MALCOM LUMUMBA .
Mkuu nadhani nimechelewa sana kukufuatilia.

Nadhani wewe ndio Mtu mwenye akili nyingi zaidi Hapa JF.

Ninaamini Unasoma sana.
Unasoma mno
Hongera sana mkuu.
 
Hawezi kukuelewa.
Unajua kuna makundi matatu makubwa ambayo yanalalamika kuhusu hali ya kisiasa hapa nchini:

KUNDI LA KWANZA:
Hawa wako nje ya mfumo na wanaongozwa na vyama kama CHADEMA. Hawa wanapinga CCM kwasababu hawaamini katika falsafa zake wala mwenendo wake, na wanaamini kabisa kwamba mwarobaini ni kuiondoa kabisa CCM madarakani. Kinara mkuu wa siasa za kundi hili ni Mheshimiwa Tundu Antipass Lissu.

KUNDI LA PILI:
Hili kundi na la watu wenye maslahi kufalani na MFUMO. Hawa huwa wanapinga serikali iliyopo kwasababu za kidini au kimaslahi. Kundi hili linaongozwa na makada wa CCM au watu wa mfumo ambao hawaridhiki na serikali iliyopo, lakini wao ni wana CCM kindakindani. Kula, Kulala, Kuishi kwao kumetokana na CCM. Mfano, Bwana Humphrey Polepole, Prof Issa G Shivji, Prof Anna Tibaijuka, na viongozi wengi wa Kanisa Katoliki (Pindi Raisi Muislamu) na Masheikh (Pindi Raisi ni Mkristo).

Wengi wanaompinga SSH au waliompinga JPM, wanatokea kundi hili. Hata hapa mtandaoni utawaona kabisa wanataka mabadiliko lakini hawataki kukubali ukweli wa mabadiliko kwamba tatizo ni CCM iliyoanzishwa na Mzee Nyerere. Wao SSH akitoka na akingia Raisi ambaye ni mwana-ccm wanamkubali basi watamuunga mkono, hata kama hatafanya mabadiliko yoyote kimfumo. Hili kundi lina watu hatari sana kwa mustakabali wa hili taifa.

Watetezi wengi na wafuasi wa Nyerere wako kwenye hili kundi...

KUNDI LA TATU:
Hili kundi lina watu ambao wao siasa au harakati ni ajira. Hawa ni mawakala wa mataifa makubwa na taasisi kubwa za kimataifa duniani. Hili kundi hushirikiana na makundi yote mawili hapo juu endapo maslahi yao yanafanana kwa wakati huo. Wanaharakati wengi wa mtandaoni kama Maria Sarungi, Mange Kimambi, Liberatus Mwang'ombe, Kigogo, Tito Magoti, Tausi, Olenguruma na wanaharakati wengi na NGOs zao wako hili kundi. (Hawa ni watu walioanza siasa baada ya miaka 25, hasahasa baada ya kupata ajira na mengi ya kupoteza)

Ndiyo maana kuna wakati unakuta walikuwa na CHADEMA bumper to bumper, halafu mara wakahitilafiana baada ya maslahi kupishana. Kuna kipindi walikuwa wanamshambulia Polepole lakini baadaye wakawa rafiki zake. Kiufupi, their political build-up is very synthetic and mechanical.

Kikawaida mtu yoyote huwa haanzi harakati za siasa ambapo anakuwa na mengi ya kupoteza, hasahasa baada ya kuvuka miaka 25. Ukiona mwanaharakati kaanza siasa baada ya miaka 25 basi fahamu that is Synthetic/Artificial/Mechanical. Mwanasiasa Genuine huwa anaaza siasa akiwa mdogo, 14-25. Kitaalamu hizi ndiyo Formative Years. Ndiyo maana jeshini na taasisi nyingi za kiusalama na kidini huwa hawataki mtu aliyevuka miaka 25, kwasababu wanaamini kwamba hawezi kufundishika katika ngazi ya kifalsafa na kiimani.

