TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Kuna mageti yanafungwa kwa komeo kwa ndani kwani funguo ni rahisi vibaka kutengeneza. Na pia wanawake wengine wanaweza kufanya makusudi ya kufunga kwa ndani ili kukomoa
Hawa wanajisemea TU. Vitimbwi vya Hawa mbavu zetu hawavijui. Nyumba nyingine zinamiliki hata walinzi.
Cha ajabu Hawa shemeji zetu wanaamua kuweka kufunga na funguo kuzama Nazo vuumbani kwao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakadori una point na mimi nakubaliana na wewe. Ila wakati mwingine, wanawake wanaweza kuamua kufunga kwa ndani ili kutoa funzo. Hapa ndipo unapokuja ulazima wa sisi wanaume kubadilika. Pombe za kila siku na kurudi kwa usiku hata kama unaondoka na funguo hazifai.
 
R.I.P
Inawezekana vp Baba mwenye nyumba unatembea bila funguo ya nyumba?
 
Nikiona hataki kufungua naenda zangu guest kulala, tena kama yupo mchepuko naupigia simu uje tuutumie usiku wetu kwa faida [emoji1787]

Mke anakataa vipi kufungua geti, hiyo ndoa ilikuwa na shida sana!!
 
Ifikie hatua MTU kama hupendi tabia za mume urudi tu kwenu,kuliko unajua mume ni mlevi umekomalia kwenye Nyumba yake na mlango unamfungia.

Nao ni watoto wa wanawake wenzenu walipata uchungu kama muupatao. Pumzika Mkuu,pumzika Kamanda!
Nimefarijika Sana kuona koment hii toka kwa mwanamke anayejitambua

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kumbe wewe ni me?
Hapo kwenye kumfungia mtu kwa ndani ukweli haikubaliki. Kama mtoto wa mtu amekushinda toka kabla hayajatokea haya.
 
Msiba upo boko sehemu gani? Binafsi nipo boko ccm hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…