TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Kwanini nikunyime wakati tumepewa buree 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi tu ombi lilikuwa la kuhifadhiwa na sio kudoea P
Yani ulivyo na roho mbaya na PM umeshaniblock.... Dah

Sasa ombi langu ntalitumaje ukinifamyia hivyo
 
Yani ulivyo na roho mbaya na PM umeshaniblock.... Dah

Sasa ombi langu ntalitumaje ukinifamyia hivyo
Babu kabla hujatuma ombi lako faragha fanya mpango nipate maji kwanza mwenzio sijaoga
 
Sasa mpaka inafikia hatua ya kuikimbia nyumba yako hadi kuingia mda mbaya kisa kumuepuka mtu si bora muachane tu kila mtu aangalie upande wake?
Kweli dunia ina mengi
Conflict resolution sometimes inahitaji kuptia baadh ya vtu kama hivyo, yes kuachana ni solution moja wapo ila kabla ya kufika huko mnaweza ptia hayo ukashangaa mnakuja pata solution before going separate ways. Like what i mean is there are steps kufikia huko. Sometimes shida ndogo ila watu wanafkia huko kukimbiana wakija kuwekwa chini unakuta wanaweza ponesha ndoa ama relationship yao, kukimbiana doesn't necessarily mean it has to lead to break up.
 
Jaman wale mnaopenda kulewa au kuchelewa kurudi majumbani mwenu kwa sababu za starehe kama hizi muwe mnakuwa na funguo za ziada ili ukirudi unajifungulia mwenyewe kuepusha vifo visivyo vya lazima.

Inachosha sana kuamshwa na mtu aliyetoka kwenye starehe zake ukatishe usingizi wako ili umfungulie
Guest zimeisha ?
 
Conflict resolution sometimes inahitaji kuptia baadh ya vtu kama hivyo, yes kuachana ni solution moja wapo ila kabla ya kufika huko mnaweza ptia hayo ukashangaa mnakuja pata solution before going separate ways. Like what i mean is there are steps kufikia huko. Sometimes shida ndogo ila watu wanafkia huko kukimbiana wakija kuwekwa chini unakuta wanaweza ponesha ndoa ama relationship yao, kukimbiana doesn't necessarily mean it has to lead to break up.
Oukeeeeyyy
 
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha kuwa yeye ni ''active member'' wa JF na anapenda sana kuchangia. Baada ya kilevi (maeneo ya Boko) tulipokuwa tunaondoka akanionyesha nyumbani kwake na mimi nikaondoka kurudi kwetu Msasani ninakoishi.

Fast forward, wiki kama mbili zilizopita nilirudi tena maeneo tuliyokutana kwenye mishe zangu. Nikaona msiba kwenye boma aliloniambia ni nyumba yake. Kuulizia kulikoni nikaambiwa ni yeye, mwenye nyumba amefariki. ''Eti'' alitoka kwenye kilevi usiku, akagonga geti, mke akagoma katukatu kumfungulia. Akachukua uamuzi wa kuruka ukuta. Kwa bahati mbaya akachomwa na moja ya nondo zilizoko kwenye geti la nyumba (nadhani wengi mnafahamu nondo zinazochongwa kama mkuki na kuwekwa juu ya kuta au geti ili kuzuia vibaka). Kwa bahati mbaya akavuja damu nyingi mpaka akapoteza maisha. RIP member.
Sio GENTAMYCENE kweli? RIP?
 
Case kama hii ilitokea kigamboni mwezi uliopita

Jamaa kaingia nyumban kwa rafiki yake na akaendeleza kumla kimasihara mke wa rafiki yake bahati mbaya ikawa kwake jamaa mwenye mke akarudi bila taarifa

Mwamba katika harakat za kukimbia akuruka ukuta uliokuwa na nondo zilizochongoka zikamchoma tumboni jamaa akapoteza maisha
 
Death Brings Life
Sababu ni kwamba fall of mtu mmoja ni rise ya kiumbe mwingine

Ukiachana na Imani za kidini
Maisha ya mwanadamu yanategemea vitu vingi zaidi (resources) nature inabalance viumbe viendane na resources zilizopo (afe mtu ili azaliwe mwingine)

Hii ukitaka kuelewa ni pale unapoona kuna kipindi kikifika generation ya kwanza (babu na bibi ) hua wanaondoka kupisha vijukuu na vitukuu
Ukichukua age group ya watu 30_45 utakuta wengi wazazi wao au first generation yao haipo na pia wao utakuta tayari washaendeleza kizazi

Nmejarbu kuelezea kwa maandishi sio mwandishi mzuri though Erythrocyte
 
Pole kwa wafiwa..

Mi nilikuwa na mazoea hayo ya kulewa na kurudi usiku naruka hizo nondo asubuhi najikuta nimekwaruzika mwili mzima kisa cha kuacha mchezo huo sitasahau.

Nilirudi siku hiyo kilevi kimezidi kuliko kawaida nikapiga simu na kugonga sikufunguliwa nikachukua maamuzi ya kuruka. Niliacha kila kitu juu ya nondo surwali shati hadi boksa. Nikaingia ndani nikalala na viatu tuu. Asubuhi kidogo mama angu afe kwa presha akajua nimeuliwa nikatupwa juu ya nondo kumbe nguo. Akaingia ndani nimelala uchi akanikagua mzima zaidi ya michubuko tuu. Sitasahau
Hata mm mbeya nimenuzurika
 
Back
Top Bottom