Hili kundi huanza la tatu, wanasiasa wake wengi wameingia kwenye harakati baada ya kuvuka miaka 30. Lakini pia wamekula maisha na wana mengi mno ya kupoteza. Wana familia na watoto, utajiri na sifa (Reputation) za kuzilinda. Hivyo wenye akili hawawezi kuliamini hili kundi hata kidogo. Ukiona mtu anaanza siasa baada ya miaka 30, hutakiwi kumwamini, mara zote huwa ni mamluki.

================================================================================
​
 
MALCOM LUMUMBA .
Mkuu nadhani nimechelewa sana kukufuatilia.

Nadhani wewe ndio Mtu mwenye akili nyingi zaidi Hapa JF.

Ninaamini Unasoma sana.
Unasoma mno
Hongera sana mkuu.
Mimi huyu ndugu niweke wazi uwa nikiona maoni yake, naagiza na maji kabisa. Anakupokea kama unavyokuja, shahidi ni ndugu mmoja wakuitwa injinia. Alipigwa K.O mpaka leo hajaonekana tena jamvini
 
Binafsi nilitamani ange Copy na Ku Paste katiba ya Marekani, China au Japan.

Nadhani hili nalo ni miongoni mwa Makosa yake.
 
Unajua kuna makundi matatu makubwa ambayo yanalalamika kuhusu hali ya kisiasa hapa nchini:

KUNDI LA KWANZA:
Hawa wako nje ya mfumo na wanaongozwa na vyama kama CHADEMA. Hawa wanapinga CCM kwasababu hawaamini katika falsafa zake wala mwenendo wake, na wanaamini kabisa kwamba mwarobaini ni kuiondoa kabisa CCM madarakani. Kinara mkuu wa siasa za kundi hili ni Mheshimiwa Tundu Antipass Lissu.

KUNDI LA PILI:
Hili kundi na la watu wenye maslahi kufalani na MFUMO. Hawa huwa wanapinga serikali iliyopo kwasababu za kidini au kimaslahi. Kundi hili linaongozwa na makada wa CCM au watu wa mfumo ambao hawaridhiki na serikali iliyopo, lakini wao ni wana CCM kindakindani. Kula, Kulala, Kuishi kwao kumetokana na CCM. Mfano, Bwana Humphrey Polepole, Prof Issa G Shivji, Prof Anna Tibaijuka, na viongozi wengi wa Kanisa Katoliki (Pindi Raisi Muislamu) na Masheikh (Pindi Raisi ni Mkristo).

Wengi wanaompinga SSH au waliompinga JPM, wanatokea kundi hili. Hata hapa mtandaoni utawaona kabisa wanataka mabadiliko lakini hawataki kukubali ukweli wa mabadiliko kwamba tatizo ni CCM iliyoanzishwa na Mzee Nyerere. Wao SSH akitoka na akingia Raisi ambaye ni mwana-ccm wanamkubali basi watamuunga mkono, hata kama hatafanya mabadiliko yoyote kimfumo. Hili kundi lina watu hatari sana kwa mustakabali wa hili taifa.

Watetezi wengi na wafuasi wa Nyerere wako kwenye hili kundi...

KUNDI LA TATU:
Hili kundi lina watu ambao wao siasa au harakati ni ajira. Hawa ni mawakala wa mataifa makubwa na taasisi kubwa za kimataifa duniani. Hili kundi hushirikiana na makundi yote mawili hapo juu endapo maslahi yao yanafanana kwa wakati huo. Wanaharakati wengi wa mtandaoni kama Maria Sarungi, Mange Kimambi, Liberatus Mwang'ombe, Kigogo, Tito Magoti, Tausi, Olenguruma na wanaharakati wengi na NGOs zao wako hili kundi.

Ndiyo maana kuna wakati unakuta walikuwa na CHADEMA bumper to bumper, halafu mara wakahitilafiana baada ya maslahi kupishana. Kuna kipindi walikuwa wanamshambulia Polepole lakini baadaye wakawa rafiki zake. Kiufupi, their political build-up is very synthetic and mechanical.

Kikawaida mtu yoyote huwa haanzi harakati za siasa ambapo anakuwa na mengi ya kupoteza, hasahasa baada ya kuvuka miaka 25. Ukiona mwanaharakati kaanza siasa baada ya miaka 25 basi fahamu that is Synthetic/Artificial/Mechanical. Mwanasiasa Genuine huwa anaaza siasa akiwa mdogo, 14-25. Kitaalamu hizi ndiyo Formative Years. Ndiyo maana jeshini na taasisi nyingi za kiusalama na kidini huwa hawataki mtu aliyevuka miaka 25, kwasababu wanaamini kwamba hawezi kufundishika katika ngazi ya kifalsafa na kiimani.

