TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Nyumba yake, mgeni wake anagoma kumfungulia mwenye nyumba, ama kweli wanawake mmejaaliwa roho
Wengine tickets Kama hizo hatuzipati,tukacheze mechi za ugenini, ndiyo kwanza tunatafutwa kila dakika na simu hadi wakereka na Mama Mjengo!!!
 
Watu humu mnachangia maoni
Kuhusu marehemu asiyejulikana

Ova
 
Unamtetea mwenzio,marehemu hayupo angejitetea vizuri tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani sijui nacheka nini ha ha ha, mafuta ulikuwa unaupaka huo mwili kweli au ndiyo walikuta umepauka kama nyau mlala kwenye majiko [emoji23]
 
Pole jirani
 
Huenda alikuwa mnywaji sugu, kina mama nao wanavumilia sana kila siku kufungua milango/mageti...
Halafu kwanini mtu asiweke ulinzi wakuwa anamfungulia kila siku?
 
Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kumuacha mumewe nje, mume ndio kichwa cha familia kwanza, na je unataka kutuambia hakuwaza je jamaa akivamiwa na majambazi hapo getini ?

Mimi siku nikioa,mwanamke anifanyie huo upuuzi naondoka namuachia nyumba naenda kupanga huko
 
Aliyefariki bado hajatambulika tu

Ova
 
Huu uzi ni wa muda mrefu, lakini nimewiwa kuongea na mtu huyu...

Kwanza ninamasikitiko sana kama hii stori ni ya kweli, huyo mwanamke atakuwa amehusika moja kwa moja kumuua mumewe, na kama ilikuwa tabia yake kupita kwa kuruka, basi alijitakia kifo..

Hiyo sentensi ya mwisho kila nikiisoma najaa jazba, eti "inachosha sana kuamshwa na mtu aliyetoka kwenye starehe zake ukatishe usingizi wako ili umfungulie"

Sentensi imejaa makosa mengi ya kimantiki, na mengine ni ya ujinga tu wa kushindwa kuelewa.

1)Huyo unaemuita mtu siyo mtu tu kama watu wengine...
-Huyo ni mumeo.
-Ametoa pesa kwenu ili kukununua wewe uje umuhudumie.
-Huyo ndiyo kichwa cha nyumba kiongozi wa familia.
-Ndiye mbadala wa baba yako.
-Ndiye kachukua majukumu ya baba yako.
-Kwa hiyo huyo ni kama baba yako.
-Ndiye mwenye jukumu la kukuvisha, kukulisha unashiba mpaka unapata huyo usingizi wako.
-Hapangiwi muda wa kurudi.
-Ni jukumu lako kumfungulia mlango, kumtengea chakula ale, na kuhakikisha ameenda kulala vizuri..

Niishie tu hapa inatosha..

Mimi ukigoma kufungua mlango siku hiyo hiyo unaondoka na hautorudi kamwe..

Mwanaume ukiendekeza ujinga ujinga kwa mkeo unajitafutia kifo cha mapema, siyo hilo la kufunguliwa tu, kuna viujinga ujinga vingi. Ni bora uishi bachela, kuliko kuishi na mwanamke asiyetambua nafasi yako kama baba wa familia.
 
🚮
 
Mama mdogo hana pa kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…