Anayepaswa kulaumiwa kwanza katika haya yanayoendelea katika Taifa ni Hayati Mwl. Nyerere

Yule ambaye hakuwahi kuwa na kashfa ya ufisadi ndie chanzo cha umaskini wetu!.

Kosa lake kuyaacha madini ardhini kisha nyie mkaja kuyachezea, halafu mnarudi kumlaumu yeye!

Huu ujinga wenu ni next level.
Muungano ndio dhambi kubwa zaidi aliyoifanya Nyerere kwenye nchi hii.
Mapinduzi kwa umwagaji mkubwa wa damu ya watu wasio na hatia Zanzibar iliingia kwenye DNA ya CCM kutumia njia zozote kubakia madarakani.
 
Kama bado kuna mtu atakuwa haelewi kwanaini nimeandika uzi huu na amesoma hapa,basi he has a long way to clinch.Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Kama ni mifumo kwa nini msiifumue sasa muweke yenye akili nyie wenye ufahamu tangu kafa? Miaka 40 ni michache kuunda mifumo mipya??
Muungano uliotokana na Yale Mapinduzi ya umwagaji mkubwa wa damu Zanzibar ndio dhambi kubwa kufanywa nchi hii ambayo imebaki katika DNA za tabaka tawala kutumia njia zozote ikiwemo kuua, kupoteza na kuharibu kuhakikisha mfumo wa nchi haubadiliki.
 
lawama nonsense hivi na una verified baj?🀣

hii ni maajabu
 
Vyote vipo YouTube: search Prof Shivj kuhusu katiba, na muungano wa Tanzania. Msikilize vizuri.

Search: Jaji Warioba juu ya utawala bora, katiba, na ajenda ya muungano. Utamsikia vizuri.

Msikilize pia Lisu anaporefer kitabu cha Prof. Shivj kinaitwa Pan Africanism. Au kitafute ukisome. Lisu anapozungumzia ishu za Oscar Cambona. Kila kitu kipo YouTube channel
 
Ni uvumba wa akili kumlaumu marehemu. Anayepumua anawajibika kurekebisha.
 
Huyu nina uhakika ukimuuliza Bunge maalumu la Katiba lilikaa mwmaka gani hajui maana haya yalizungumzwa sana tu
 

Mtu ndani ya mfumo au hawa wananchi wanaokimbizana na vumbi la kipupwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…