Hili kundi huanza la tatu, wanasiasa wake wengi wameingia kwenye harakati baada ya kuvuka miaka 30. Lakini pia wamekula maisha na wana mengi mno ya kupoteza. Wana familia na watoto, utajiri na sifa (Reputation) za kuzilinda. Hivyo wenye akili hawawezi kuliamini hili kundi hata kidogo. Ukiona mtu anaanza siasa baada ya miaka 30, hutakiwi kumwamini, mara zote huwa ni mamluki.

================================================================================
​
Kwa muktadha huu basi bado safari ni ndefu tena ndefu sana.

Hilo Kundi la Lisu lina mlima mrefu sana kuupanda.
Maana kundi namba 2 na tatu wapo wengi zaidi na wanawafuasi wengi zaidi.

Wafuasi wao wengi ni wale shabiki lialia wa Ukristo Vs Uislam(udini), ukale Vs Usasa, wafuata mkumbo ambao hawa leo wako huko kesho wako kule kwani kila anayesimama jukwaani wanamsikia akiongea points.

Upande wa kina Lisu pia wapo walioupande wa Lisu lakini wasielewe falsafa za Lisu ambazo zinaongozwa kwa kufuata ukweli na haki bila kupendeleana.
 
Mfumo= Watu+Sera+Sheria+Taasisi

Hivi kwenye utawala hupimwa kwa kipimo kiitwacho PERSISTENCE METRIC ambacho huangalia kwa muda ganii na jinsi gani MFUMO (Watu+Sera+Sheria+Taasisi) huathiri maisha ya vizazi
===================================================================================

Unaweza kuhisi umeongea kitu cha maana kumbe una ufahamu finyu kuhusu utawala. Hili ndilo tatizo lako wewe. Unaamini kwasababu wewe hukifahamu hiki basi na mwingine lazima atakuwa hakifahamu. Una matatizo makubwa kichwani mwako, Bwana Denoo G.

Kiutawala, taasisi zote duniani hata kama ziko (Autonomous/Semi-autonomous) ni kama kiumbe hai kinachojiongoza chenyewe. Lakini lazima kiwe na kichwa, ambaye kitaalamu tunamuita MTENDAJI MKUU (CHIEF EXECUTIVE), ambaye huamua mwelekeo mzima wa taasisi kwa wakati huo. Hili limesemwa na wataalamu wa utawala tokea miaka ya 1600 kama Locke, Hobbes na Montesquie (In Theory of Social Contract) na hata wasomi wa miaka hii ya karibuni kama Prof Max Webber, Issa G Shivji wamethibitisha nalolisema, kwamba mifumo hutegemea sana kiongozi binafsi (CHARISMATIC SYSTEMS).

Kwenye sheria ya katiba (CONSTITUTIONAL LAW) wale waliosoma sayansi ya siasa (Political Science) na sheria (Law) hufundishwa hili mapema wakiwa mwaka wa kwanza. Hufundishwa kwamba kwenye mifumo ya utawala wa nchi (State Systems) hasahasa nchi zetu ambazo zilitawaliwa na Uingereza zinafuata THE WESTMINSTER MODEL, mfumo huwa na uwajibikaji wa aina mbili: Uwajibikaji wa Jumla (Collective Ministerial Responsibility) na Uwajibikaji Binafsi(Individual Ministerial Responsibility).

Kuna mambo kwenye mifumo ya utawala wa nchi huwa yanapimwa kwa kurunzi maamuzi ya uwajibikaji wa jumla (Collective Ministerial Responsibility) na kuna maamuzi hupimwa kwa kurunzi ya (Individual Ministerial Responsibility). Kiutawala na dunia ya sasa, MFUMO unatakiwa ufuate sana COLLECTIVE MINISTERIAL RESPONSIBILITY, kuliko INDIVIDUAL MINISTERIAL RESPONSIBILITY. Bahati mbaya mno Tanzania katiba zake zote tokea 1964 zilitengeneza kitu kinaitwa IMPERIAL PRESIDENCY (Uraisi wa Kifalme) ambao unampa Kiongozi Mmoja ndani ya mfumo nguvu kubwa za kiutendaji kuliko wengine, jambo ambalo halitakiwi.

