TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Kuna jirani yangu hapa yy siku zote ni kurudi saa nane za usiku,huwa najiuliza kazi zake ndo zinamalizika mda huo au ni nn?,najua anatumia pombe lakini si rahisi mtu kuwa kwenye viringe vya pombe siku zote hadi saa nane za usiku.

Mke wake ni mama wa nyumbani ,sijajua kama huwa anarudi kalewa au laa ila huwa nasikia geti tu linafunguliwa pamoja na sauti ya gari ,na nikitazama mda ni saa nane na madakika ,yani hii ni kila siku
Jitahidi kumaindi bizinezi zako mkuu, unaonekana unapenda kufuatilia mambo ya jirani yako, achana nae kila mtu ana maisha yake ili mradi hakusumbui au kukukwaza.
 
Jaman wale mnaopenda kulewa au kuchelewa kurudi majumbani mwenu kwa sababu za starehe kama hizi muwe mnakuwa na funguo za ziada ili ukirudi unajifungulia mwenyewe kuepusha vifo visivyo vya lazima.

Inachosha sana kuamshwa na mtu aliyetoka kwenye starehe zake ukatishe usingizi wako ili umfungulie
Conclusion: huyo mwanamke ni roho mbaya!
 
Yeye alipokataa kufungua wala hakuwaza hayo. Lakini pia huwezi jua ndoa yao ilikuwaje...ukute marehemu alikuwa aina ya wanaume ambao hawajali hisia za mke bali kujifurahisha yeye mwenyewe kwenye hizo pombe zake jambo ambalo mkewe alikuwa halimfurahishi

You could be very right, lakini pia inaweza kuwa mtu anaanza kunywa sabab labda anapitia changamoto za mke. Tuwe neutral tu, maana mambo ya ndoa bhana wanaojua ni wana ndoa behind closed doors, na tunavyopenda msikiliza mwanamke ni changamoto. Na women wanajua waki lia kidogo wanaskilizwa na wanaume wengi kusema hawawez so wanaugulia ndan ili kuepusha meng unakuta bora achelewe huko akirud zake alale ili asiongee sana na source could be mama house. But still wapo some strong women wanavmilia mengi mpaka unasema mwanaume anakosa nini. So ajuaye ni Mungu but still kuna upande wa ubina damu hata angekuwa mtu baki kuna wema una fanya coz ni binadamu. Lakini point pia ni kuwa na spare keys, hii si tu ku avoid kusumbua wa home ila pia ni kwa usalama wako ili usispend mida mwingi nje ama kwa gate outside.
 
Kama unaweza kuepusha madhara yasimpate mwenzio fanya hivyo.

Hata hivyo excessive alcohol sio jambo zuri, kuna ajali za barabarani ambazo ni risk zaidi ukiwa umelewa, Na kurudi kwako usiku mwingi kwa ratiba ile ile si vizuri pia, wahuni wakishajua ratiba wanaweza kukutime uwe unafunguo, unasubiri kufunguliwa au geti lako linajifungua lenyewe. Na bora wakutime ukiwa sober kuliko ukiwa umelewa. Kwetu zamani zile kuna mchaga mmoja walimtight getini wakazama nae ndani.

Mimi kama kuna process hainipagi amani basi ni hii ya kulisikia gari limeshapaki getini nje ile process ya kufungua geti dogo, then geti kubwa, kuingiza gari, kufunga geti 🥹 gari ikishapaki ndani naisikia ndipo moyo huwa unapata amani.
 
Kwanza poleni wanajamii forams kwakuondokewa na mwenzetu.

Kuhusu ushauli wako huu ,ebu wambie wifi zako mama zako wadogo, waache adhabu zakikatiri. Unaanzaje Kugoma kumfungulia mwezio? Ona Sasa amekua mjane .

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mlinzi getini ili ukifika akufungulie angalau uingie hata ndani ya boma!
 
Yeye alipokataa kufungua wala hakuwaza hayo. Lakini pia huwezi jua ndoa yao ilikuwaje...ukute marehemu alikuwa aina ya wanaume ambao hawajali hisia za mke bali kujifurahisha yeye mwenyewe kwenye hizo pombe zake jambo ambalo mkewe alikuwa halimfurahishi
Nyie WanWake wa siku hizi heshima ni zero kabisa,yani ingekuwa mie ningeenda zangu Lodge kesho huyo Mke angerudi tu kwao.
 
You could be very right, lakini pia inaweza kuwa mtu anaanza kunywa sabab labda anapitia changamoto za mke. Tuwe neutral tu, maana mambo ya ndoa bhana wanaojua ni wana ndoa behind closed doors, na tunavyopenda msikiliza mwanamke ni changamoto. Na women wanajua waki lia kidogo wanaskilizwa na wanaume wengi kusema hawawez so wanaugulia ndan ili kuepusha meng unakuta bora achelewe huko akirud zake alale ili asiongee sana na source could be mama house. But still wapo some strong women wanavmilia mengi mpaka unasema mwanaume anakosa nini. So ajuaye ni Mungu but still kuna upande wa ubina damu hata angekuwa mtu baki kuna wema una fanya coz ni binadamu. Lakini point pia ni kuwa na spare keys, hii si tu ku avoid kusumbua wa home ila pia ni kwa usalama wako ili usispend mida mwingi nje ama kwa gate outside.
Sasa mpaka inafikia hatua ya kuikimbia nyumba yako hadi kuingia mda mbaya kisa kumuepuka mtu si bora muachane tu kila mtu aangalie upande wake?
Kweli dunia ina mengi
 
Back
Top Bottom