Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Kwanini nikunyime wakati tumepewa buree 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushaanza uchoyo.... dah!
Ama kweli kukataliwa kubaya
Basi tu ombi lilikuwa la kuhifadhiwa na sio kudoea P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini nikunyime wakati tumepewa buree 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushaanza uchoyo.... dah!
Ama kweli kukataliwa kubaya
Mkuu starehe sio shida ni matokeo ya uchaguzi wa kibinafsi mtu mwenyewe ameamua kufanya bila kujali anakera wengine au lahKwenye shida na raha
Yani ulivyo na roho mbaya na PM umeshaniblock.... DahKwanini nikunyime wakati tumepewa buree 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi tu ombi lilikuwa la kuhifadhiwa na sio kudoea P
Babu kabla hujatuma ombi lako faragha fanya mpango nipate maji kwanza mwenzio sijaogaYani ulivyo na roho mbaya na PM umeshaniblock.... Dah
Sasa ombi langu ntalitumaje ukinifamyia hivyo
Sasa wewe ndio unaweka njia. Fungua njia mamaBabu kabla hujatuma ombi lako faragha fanya mpango nipate maji kwanza mwenzio sijaoga
Nataka nirithi mkeo mkuu. 😄😀😅😁😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Wewe najua unataka nife ulilie urithi.
Mimi nyumba zangu hatutumii teknolojia ya kizamani ya ufunguo, tunafungua milango kwa retina scanner.
Mke wangu mama yako mzazi. Bado unataka kumrithi?Nataka nirithi mkeo mkuu. 😄😀😅😁😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Conflict resolution sometimes inahitaji kuptia baadh ya vtu kama hivyo, yes kuachana ni solution moja wapo ila kabla ya kufika huko mnaweza ptia hayo ukashangaa mnakuja pata solution before going separate ways. Like what i mean is there are steps kufikia huko. Sometimes shida ndogo ila watu wanafkia huko kukimbiana wakija kuwekwa chini unakuta wanaweza ponesha ndoa ama relationship yao, kukimbiana doesn't necessarily mean it has to lead to break up.Sasa mpaka inafikia hatua ya kuikimbia nyumba yako hadi kuingia mda mbaya kisa kumuepuka mtu si bora muachane tu kila mtu aangalie upande wake?
Kweli dunia ina mengi
Guest zimeisha ?Jaman wale mnaopenda kulewa au kuchelewa kurudi majumbani mwenu kwa sababu za starehe kama hizi muwe mnakuwa na funguo za ziada ili ukirudi unajifungulia mwenyewe kuepusha vifo visivyo vya lazima.
Inachosha sana kuamshwa na mtu aliyetoka kwenye starehe zake ukatishe usingizi wako ili umfungulie
OukeeeeyyyConflict resolution sometimes inahitaji kuptia baadh ya vtu kama hivyo, yes kuachana ni solution moja wapo ila kabla ya kufika huko mnaweza ptia hayo ukashangaa mnakuja pata solution before going separate ways. Like what i mean is there are steps kufikia huko. Sometimes shida ndogo ila watu wanafkia huko kukimbiana wakija kuwekwa chini unakuta wanaweza ponesha ndoa ama relationship yao, kukimbiana doesn't necessarily mean it has to lead to break up.
Sio GENTAMYCENE kweli? RIP?Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha kuwa yeye ni ''active member'' wa JF na anapenda sana kuchangia. Baada ya kilevi (maeneo ya Boko) tulipokuwa tunaondoka akanionyesha nyumbani kwake na mimi nikaondoka kurudi kwetu Msasani ninakoishi.
Fast forward, wiki kama mbili zilizopita nilirudi tena maeneo tuliyokutana kwenye mishe zangu. Nikaona msiba kwenye boma aliloniambia ni nyumba yake. Kuulizia kulikoni nikaambiwa ni yeye, mwenye nyumba amefariki. ''Eti'' alitoka kwenye kilevi usiku, akagonga geti, mke akagoma katukatu kumfungulia. Akachukua uamuzi wa kuruka ukuta. Kwa bahati mbaya akachomwa na moja ya nondo zilizoko kwenye geti la nyumba (nadhani wengi mnafahamu nondo zinazochongwa kama mkuki na kuwekwa juu ya kuta au geti ili kuzuia vibaka). Kwa bahati mbaya akavuja damu nyingi mpaka akapoteza maisha. RIP member.
How ?Death brings life
Case kama hii ilitokea kigamboni mwezi uliopitaMemba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha kuwa yeye ni ''active member'' wa JF na anapenda sana kuchangia. Baada ya kilevi (maeneo ya Boko) tulipokuwa tunaondoka akanionyesha nyumbani kwake na mimi nikaondoka kurudi kwetu Msasani ninakoishi.
Fast forward, wiki kama mbili zilizopita nilirudi tena maeneo tuliyokutana kwenye mishe zangu. Nikaona msiba kwenye boma aliloniambia ni nyumba yake. Kuulizia kulikoni nikaambiwa ni yeye, mwenye nyumba amefariki. ''Eti'' alitoka kwenye kilevi usiku, akagonga geti, mke akagoma katukatu kumfungulia. Akachukua uamuzi wa kuruka ukuta. Kwa bahati mbaya akachomwa na moja ya nondo zilizoko kwenye geti la nyumba (nadhani wengi mnafahamu nondo zinazochongwa kama mkuki na kuwekwa juu ya kuta au geti ili kuzuia vibaka). Kwa bahati mbaya akavuja damu nyingi mpaka akapoteza maisha. RIP member.
Nimefarijika Sana kuona koment hii toka kwa mwanamke anayejitambua
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sababu za kuto kuoa au kutokuolewa kila mtu ana sababu zake Ila kwako sababu iliyokufanya usiolewe ni kiburi na majivuno.
Hata mm mbeya nimenuzurikaPole kwa wafiwa..
Mi nilikuwa na mazoea hayo ya kulewa na kurudi usiku naruka hizo nondo asubuhi najikuta nimekwaruzika mwili mzima kisa cha kuacha mchezo huo sitasahau.
Nilirudi siku hiyo kilevi kimezidi kuliko kawaida nikapiga simu na kugonga sikufunguliwa nikachukua maamuzi ya kuruka. Niliacha kila kitu juu ya nondo surwali shati hadi boksa. Nikaingia ndani nikalala na viatu tuu. Asubuhi kidogo mama angu afe kwa presha akajua nimeuliwa nikatupwa juu ya nondo kumbe nguo. Akaingia ndani nimelala uchi akanikagua mzima zaidi ya michubuko tuu. Sitasahau