Hata Tundu Lissu ambaye mnamshabikia amekuwa akilisema sana hili miaka. Inaonesha hukuelewa anamaanisha hata nini. Maamuzi mengi mabaya yalifanywa na Mzee Nyerere kama CHIEF EXECUTIVE OF THE COUNTRY na kutekelezwa katika ngazi za kimfumo na viongozi wake wa chini. Lakini pia tunapoongelea mfumo hatuangalii tu utendaji, bali tunaangalia SERA, SHERIA na TAASISI ambazo zilitungwa au kuanzishwa wakati wa Mzee Nyerere na namna gani mpaka leo zinaendelea kutumika kuathiri maisha ya watanzania.

Asilimia 70% ya sheria kandamizi na sera zake zilitungwa na kuanzisha taasisi zake kipindi cha Mzee Nyerere akiwa Raisi. Hivyo tutaisema serikali yake kwa haya maovu (Collective Ministerial Responsibility) na yeye binafsi (Individual Collective Responsibility).Hivi ndivyo mifumo ya dunia ya kiutawala ipo.

SASA KAMA HUKUWA UNALIFAHAMU HILI, THAT's YOUR PROBLEM........

YOU CAN GET ANGRY, THROW TANTRUMS, DRENCH IN YOUR SORROWS and WALLOW IN YOUR TEARS ila huu ndiyo ukweli wa kiutawala duniani kote, wewe MTANZANIA mmoja huwezi kuupinga hata kama unauchukia na haukubaliani nao.
​
Hii ni mavi ya NGURUWE.
 
Samia yuko madarakani dili naye wajati yupo madarakani, Nyerere kwenye uongozi wake aliwahi kuwapa watoto wake vyeo, aliwahi kuiba pesa za umma. Ni akili mfu kuanza kudili na mtu aliyekufa kwa sababu haibadili chochote alichokifanya akiwa hai.
Huyo mzee kwenye utawala wake washajaribu kumpindua mara ngapi? Watu wenye akili timamu miaka hiyo waligundua upuuzi wake utakapotufikisha ndio maana walitaka kumuwahi.

Hakuwa fisadi ila alikuwa na roho ya kimasikini, kutaifisha mali za watu. Watu waliomchallenge kuwapeleka uhamishoni akiwemo Kambona ambaye wazee wetu waliimbishwa nyimbo za kumtusi

Hata mnaomtetea ni zao la mfumo mbovu aliouasisi, swali dogo tu upo tayari mali zako zitaifishwe kwa manufaa ya umma?
 
Alitaifisha ili ale na familia yake??

Wewe ni kidumu wa Mbeya kweli au Msafwa??

Mbona watu wa Mbeya wana akili timamu??

Au bangeeee
 
Huyo mzee kwenye utawala wake washajaribu kumpindua mara ngapi? Watu wenye akili timamu miaka hiyo waligundua upuuzi wake utakapotufikisha ndio maana walitaka kumuwahi.

Hakuwa fisadi ila alikuwa na roho ya kimasikini, kutaifisha mali za watu. Watu waliomchallenge kuwapeleka uhamishoni akiwemo Kambona ambaye wazee wetu waliimbishwa nyimbo za kumtusi

Hata mnaomtetea ni zao la mfumo mbovu aliouasisi, swali dogo tu upo tayari mali zako zitaifishwe kwa manufaa ya umma?
Aliwajengea viwanda mumeuza na sasa vijana wenu wanahangaika na ajira, aliwapatia elimy bure ambayo wakati huo ilikuwa inatolewa kwa watoto wa machifu, alizuia madini yasichombwe kwa manufaa ya umma, alikataa siasa isichanganywe na biashara sasa unamlaumu kwa.lipi?
 
Kwa muktadha huu basi bado safari ni ndefu tena ndefu sana.

Hilo Kundi la Lisu lina mlima mrefu sana kuupanda.
Maana kundi namba 2 na tatu wapo wengi zaidi na wanawafuasi wengi zaidi.

Wafuasi wao wengi ni wale shabiki lialia wa Ukristo Vs Uislam(udini), ukale Vs Usasa, wafuata mkumbo ambao hawa leo wako huko kesho wako kule kwani kila anayesimama jukwaani wanamsikia akiongea points.

Upande wa kina Lisu pia wapo walioupande wa Lisu lakini wasielewe falsafa za Lisu ambazo zinaongozwa kwa kufuata ukweli na haki bila kupendeleana.
Mimi napishana na Tundu Lissu kwenye mambo mengi mno. Lakini naufahamu ukweli ufuatao:

1. Lissu ameanza siasa akiwa mtoto bado (Jambo linalofanya awe mwanasiasa Genuine)

2. Lissu anasimamia anachokisema.

3. Lissu ni kitabu wazi (Kilichomo moyoni ndiyo kinatoka mdomoni)
===============================================================================

Kuhusu mabadiliko, nchi hii kuibadilisha ni jambo rahisi sana. Sema ni kwamba HAKUNA MTU MWENYE UJASIRI wa kufanya linalotakiwa: KULETA GHARIKA YA NUHU.
​
 
Yapo baadhi ya mambo aliyafanya mwl Nyerere yana mchango mkubwa kufika hapa tulipo. Nimeona mara kadhaa baadhi ya wazee kama mzee Warioba, Prof. Shivj, na wengine wengi wanadai kwamba mwl hakutaka kushauriwa. Pengine tunaweza kuthibitisha hili soma ibara ya 37 (1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977 inasema waziwazi kwamba pamoja na yote rais yupo uhuru na ushauri wa mtu yeyote haumzuii yeye kuchukua maamuzi yoyote yale. Na tukumbuke ibara pia ibara ya 35 imeweka mamlaka yote ya kiutawala chini ya rais; which is fine maybe. Kosa la mwl hapa hukufikiri kama pengine vipi akitokea mtu ambaye anawaza tofauti n yeye alivyowaza hali itakuwaje?

Je mwl pengine alidhani atasimama pale wakati wote! Kwa namna moja hama nyingine huenda mtazamo wake ukawa core roote kwa matatizo mengi sana, hata kama nia yake ilikuwa njema.
 
Mimi naona wa kulaumiwa ni Magufuri maana ukirudi nyuma viongozi wote walopita walitumia katiba hii hii na maisha yalienda na wala vilio vya katiba mpya, haki za binadam,chaguzi usio huru havikua vikubwa kama ilivyo sasa

Mambo ya ujenzi wa madaraja na kufufua mashirika yalokua yamekufa hayo atuwezi yaongelea maana kila raisi alie pita kuna mambo yake mazuri na makubwa alifanya kwenye uongozi wake kwa muda uwo

Kwa Magufuri ndo viongozi miungu watu walizaliwa
Kwa magufuri jeshi na polisi ndo walianza kutumika kuvunja chaguzi mbali mbali
Kwa magufuri ndo tumeshuhudia raisi na bunge lake lote linaingia madarakan bira kupigiwa kura na wananchi
Kwa magufuri ndo tumeanza kushuhudia wizi na utekaji mkubwa wa watu
Kwa magufuri ndo tumeshuhudia wananchi na vyombo vya habari kuogopa kuikosoa serikal uko nyuma wananchi na vyombo vya habari vilikia na uwezo wa kuikosoa serikal

Kwa ufupi madudu mengi yameanzia kwa magufuri ata mateso na shida tunazopitia leo chanzo chake ni magufuri
 
Yes,wengi wanamsifia na kumuona mzalendo na aliyekuwa na nia ya dhati kwa Taifa,nakubari katika uzalendo lakini si katika nia ya dhata kuhusu mustakabali wa kesho wa taifa hili.

Mambo mengi yanayotokea katika taifa hili kwa sasa chanzo chake kikubwa ni katika sheria mbovu zilizopo tangu mwanzo zilizo athiri mfumo wa utawala bora,haki na usawa.

Katiba ndio sheria ya kwanza iliyoharibu mfumo wa utawala bora wa Taifa hili kwa kutoa madaraka makubwa kwa mtu ambaye alidhaniwa hawezi kukosea na ikampatia kinga.

katiba ni ya mwaka 1977,wakati inaundwa Mwl.Nyerer alikuwepo madarakani,maana yake mchakato mzima uliasisiwa na kusimamiwa na yeye kutokana na nafasi yake kwa wakati huo,maana yake vifungu vyote alivijua kabla katiba haijapitishwa,na bila shaka alijua madhara ya ya baadhi ya ibara hususani ile ya 46,ilikuwaje hakutaka irekebishwe kabla haijapitishwa ili hali alijua madhara yake?,yamkini alitaka kujilinda.

Mara kadhaa alisikika katika mikutano akilalama kuhusu katiba na mamlka makubwa ya Rais,najiuliza iliwekanaje mtu aliye husika kwa kiasi kikubwa kuipitisha katiba hiyo ndio alalamike mapungufu yake ?,kwamba hakuyaona wakati huo akayaona sasa?,ni uzindukaya wa hovyo sana.

Huyu mzee na genge lake mzee Chenge ndio chanzo cha haya yote haya,mzee Warioba naye najiuliza alishindwa kumshauri mchonga meno au alishauriwa akashupaza shingo?

Haya Taifa linapitia chanzo ni huyu mzee ndio wakulaumiwa ,asingeruhusu mambo ya ajabu katika katiba haya mambo yasingefikia hapa yalipo.

Hawakujua kwamba hata ZUMBUKUKU anaweza kuwa Rais wakashindwa kutengeneza sheria zenye kumtia hofu?,leo anaibuka mtu mmoja na kusema "katiba ni kijitabu tu".

Sioni sababu ya kumpraise alidhamiria Taifa kuja kunajisiwa.
Bado mnapambana kumlaumu Marehemu badala ya kuchukua hatua kuondoka msiyoyataka kwa mustakabali wenu.
 
TheForgotten Genious acha kulia lia,kwani hizo sera mbaya za Nyerere ni msaafu kwamba tumeshindqa kuzibadilisha? Unaposema ujamaa hujaleta haki sawa,ubebari unaleta usawa kwa kika mtu?
Unafikiri kwanini mpaka sasa hazijabadirishwa?,je unafikiri wapo tayari kukubari kubadirisha?,uliwahi kusikia maafa yalitokea hapa karibuni na unajua kama kuna uhusiano mkubwa katika kutokea hayo maafa na uhitaji wakubadirisha hizo sera ,sheria na mifumo,obviously mimi naona hujaelewa nilichokiandika na inawezekana hujasoma ukamaliza,rudia kusoma na uelewe ili uone wapi mimi nimezungumzia kufeli kwa Mwl kupitia Sera ya UJAMAA,ndio tuanze upya mkuu.

Kama umesoma basi uelewa wako ni mgumu sana kama sivyo basi akili yako ni yakushikiwa sana au ni miongoni mwa wazee wa robo mkate.

SIJAZUNGUMZIA UJAMAA,WALA UBEPARI.
 
Yapo baadhi ya mambo aliyafanya mwl Nyerere yana mchango mkubwa kufika hapa tulipo. Nimeona mara kadhaa baadhi ya wazee kama mzee Warioba, Prof. Shivj, na wengine wengi wanadai kwamba mwl hakutaka kushauriwa. Pengine tunaweza kuthibitisha hili soma ibara ya 37 (1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977 inasema waziwazi kwamba pamoja na yote rais yupo uhuru na ushauri wa mtu yeyote haumzuii yeye kuchukua maamuzi yoyote yale. Na tukumbuke ibara pia ibara ya 35 imeweka mamlaka yote ya kiutawala chini ya rais; which is fine maybe. Kosa la mwl hapa hukufikiri kama pengine vipi akitokea mtu ambaye anawaza tofauti n yeye alivyowaza hali itakuwaje?

Je mwl pengine alidhani atasimama pale wakati wote! Kwa namna moja hama nyingine huenda mtazamo wake ukawa core roote kwa matatizo mengi sana, hata kama nia yake ilikuwa njema.
Leta hapa huo uthibitisho wa Warioba, Shivji na hao wengime wakisema hivyo.
 
Back
Top Bottom